tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Safari – Tour Operator General Manager

    First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now seeking a highly regarded hands on General Manager to...
  2. JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020 ======== Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
  3. JamiiForums Tanzania The Economist na Mauongo Yao Kuihusu Tanzania: Waidanganya Dunia Tuna Torture Wakimbizi! Wanapata Faida Gani? Kwanini Tunanyamazia Uongo Huu?

    Wanabodi, Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani kitatokea, tusipo kanusha uongo huo, halafu hicho kitu kikaja kutokea kweli, then, kufuatia kuanuni...
  4. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo Tanzania inaweza kuendelea kuiwezesha sekta binafsi

    Inafahamika kuwa Tanzania imekuwa na kipindi imara cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita. Hii imesaidia nchi hii kuwa yenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi katika eneo la Afrika Mashariki na pia katika Bara la Afrika. Kulingana na utafiti wa Taasisi ya Legatum ya nchini Uingereza...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania na TRA wametufikisha hapa. Aibu

    Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi. Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji wa gesi ya hellium duniani

    TANZANIA KUWA MOJA YA WAZALISHAJI MUHIMU WA GESI YA HELLIUM DUNIANI Gesi ya hellium ni moja ya gesi adimu kabisa hapa duniani, ni gesi yenye sifa ya kipekee kabisa, ambayo inaifanya gesi hiyo kuwa na umuhimu mkubwa kabisa katika matumizi mbalimbali hapa duniani Moja ya sifa kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

    Tanzania kuanza kutengeneza smartphone
  8. M

    JamiiForums Tanzania CAF: Plateau United depart for Tanzania to face Simba SC

    By Polycarp Auta Jos, Dec. 2, 2020 A 45-man contingent of Plateau United FC of Jos has departed for Dar Es Salaam to face Simba SC of Tanzania. This is for the return leg of the first round of the preliminary fixtures of the CAF Champions League on Sunday. Mr Albert Dakup, the club’s Media...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza (Phd) juu ya anguko la Uchumi Tanzania leo kaandika haya

    UZOEFU TOKA ARGENTINA Wiki hii tumepokea ripoti tatu zinazofanana. Kwanza, iliyokuwa hotel maarufu ya Grudoto kubadilishiwa matumizi na kuwa bweni la chuo katikati ya kampeini za kitaifa kuboresha utalii. Kama tujuavyo, utalii unahitaji hotel nzuri. Pili, mgogoro kati ya kiwanda cha Dangote na...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la uhaba wa mafuta ya kula siyo la Tanzania pekee

    Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
  11. JamiiForums Tanzania Monitoring, Evaluation and Learning Director - Tanzania

    Organization: FHI 360 Posted: 3 Dec 2020 Closing date: 1 Jan 2021 FHI 360 is a non-profit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff includes experts in health, education, nutrition, environment...
  12. JamiiForums Tanzania Nini kinaisibu Tanzania ya kijani?

    Haijawahi kutokea Tanzania yetu ikashuhudia haya yanayoendelea. Kwamba uchaguzi unaisha mwezi mzima hakuna Cabinet? Baraza la Mawaziri! Hili sio ndio Serikali? Mkuu wa kaya anataka kutuambia mawaziri au Serikali haina umuhimu tena? Kwamba Waziri wa fedha mgawa fungu ndio ana umuhimu? Waziri wa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inazuia wenye VIZA kutoka Tanzania kuingia

    Wanabodi, Nina Ndugu ambaye yuko serikalini (Paspoti ya Utumishi) na alikuwa na VISA ya miaka 5 ya kuingia Marekani. Wiki iliyopita pamoja na Mkewe waliondoka kwenda Marekani kuwaona watoto wao wanaosoma kule, lakini bahati mbaya pamoja na watanzania wengine wawili, wakiwa uwanja wa Chicago...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vijenge hoja kwa wafadhili zile Tsh. Trilioni 2 za sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, ziletwe kujenga Upinzani Tanzania

    Nawashauri CHADEMA watumie mwanya huu kujenga hoja kuwa zile trilioni 2 ambazo zingeliletwa Tanzania kwa sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, basi wapewe wapinzani wajenge vyama vyao. Najua ni ngumu, lakini hakuna lisilowezekana, inategemea unasimamiaje hoja yako. Kwa haya yanayoendelea...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

    Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Nchi hiyo kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona. CDC imesisitiza kuwa watu waepuke kwa gharama zozote kutembelea Tanzania na kama ikitokea...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji UKAWA sasa kuliko miaka ile ya nyuma

    Huenda CCM ikadhani kuwa mchezo walioufanya mwaka huu katika uchaguzi ni kwa manufaa kwao tuu. Laa mimi sioni hivyo,bali ni wa manufaa kwa vyama vya upinzani vyote nchini. CCM imejipambanua kuwa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, ni nani alitarajia kuwa Mdee ange bebwa na CCM kutumika...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

    Watanzania huwa wana kiburi ya hali ya juu sana maana wanaamini kuwa wao ndio waliikomboa Afrika kutoka kwa Mabeberu. Ukiona waziri wao akifoka jinsi waliikomboa Afrika hadi mate inamtoka mdomoni na mishipa kuvimba kichwani ndio utajua kwamba hii propaganda ya CCM ni nzito sana. Ukweli wa...
  19. JamiiForums Tanzania Authoritarianism wins big in Tanzania amid bloodshed and vote rigging

    Tanzania’s experience points to how a fully empowered autocrat can demolish a country’s constitutional system. SOPHIE NEIMAN Nov 30 When veteran opposition leader Tundu Lissu returned to Tanzania in August, after three years in exile and with a daring plan to challenge incumbent John Magufuli...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi katika Mihimili ya Uongozi Tanzania yanatolewa kufuata hisia za mtu na sio ushahidi (facts) au Sheria

    Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania, na huwa naliona katika mihimili mitatu ya usimamizi wa nchi, kuanzia Raisi, Spika, Mwanasheria Mkuu na hata mahakimu katika mahakama zetu! Viongoi wetu wamefika mahali wanavunja Katiba, Sheria au Taratibu zinazokubalika kwa ulevi tu wa hisia zao binafsi. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…