tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Passport ya Tanzania ni ya 73 duniani

    Kwa mujibu wa 'henley passport index' Passport ya Tanzania kati ya mataifa 219 imeshikilia nafasi ya 73. Orodha hii inaangalia uhuru wa kusafiri. Ukiwa na passport ya Tanzania mpaka sasa unaweza kusafiri kwenye nchi 70 bila kuhitaji visa au kupata visa pindi tu utakapowasili kwenye nchi husika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!

    Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  3. B

    JamiiForums Tanzania BRELA inakimbiza wawekezaji

    BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa. Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

    SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border. Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh. Njooni tuwape...
  5. JamiiForums Tanzania Mamlaka gani hapa Tanzania inatoa 'Leaving Certificate' ya Darasa la Saba na Kidato cha nne kwa sasa?

    Wakuu na mamlaka husika (Wizara Elimu na TAMISEMI) Uzi wenye sura ya swali umeletwa jukwaani hapa baada ya kufanya jitihada za kutosha kutafuta mwongozo wa kuaminiwa kutoka serikalini , lakini imeshindikana kupata. Taratibu za sasa katika utafutaji ajira na kujiendeleza kielimu unahitaji uwe...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania bado nchi masikini sana, 90% ya magari yanayotimika Tanzania yana umri zaidi ya miaka 10

    Nashukuru mwaka jana baada ya uchaguzi waziri Mpango alikiri kua umasikini Tanzania ndio nyumbani kwao. Ukitaka kujua kama raia wa Tqnzania ni mafukara angalia, magari zaidi ya 90% yanayotembea Tanzania ukiachia magari ya serikali yana umri zaidi ya miaka 10. Maana yake ni kua watanzania bado...
  7. JamiiForums Tanzania Muuguzi aliyempiga Mjamzito vibao akutwa na hatia na kuondolewa kwenye baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga vibao Zulfa Said aliyefika kujifungua kituoni. Tukio hilo, lilitokea tarehe 5 Januari 2021...
  8. JamiiForums Tanzania CUF: Vikwazo vya Marekani na Uingereza dhidi ya Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA MISIMAMO YA MAREKANI NA UINGEREZA DHIDI YA WATANZANIA KUKANYAGA ARDHI ZA MATAIFA HAYO: CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea Matamko ya Mataifa makubwa ya Marekani na Uingereza kwa namna tofauti. Wakati Marekani ikipiga Marufuku Maafisa walioshiriki kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa 2020...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haitekelezi sera ya Elimu ya 2014. Ila bado 95% tunatekeleza sera ya Elimu ya 1995 ambayo tayari imefutwa?

    Juzi Alhamis nilialikwa ITV, Malumbano ya Hoja kuhusu Mfumo wetu wa elimu. Ukweli ni kwamba nchi yetu tuna sera nzuri sana ya 2014 na ilizinduliwa na Kikwete kwa Shamrashamra watu wakisifu sasa tunakwenda kuleta mapinduzi ya mfumo wetu wa elimu nchini ,ila hadi sasa tunatekeleza sera ya elimu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania RUKWA: RC aagiza walimu kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina

    MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, amewaagiza walimu wakuu na wakuu wa shule kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi wawapo shuleni, ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina. Agizo hilo alilitoa jana kwenye mkutano alioufanya Kijiji cha Malonje wilayani Sumbawanga kutokana...
  11. JamiiForums Tanzania Joe Biden aondoa vikwazo vya Viza ya bahati nasibu kwa Watanzania

    Siku moja baada ya kuapishwa Joe Biden aondoa Visa Ban iliyowekwa kwa Tanzania. https://www.whitehouse.gov/briefing-room/presidential-actions/2021/01/20/proclamation-ending-discriminatory-bans-on-entry-to-the-united-states/ ==== Januari 30, 2020 serikali ya Donald Trump ilitangaza kuwawekea...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuingia UK kwa wasafiri kutokea DRC na Tanzania kisa corona

    Hali imeanza kurudi kule kule kwa kufungiana, wasafiri wanaotokea Tz na DR moja kwa moja hawaruhusiwi kuingia UK kisa ugonjwa wa corona. === UK bans passengers from Tanzania, Democratic Republic of Congo to control spread of COVID variant (Reuters) - Britain is banning all arrivals from...
  13. JamiiForums Tanzania Pre and Primary School Syllabus in Tanzania

    Habari ya asubuhi wandugu Naomba mwenye hiyo syllabus ya pre & primary syllabus in Tanzania pamoja na teaching and learning materials kwenye soft copy anisaidie Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Kuliombea mabaya Taifa letu haisaidii Upinzani kukubalika hapa Tanzania

    Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa Tanzania. Ikumbukwe kuwa kama Upinzani ungekuwa unakubalika hapa Tanzania na upo ndani ya mioyo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania na kutokuwa na ufahamu wa ugonjwa wa Hysteria

    Mdau wa jf umeshawahi kuona wanafunzi wa shule ya msingi hasa wa kike wakidondoka hovyo na kupiga mayowe huku wakikimbia hovyo? Huwakuta hata wa secondary mostly wa kike. Basi ugonjwa huu huitwa Hysteria. Basi kwa taarifa yako Watanzania wengi mpaka walimu huamini hayo ni mapepo au majini...
  16. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwe na Watahiniwa wa kujitegemea kwa shule za msingi (Private Candidate Primary School Tanzania)

    EDIT: THE ORIGINAL TITLE WAS, Private Candidate Primary School Tanzania. The thread title was stealthily edited. Shame on the mod who cannot formulate his/her own ideas and stand by them. If you edit, show that this article was edited, by who. Putting your own words under somebody's else name is...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Zanzibar ni mkakati wa kuidumaza ACT Wazalendo isitanuke Tanzania Bara

    Zitto kanyang’anywa chama angali anakiona sasa maamuzi yote lazima yatoke Vuga sio Kijitonyama, badala ya Seif kuwa ceremonial chairman Zitto ndio amekuwa celemonial Party Leader. Wazanzibari hawana interest nyingine zaidi ya nchi yao, yote wanayofanya leo yakiwemo maridhiano ni kwa maslahi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

    Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo. Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Red Cross Society

    Dear All, This is for your information and action. Regards.
  20. JamiiForums Tanzania Makabila haya yanaongoza kwa ulevi Tanzania, yanaongoza kwa akili pia

    1. Wachagga: hivi kuna mchaga asiye kunywa pombe? Nahisi atakuwa anatumia dawa, ila hakuna asiejua wachaga kwenye utafutaji,akili na maendeleo pia. 2. Wanyakyusa: kwanza kabisa Mbeya hakujawahi kutokea njaa na mkoa wa Mbeya ukiacha kulima Tanzania kutakuwa na baa la njaa. Hawa watu wanapiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…