Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu.
Pia wamesikitishwa na malalamiko ya upinzani kutopewa nafasi sawa pamoja na kuwa na nafasi finyu kwa...
Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote kuanzia Urais mpaka Udiwani.
Huwa najiuliza Tanzania yetu ni nchi ya kawaida na tupo kivyetuvyetu kutokana na utamaduni wetu ni very conservative na lugha yetu ya mambo yote haijulikani to the outside world lakini utashangaa namna tupo effective kwenye worlds headlines
Kuna jambo la kawaida tu linaweza kutokea Tanzania...
The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar...
Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, vyama vya upinzani havijawahi kukubaliana na matokeo katika kila sehemu...
We are deeply concerned by reports of election irregularities, politically motivated arrests, and violence during Tanzania’s elections last week. We urge authorities to fully address concerns of irregularities and will review allegations of the use of force against civilians.
NB: Kwa wale...
Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya.
Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba.
Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana kwamba una support kila kitu hata ubanaji wa haki na demokrasia ya wananchi. Huu uchaguzi ulivyoenda...
Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
Haya ni maoni yangu binafsi.
Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani.
Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya mauaji na chuki na kwamba walioleta vyama vingi wameshindwa kuweka nguzo imara ili kila taifa...
UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.
Foreign, Commonwealth & Development Office
Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.
Minister for Africa, James Duddridge...
Ndugu Rais, nakusalimu.
Awali ya yote ninakupongeza kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa kwako kwa kishindo kuingoza tena Tanzania kwa miaka mingine mitano. Ushindi huo sio bahati mbaya. Watanzania wameridhishwa na uongozi wako unaoacha alama.
Ndugu Rais, ninaomba niende moja kwa moja kwenye hoja...
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020 umekamilika rasmi Leo kwa mshindi wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Joseph Pombe Magufuli Kukabidhiwa cheti cha Ushindi.
Katika hekaheka za Kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, zilizodumu kwa siku 60, kuna Tuzo kumi...
Virtual Private Network
Hellow Great Thinker
Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majaribio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani...
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ataapishwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Novemba 5, 2020, hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa.
Wananchi wanaopenda kuhudhuria wanakaribishwa kufika uwanjani kabla saa 1 asubuhi.
Dkt. Magufuli wa...
Wakuu, poleni na Lockdown ya mtandao hope watarudisha baada ya wanachokitaka kutimia.
Ninataka kuweka tangazo katika moja ya gazeti hapa nchini, hii ikiwa ni hatua ya pili katika jambo ninalolifuatilia, ni hatua ya lazima kwamba tangazo lazima liwepo kwenye gazeti then utaratibu mwingine...
Hii balaa yote sijui angetoka vipi, angetuhumiwa makubwa na kufedheheshwa sana.....ingemharibia sana CV/wasifu.
=============
British MPs raise questions about Vodafone's involvement in censoring Tanzania's opposition
By Will Brown, Africa Correspondent 28 October 2020 • 6:28pm...
Uchaguzi umekwisha,na kwa nguvu za kidola tumerudishwa katika mfumo wa chama kimoja huku kukiwa na vyama vingi vya kuzugia na kudanganyia dunia.
Haya mambo si kwa faida ya Taifa zima, bali ni ego tu ya mtu mmoja na genge lake dogo la watu wanafiki wanaowaza matumbo yao badala ya Taifa zima na...
Wana-JF,
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imehusika kwa kiasi kikubwa katika uharamia huu tulioshuhudia siku chache zilizopita.
Kipindi kifupi kilichopita, Mahakama Kuu ya Tanzania ilitoa hukumu ikisema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi kwa vile ni wana-CCM na wamekuwa wakiipendelea CCM...
MATOKEO RASMI YA JUMLA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni 29,759,699
Wapiga kura waliojitokeza Kura ni 15,910,950
Idadi ya kura halali ni 14,830,195
Idadi ya Kura zilizokataliwa ni 261,755
Kura Walizopata Wagombea
Dkt John Pombe Magufuli wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.