tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Balozi kumi zaitakia kila la kheri Tanzania kuelekea Uchaguzi

    Wakuu wa Balozi za nchi ya Ubelgiji, Canada, Denmark, Finland, Ujerumani, Ireland, Netherlands, Norway, Sweden na Uswizi zilizoko kwa pamoja zimeitakia Tanzania uchaguzi mwema Katika tamko hilo la pamoja, wameonyesha kuwa wanatumaini Uchaguzi utauwa wa huru na wa haki utakaoruhusu kila mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Shirika la Haki za Binadamu laishutumu Tanzania 'kubana haki za kiraia'

    Shirika la Haki za Binadamu laishutumu Tanzania 'kubana haki za kiraia' ========= Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Precision Air yafuta Safari zote za kwenda Kenya licha ya Kenya kuruhusu Safari zake

    MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ____________ Shirika la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania has been ranked the 24th poorest country in the world

    25 Poorest Countries in the World Samuel Stebbins and Grant Suneson 6 days ago Across the globe, more than 700 million people live less than $1.90 a day — the poverty threshold set by the World Bank. Such severe privation is disproportionately concentrated in certain parts of the world...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Economies With the Highest External Chinese Debt in 2017

  6. JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kila kitu lakini siyo amani yetu

    Tanzania inasubiri kwa hamu maamuzi sahihi ya watu wake, maamuzi ambayo yataukilia mustakabali mzima wa Taifa katika wakati uliopo na wakati ujao. Watoto wa Taifa hili kwa kujua au kutojua wanaangukia katika maamuzi ya Watanzania wenye sifa za kupiga kura. Kura yako moja ina thamani kubwa sana...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

    Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Open letter to the National Electoral Commission of Tanzania

    Open Letter to the National Electoral Commission of Tanzania - Robert Amsterdam Today Robert Amsterdam has issued the following open letter to Winston Charles, the Director of the National Electoral Commission (NEC) of Tanzania, on behalf of his client the presidential candidate Tundu Lissu...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Ninawezaje kupokea pesa zaidi ya milioni 100 kutoka nje ya nchi kuja Tanzania

    Habari. Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha pesa. Nahitaji mawazo yenu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu yetu Tanzania

    Habari za leo wanajamvi, pole na majukumu ya kila siku ya kulijenga Taifa letu. Nashauri wanafunzi wasome kuanzia darasa la 1 & 6, na wafundishe masomo matatu tu. Yaani Hisabati, Sayansi na Lugha. Na wahakikishe wanapowafundisha wanafunzi mfano somo la Hisabati, wajitahidi wawe wameandaa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbatia wa Mama Tanzania yupo wapi?

    Mbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima. Waliomtuma Mbatia wakajitafakari wakaona kazi si ndogo na wao tu inawashinda, wakapiga chini Mbatia bila hata pesa...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maliasili asema kuleni nyama ya Mamba, ni tamu kinoma

    “Mamba ana nyama tamu sana, anzeni kula nyama yake badala ya kutegemea kitoweo cha samaki pekee” amesema Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu Amesema kuwa licha ya nyama hiyo kuwa tamu, lakini kwanza mvunaji wa mamba aombe kibali kutoka kwa maofisa wanyamapori cha kuwavuna...
  14. JamiiForums Tanzania Wajue wanaoitwa Mabeberu na mambo yao kwa Tanzania

    Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine. Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani? Tunaomba Mataga mtutajie hata Mabeberu watano tu kwa uchache. Ila kwa Mawazo ya haraka pengine Mataga wanaposema mabebebru...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania has the lowest IQ in East Africa

    The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84, Kenya followed it closely with an IQ of 80 while Tanzania had an IQ of 72. IQ which is a shortened...
  16. JamiiForums Tanzania Fursa kwa Vijana: Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15

    Promoting Civic Space through Advocacy and Strategic Action in Tanzania -Deadline September 15 Background The International Center for Not-for-Profit Law (ICNL) is an international not-forprofit organization that promotes an enabling legal environment for civil society, freedom of association...
  17. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Je, wasanii Watanzania wanaipenda CCM au ni njaa inawasumbua?

    Wasalaam, Kuna mambo mengine yanahitaji kufikiri kwa upana hasa kipindi hiki tunapoelelea katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Nimefatilia uzinduzi wa kampeni za CCM pale uwanja wa Jamhuri Dodoma, nimeangalia nyuso za wasanii waliotumbuiza katika tamasha lile la CCM na kuona wengi...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda wasusia bidhaa za Tanzania na kufuata za Wakenya

    Sijajua nini kimeibuka nyuma ya pazia, ila Rwanda ambao hatuchangii mpaka nao wameipa Tanzania jirani wao kisogo na kufuata bidhaa za Kenya, jameni tuchangamkie hii fursa kiunyang'au, ni vyema sasa bandari ya Kisumu imeboreshwa .....baba lao Afrika Mashariki ==== Rwanda government has imposed...
  19. JamiiForums Tanzania Napendekeza TCRA wapige marufuku matangazo ya BBC nchini Tanzania. Wameitukana kumbukumbu ya Mwl. Nyerere

    Eti wameonyesha kipindi cha historia ya ukombozi wa Afrika, ambapo wametaja wapambania uhuru kama akina Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba na Nelson Mandela, Jomo Kenyatta miongoni mwa wengi. Lakini cha ajabu walipofika kwenye ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika wameishia kumtaja Mandela tu na...
  20. JamiiForums Tanzania Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

    Wakuu, Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA. Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa. Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…