tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

    Kazi inaendelea sasa ni kazi ya kuendeleza viwanda. Msiotaka maendeleo kunyweni sumu.
  2. Wafanyabiashara watatu kizimbani wakidaiwa kuingiza vifaa vya mawasiliano Tanzania bila kibali

    Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kuingiza na kusimika vifaa vya mawasiliano bila kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) pamoja na kuisababisha Serikali hasara ya Sh69 milioni. Washtakiwa...
  3. Kodi za Tanzania Bara zifanane na za Zanzibar

    Kwa jina la JMT. Sijashuhidia hili ila miaka mingi nimekuwa nasikia kuwa kodi huko visiwa vya Zanzibar iko chini sana. Zamani ndugu yangu mmoja alikuwa anafuata vitu huko. Juzi kati kuna jamaa yangu kanunua TV huko. Hata magari nasikia kodi ipo chini sana. Napendekeza kodi za Bara ziwe sawa na...
  4. U

    Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  5. Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'. Pia ameeleza kuwa Tanzania...
  6. I

    Passport ya Kenya na Tanzania zaorodheshwa namba 8 na 9 mtawalia kwenye Passport zenye nguvu zaidi barani Afrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index. • Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika. • Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha. ✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.
  7. Job Opportunities at HJF Medical Research International, Inc. (HJFMRI)

    About HJFMRI Tanzania Program The Walter Reed Program Tanzania (WRP-T) is a collaborative effort that supports PEPFAR-funded HIV prevention and treatment activities in the Southern Highlands and within the Tanzania People’s Defense Forces (TPDF). HJF Medical Research International, Inc Tanzania...
  8. BAVICHA yaingia nchini Zambia kuwajulia hali wafanyabiashara waliokimbia unyanyasaji Tanzania

    Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta hifadhi ya kibiashara nchini humo baada ya kukimbia manyanyaso nchini mwao. Bavicha imeongea na...
  9. Viongozi kumi (10) Bora Tanzania

    Tanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa. Tunaona mifano ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambaye amepigania uhuru si kwa nchi ya Tanzania tu...
  10. New Vacancies At VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB), April 2021

    1. Position Title: Loan Officers Work reference no. 003 Reporting to: Business Centre Managers PURPOSE OF POSITION To build and maintain a high quality loan portfolio which involves identifying clients, implementing and managing a credit program within a designated operation area of VFT-MFB...
  11. Advocacy And Communications Officer Tanzania at Norwegian Refugee Council (NRC)

    Advocacy And Communications Officer Tanzania Kibondo, Kigoma, Tanzania, United Republic of Job Identification 1378 Job Category Advocacy Location Kibondo Degree Level Bachelor's Degree Job Schedule Full time Job Description All NRC employees are expected to work in accordance with the...
  12. IOM Tanzania Vacancies, April 2021- Operations Assistant-Field Support (8 Posts)

    JOB TITLE: Operations Assistant-Field Support (8 Posts) Vacancy Notice Number IOM/KSU/006/2021 Duty station Kasulu/Makere, Tanzania Type of Appointment & Durations: SST-4 Months with possibility of extension Reports directly to: National Associate Movements Operations Officer Overall...
  13. Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

    Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. ---
  14. Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

    Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi. Mbunge huyo...
  15. US EMBASSY Tanzania Jobs April 2021/ US EMBASSY Tanzania Vacancies

    1. Position Title: Plumber Team Lead Summary: The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the position of Plumber Team Lead in the Facilities Maintenance Office. Duties Supervision 60% ● Supervises a workforce of six skilled employees engaged in...
  16. Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

    Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao . Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni...
  17. Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22. Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China)...
  18. M

    Waziri Mkuu Majaliwa nahisi kwa hili la Kiwango cha 'UKIMWI' Tanzania ' Umedanganywa' na uliowaamini kiutendaji huko Serikalini

    Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu. Mheshimiwa Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa kuna mahala nimekusikia na kukuona ukitoa Taarifa juu ya Maambukizi...
  19. Urusi yasitisha safari za ndege kati yake na Tanzania

    Serikali ya Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati ya Nchi hiyo na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa CoronaVirus Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya mlipuko itatengemaa. Mbali na Tanzania, Taifa hilo pia litasitisha...
  20. Je, Corona phase II imeisha Tanzania?

    👉 Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na Kigogo, Maria Sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo wake juu ya janga hili 👉 Viongozi mbalimbali wameondoka katika kipindi cha hivi karibuni huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…