Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Hivi karibuni kumekuwa na hoja kutoka kwa vyama vya upinzani nchini hasa CHADEMA wakidai kuwa maendeleo yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Raisi Magufuli ni maendeleo ya vituna sio maendeleo ya watu. Hoja yao inajikita kwenye mambo kama ujenzi wa bwawa kubwa la umeme...
Tanzania: Laws weaponized to undermine political and civil freedoms ahead of elections
12 October 2020, 11:19 UTC
Tanzanian President John Magufuli’s government has built up a formidable arsenal of laws to stifle all forms of dissent and effectively clamp down on the rights to freedom of...
https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/
Kama tunavyofahamu tarehe ya uchaguzi 28/10/2020 ndio siku ya kuchambua kati ya mchele na pumba.
Hiyo siku ya uchaguzi itakuwa ni siku ya jumatano ambayo kikalenda ni siku nzuri sana kwa wale wapenda nyota.
Pia kwa zile sherehe za wenzetu...
For those who have been preaching how the Kenyan economy has been dying, please come and see this. joto la jiwe and Geza Ulole .
In 2020, Kenya went into lockdown but Tanzania didn`t attempt such a thing. With that logic, Tanzanian banks should be performing better than Kenyan banks since they...
Wanabodi,
Kuhusu Uchaguzi Mkuu wetu na ushindi wa kishindo wa JPM na CCM, huko nyuma niliwahi kutoa angalizo hili muhimu la kiusalama
Security alert kwa Serikali yetu, tuwe makini sana na Marekani: Kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga Kutu-Libya?
Kabla ya hapo...
The country is losing millions of shillings daily in a tax evasion scheme between Kenya Revenue Authorities employees and crafty importers. And as Sam Ogina reports importers and KRA officials at the Namanga border are now using fake import declaration forms to fraudulently allow trucks from...
Habari za wakati huu?
Imekua kawaida sana hasa baada ya uchaguzi Mkuu na mpaka kufikia hatua ya kuapishwa kua raisi wa nchi, Wakati akiwa amekabidhiwa nchi punde Mda si mrefu hua wanamfata mkewe popote alipoajiliwa na kumuachisha shughuli aliokua anafanya (ajira yake) pengine kwa kuwaaga...
TEC na FPCT Ni vituo vya kidini ya kikristu vilivyoko eneo la Kurasini, Dar es Salaam. Kwasasa vituo hivi vimezunguukwa na shughuli mbalimbali za kiuchumi wa bandari kuu ya Tanzania. Viko katikati ya matenki ya mafuta na makontena.
Uwepo wa taasisi hizi katikati ya shughuli za kiuchumi...
Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari?
Wakati wa ufunguzi nitaomba serikali inialike, asante.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi Mheshimiwa Sana James Mbatia amesema chama chake kinakwenda kuchukua nafasi yake na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Mbatia amesema baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995 NCCR Mageuzi kilikuwa chama kikuu cha upinzani...
Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala viongozi wa CCM hawawezi kutamka moja kwa moja kuishambulia Marekani kwa kuitaja kwa jina zaidi ya kuishia...
Vyuo vyetu vimetangaza masomo ya umahiri kwa 2020/2021 na sifa zinazotakiwa ni hizo hapo chini. Njia moja ya kupata degree hizi ni by research na vigezo vyake nimeviwekea rangi. Utaona ya kuwa wenye vigezo ni wanafunzi wenye ufaulu mzuri wa kuanzia GPA ya 3.5 au wenye experience kubwa upande wa...
Rais Lazarus Chakwera Alhamisi alirudi nchini kwakwe baada ya kukatisha ziara yake nchini Tanzania kutokana na kupata dharura. Muda mfupi baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa (KIA) Rais huyo alitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kutokana na madai ya Wananchi wa Malawi kwamba alikuwa...
Overview
Savannas Forever Tanzania (SFTZ) based in Arusha, is a registered Tanzanian research and communication NGO launched in 2006.
SFTZ uses research to measure the impacts of development projects and leverages that information to build learning networks that connect rural communities and...
Idara ya uhamiaji mkoani Kagera inamshikilia mtu mmoja raia wa Pakstan aliyeingia nchini kinyume na taratibu akitokea nchini Uganda Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutangaza Tanzania ni salama na hakuna Corona.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa...
Tanzania opposition leader says facing repression as elections near
By Reuters Staff
4 MIN READ
NAIROBI (Reuters) - Three weeks before elections, the Tanzanian government is getting scared and will do all in its power to stop the opposition, according to Tundu Lissu, a presidential hopeful...
Wakuu miaka ya nyuma kidogo kunako Timu ya Taifa ya Brazil Almaarufu wapiga samba kulitengenezwa kilichokuja kuwa moja ya kombinesheni hatari, makini na kali kuwahi kutokea katika ulimwengu wa kabumbu a.k.a gozi a.k.a. soka ambapo kombinesheni hiyo ilikuja kujulikana kama Three R, au 3R au ara...
Fursa nyingine imeiruka Kenya ikaenda Tanzania. Siku za hivi karibuni nchi za Afrika mashariki zimekuwa zikingia kwenye deals/miungano au ushirikiano kwa mambo mbali mbali huku Kenya ikiwachwa inje.
Hii imefanya Wakenya waulize mitandaoni "Why is the region hostile to us" , "Why do they hate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.