tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Going into the 2020 Tanzania polls: What are the stakes?

    Tanzanian citizens will go to the polls on October 28, 2020, to elect the President, Members of Parliament (MPs) and local Councilors. For close to five years now, Tanzania has been preparing herself for the constitutionally mandatory general elections. Hopes by Tanzania’s ruling political...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna sheria kandamizi sana

    Kuna clip moja inasambaa instagram ikimwonyesha kijana mmoja mwanafunzi wa CBE akisindikizwa na askari kanzu kupanda kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kuwa na blog bila leseni kutoka TCRA. Hizi sheria za kijinga zinapatikana Tanzania tu. Hivi CCM mbona inatulazimisha tuishi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

    Wanabodi, Kwanza sikiliza hii Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna msamaha wa kibali cha kazi (work permit exemption) kwa mgeni aliyeolewa Tanzania?

    Ninatanguliza heshima na shukurani. Kwa mtu aliyeolewa Tanzania kwa zaidi ya miaka 10 na kuwa na watoto na mumewe, ikiwa hajafanya taratibu za uraia anaweza kupata cheti cha msamaha wa kibali cha kazi? Iwapo anaweza kupata msamaha ninaomba kujua ni taratibu zipi za kufuata. Asante.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lakini siyo Rais wa Tanzania

    Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT. Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika. Lakini kwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania If Uhuru is not careful he will be the first Kenyan President not to be accorded an official invitation by Tanzania

    If Uhuru is not careful he will be the first Kenyan President to be not accorded an official invitation by Tanzania Dah yaani Rais wa Burundi hajatimiza hata miezi mitatu tayari kakaribishwa na kazindua jengo! Yule wa Kunyaland amebakiza miaka miwili aondoke madarakani, no oficial invitation...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Gamboshi usiku yaonekana kama jiji la New York au London

    USIKU YAONEKANA KAMA JIJI LA NEW YORK AU LONDON. WENYEWE WAMWOMBA RAIS KIKWETE, MZEE WA VIJISENTI AKAWASAFISHE WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji chao kutokana na jina baya lililoenezwa duniani...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Jumuiya za Kimataifa zinaingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania?

    Kumekuwa na mijadala kutoka kwa watu mbalimbali hata humu JF kuwa mataifa ya nje na Jumuiya za nje zinaingilia Uchaguzi wetu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa kuna baadhi ya wagombea wametumwa na ‘mabeberu’ kwa makubaliano fulani. Kama kweli, Je, Jumuiya za kimataifa kama UN, EU, na...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu kubwa 2 kwanini Miziki wa Tanzania kwa sasa ni Fake, Mgumu na Mbovu

    Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa. Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya. Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama...
  11. JamiiForums Tanzania COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from Tanzania how to fight against the Corona Virus?

    COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from TZ how to fight against Coronavirus? Basically the title: Here in Tanzania, COVID-19 is spoken about by using past-tense; life in Tanzania has returned to normal. The way things in Tanzania have by and large returned...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tarehe 28/10/2020: Siku ya kuweka Historia kuu Tanzania

    Amani iwe nanyi watu wa Mungu! Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha ya watanzania yamezidi kuwa ya kuogofya na ya kusikitisha. Umasikini umekuwa donda kuu la...
  13. JamiiForums Tanzania Marefa wa VPL vs EPL, njoo tuwapime

    Wadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya marefa licha ya uwepo wa VAR. Tuanze na 1. Yupi refa bora Tanzania na England pia 2. Yupi...
  14. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Belarus inaelekea kuwa kama Venezuela na baada ya hapo ni Tanzania?

    Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amesema kwamba wanapaswa kuandaa jeshi kwa ajili ya vita kwa sababu ya hatari zilizoelekezwa kwa nchi yake kutoka Magharibi, "Lazima tufunge mipaka na Magharibi, haswa Poland na Lithuania." alisema. Katika hotuba yake kwenye Mkutano wa Wanawake uliofanyika...
  17. JamiiForums Tanzania Sekta ya Mawasiliano ya simu inavyosaidia ukuaji wa Uchumi Tanzania

    Kwa miaka kadhaa sasa Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua na kuiwezesha nchi kufikia lengo la kuwa nchi ya Uchumi wa kati (lower-middle-income economy) ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia mwisho wa muda iliyokuwa imejiwekea. Huku hili likitokea, Tanzania imejikita katika kuboresha zaidi...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania, Rwanda na Uganda zaunda soko moja la hisa

    Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals kadha za ukanda huu kwa mda wa hivi karibuni but we still hold strong. Haya yote yanafanyika bila...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania to acquire 25% of EACOP as Oil firms set deadline for FID

    Pipeline deal: Oil firms set date for final investment decision TUESDAY SEPTEMBER 15 2020 By FREDERIC MUSISI The government and oil companies - French Total E&P, and China’s Cnooc - are eyeing December or January as the new dates for taking the final investment decision (FID) for development...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi Queen Cuthbert Sendiga Mgombea urais wa Tanzania kupitia ADC, azindua Kampeni Zanzibar, Wavuvi na Wakulima wa Karafuu kuneemeka

    Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…