tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hiyo Tanzania ambayo akina Mandela walikuwa wanaikimbilia, leo ndio inazalisha wakimbizi wa kisiasa

    Kuna sehemu nilisoma kwamba Mandela aliwahi kuishi Morogoro kama mkimbizi wa kisiasa akiwakimbia makaburu, alipewa hifadhi na Nyerere. Bado wengi hatuamini taarifa za kwamba Lema ambaye mara moja moja huwa namfuatilia hoja zake zilizosheheni nondo kwenye bunge la Tz, yaani yuko hapa Kenya kama...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

    Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wapiganaji hao waliugeuza uwanja wa kuchezea kandanda kuwa 'kichinjio' , ambapo walikatakata miili ripoti nyengine zinasema. Watu kadhaa pia walikatwa vichwa katika kijiji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa hawa kuwa dollar millionaires Tanzania

    Inakuwaje wanaJF! Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars millionaires siyo mchezo Aisee ni wakupongezwa. Nimeshangazwa na hawa kuwa dolls millionaires nawapa pongezi...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana. ======= Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni 3.1% Tanzania

    Yamesemwa na ritha minja ambaye ni Mkurugenzi wa Sensa za Twakimu na Jamii. Hiyo ni kwa mwezi October Source: TBC online My take Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
  6. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia amjulia Hali DC wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi. Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

    Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule...
  9. JamiiForums Tanzania Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wa Tanzania Mtandaoni (BUWATA). Weka hapa hoja yako muhimu iwafikie watawala na kuwagusa mioyo yao migumu

    Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni". Vijana wengi sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Wimbi la Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kutishiwa kuuawa linalenga jambo gani na kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    Sasa ni dhahiri kwamba kuna mpango umesukwa wa mauaji ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, wahanga wakuu ni kutoka CHADEMA na ACT-WAZALENDO, ushahidi uko wazi kabisa, lakini je mpango huu wa kinyama umepangwa ili iweje, mbona walioshinda uchaguzi wameshinda kwa kishindo, mauaji haya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli "Tiles" zinazotengenezwa hapa Tanzania hazina square?

    Nimekuwa na Tatizo la kuona kila niki weka tiles, zinapishana. Mara nyingi na nunuaga tiles za makampuni ya hapa nyumbani Tz, kwa sababu ya Urahisi, lakini pia kuinua viwanda vya ndani. Ila mara zote naona mistari haija nyooka, mara zote nikiwauliza mafundi wananiambia tiles za kichina na za...
  14. JamiiForums Tanzania Video hii inatosha kutukumbusha utofauti mkubwa kati ya siasa za Marekani na Tanzania

    Najua wengi mnayafahamu mengi kuhusu tofauti za kimfumo na hata kiutamadumi katika siasa za Tanzania dhidi ya zile za Marekani. Moja ya jambo ambalo wengi wanaliongelea sana ni uhuru wa vyombo muhimu katika ufanyaji wa kazi na majukumu ya kisiasa. Huko Marekani, taasisi moja ambayo ufanyaji...
  15. JamiiForums Tanzania Upigaji kura kwa njia ya posta uanze kutumika Tanzania

    Hii njia nimeiona ndio suluhu ya kuondoa malalamiko kwa juu ya mawakala kufukuzwa au kuzuiw kufanya kazi. Sheria ya uchaguzi ya Tanzania ibadilishwe tuwe tunapiga kura kwa njia ya posta. Watendaji wa vijiji na mitaa wawe wanagawa karatasi za kupigia kura, tunaenda kutumbukiza posta. Mawakala...
  16. JamiiForums Tanzania Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

    Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

    Mfanano wa chaguzi hizi mbili: 1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao.. 2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao.. 3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
  18. JamiiForums Tanzania Ombi la kurejeshewa Internet

    Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao. Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana. Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine...
  19. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinakwama wapi kwenye habari za Kimataifa?

    Katika taarifa za habari za kimataifa vyombo vya habari vya Tanzania viko nyuma sana. Ni kawaida kuangalia taarifa ya habari na kusiwepo habari za kimataifa hata kama kuna matukio makubwa yametokea duniani. Star Tv kidogo wanajitahidi kutoa habari za kimataifa nazo kuna kipindi zinasua sua au...
  20. JamiiForums Tanzania Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

    Toka Richmond Epa Escrow Operations tokomeza Katiba mpya Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…