tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania USA yaionya Afrika kuhusu Uchaguzi; We will not hesitate to consider consequences

    NEC msijekusema hatukuwaambia
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania opposition leader says facing repression as elections near

    Tanzania opposition leader says facing repression as elections near By Reuters Staff 4 MIN READ NAIROBI (Reuters) - Three weeks before elections, the Tanzanian government is getting scared and will do all in its power to stop the opposition, according to Tundu Lissu, a presidential hopeful...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Freeman, Tundu, Salumu (FTS). Nani kaitengeneza hii "Three R" ya Tanzania?

    Wakuu miaka ya nyuma kidogo kunako Timu ya Taifa ya Brazil Almaarufu wapiga samba kulitengenezwa kilichokuja kuwa moja ya kombinesheni hatari, makini na kali kuwahi kutokea katika ulimwengu wa kabumbu a.k.a gozi a.k.a. soka ambapo kombinesheni hiyo ilikuja kujulikana kama Three R, au 3R au ara...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Is Kenya being sidelined in EA? Tanzanian appointed head of South Sudan Revenue Authority

    Fursa nyingine imeiruka Kenya ikaenda Tanzania. Siku za hivi karibuni nchi za Afrika mashariki zimekuwa zikingia kwenye deals/miungano au ushirikiano kwa mambo mbali mbali huku Kenya ikiwachwa inje. Hii imefanya Wakenya waulize mitandaoni "Why is the region hostile to us" , "Why do they hate...
  5. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Malawi wazidi kung'ara

    ✍🏽 TUKIWA tunaelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba, 2020, Leo Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli amempokea Mhe Rais Lazarus Chakwera wa Malawi pamoja na ujumbe wake aliyekuja Tanzania kwa lengo la kufanya mazungumzo kuhusu kuimarisha mahusiano baina nchi hizi mbili hususan katika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu 28 Oktoba 2020: Ufahamu mfumo na Mzunguko wa Uchaguzi unaotumika Tanzania

    Mfumo wa Uchaguzi Kwa Mujibu wa Jarida la Tume ya Taifa ya Uchafguzi Tanzania Ukurasa wa 8 Tanzania inatumia mfumo wa uchaguzi ambao mgombea anayepata kura nyingi halali kuliko mgombea mwingine yeyote ndiye hutangazwa kuwa mshindi (First – Past – the Post). Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 41(6)...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Natamani katika haya majimbo 11 ya Ubunge uchaguzi uwe Huru na wa Haki ili nipime nguvu ya upinzani Tanzania!

    Ni majimbo yafuatayo: 1. Kawe 2. Mikumi 3. Iringa mjini 4. Mbeya mjini 5. Tunduma 6. Hai 7. Karatu 8. Bunda 9. Tarime mjini 10. Tarime vijijini 11. Arusha mjini Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa. Maendeleo...
  8. JamiiForums Tanzania Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama...
  9. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye mapokezi ya Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera nchini Tanzania

  10. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music

    Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music Facebook Twitter Email The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical landscape, success, expanding his empire and more CHRISTOPHER A. DANIEL GRAMMYS OCT 6, 2020 - 1:36 PM When...
  11. JamiiForums Tanzania Tamko la Tanganyika Law Society (TLS) juu ya uamuzi wa kamati ya mawakili kumuondoa Bi. Fatma Amani Karume katika rejista ya mawakili Tanzania bara

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) JUU YA UAMUZI WA KAMATI YA MAWAKILI KUMUONDOA BI. FATMA AMANI KARUME KATIKA REJISTA YA MAWAKILI TANZANIA BARA NA UAMUZI WA WAKILI FATMA AMANI KARUME KUKATA RUFANI Mnamo tarehe 2 Oktoba 2020 Baraza la Uongozi la Tanganyika Law Society (TLS)...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Lazarus Chakwera wa Malawi kuzuru Tanzania

    The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit as to mining the extraordinary experience in leading his country in prosperity and Panasonic growth...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vina safari ndefu sana ya kujenga Taasisi zao kuwa zenye uimara wa kiuongozi

    Vyama vya upinzani ambavyo vinataka vipewe dola vina safari ndefu sana ya kujenga Taasisi zao kuwa zenye uimara wa kiuongozi na hata uendeshaji wake. Kwakweli vyama hivi haviishi vituko kila kukicha. Wikiendi hii tulishuhudia Chama cha ACT Wazalendo cha Zitto Kabwe kikizundua Ilani yake ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania sio maskini na IMF ni mabeberu, Magufuli ukatae msaada wao sasa

    Siku ya leo, taasisi ya kimataifa ya fedha duniani (IMF) imetangaza kutoa msaada wa kifedha kwenda kwa nchi 28 maskini zaidi hapa duniani. Katika orodha hiyo, Tanzania imekuwa ni nchi mojawapo. Japokuwa sote tunajua misaada hii haiji hivi hivi, mara zote nchi husika 'hupiga magoti na kuwalamba...
  15. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tume ya Uchaguzi ya Tanzania haijandaa karatasi zenye majina ya wagombea za kupigia kura? Au zimeandaliwa za namna nyingi?

    Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea wanaotumia lugha ya matusi na uchochezi kwenye kampeni wataondolewa kwenye karatasi ya kupigia kura. Yaani...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wakenya waionea huruma Tanzania, jameni tuna mengi ya kushukuru

    Ni dhahiri kwetu hapa Kenya tuna changamoto zetu, hamna taifa lisilokuwa na kasoro, pia tuna migawanyiko yetu na mara nyingi huwa tunakubali kutokubaliana, ila kwa wenzetu Tanzania ukifuatilia siasa zao, unajiuliza mbona waharibu hela nyingi hivyo kufanya kampeni za maigizo zisizokua na umuhimu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polisi hawapaswi kuuunganisha wahalifu na kabila wala chama chao cha siasa, waache mara moja tabia hii mbaya

    Kuna mambo mengi polisi wa Tanzania wanatuhumiwa kukosa ujuzi wa kazi zao (professionalism) na hata kuwepo kwa madai kwamba tatizo la polisi wetu ni kwamba wengi wao ni wale ambao hawakuwa na matokeo mazuri shuleni. Labda ni kweli. Na labda kuwepo kwa uwezekano huu ni pale ambapo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe na dhana ya vyama mamruki, Kweli Tanzania vipo?

    Kimantiki maelezo ya mh, Mbowe wakati akitoa msimamo wa chama cha CHADEMA kuhusiana na kusimamishwa kwa mgombea wa kiti cha urais wa chama hicho mh, Tundu Lisu na kamati ya maadiri ya tume ya taifa ya uchaguzi, Mbowe amevirushia dongo vyama ambavyo viliunga mkono kusimamishwa kwa mgombea wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…