Salaam wana JF,
Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi na taratibu za ndani za kuendesha shughuli zetu za kiutawala kulingana serikali iliyopo madarakani...