tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Somo la historia ya Tanzania kuanza kufundishwa Machi 2021

    Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha uandishi wa rasimu na mihtasari. Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa wakati akiwaapisha mawaziri Desemba 9, 2020...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

    Daa aise, Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba. Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza. Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China. Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini. Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
  3. JamiiForums Tanzania Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

    Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI. Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa! Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Malighafi zinazotumika Tanzania kutengeneza barakoa zinatoka nje au zinazalishwa na rasilimali zetu?

    Naona MSD wanahamasisha tununue barakoa za ndani lakini kimwonekano zinafanana na zile za majuu kuanzia size,rangi na kila kitu. Najiuliza hizi barakoa zinazalishwa kwa malighafi za ndani au tunaagiza? Kama zinazalishwa ndani wamiliki wa kiwanda ni wazalendo wenzetu au ni ndugu zetu wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Car Insurer anayelipa kwa haraka hapa Tanzania

    Wakuu naomba kutoa malalamiko yangu kwa insurer X ambae amehold kutoa approval ya matengenezo ya gari yangu wakati kila kitu kipo mezani kwake wiki ya 3 hiii. Gari yangu ilikuwa na comprehensive insurance na ilipata ajali ya kawaida na imediately nilikamilisha taarifa za polisi ikiwa ni pamoja...
  6. JamiiForums Tanzania Utendaji mzuri wa Serkali ya awamu ya tano umebadili siasa za Tanzania

    Kwa ujumla sitaki kujikita zaidi kuelezea juu ya namna gani utendaji kazi mzuri wa serikali ya awamu ya tano umeweza kuleta mabadiliko katika ukusanyaji mapato, kudhibiti mianya ya rushwa na kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma. Najua kila mtu anajua kuwa watu waligeuka michwa ya kutafuna...
  7. JamiiForums Tanzania AFCON U-20: Je, Tanzania itafuzu hatua ya robo fainali?

    Michezo ya kundi C AFCON U20 kupigwa hii leo, ambapo Morocco itakutana na Tanzania huku Ghana ikikipiga dhidi ya Gambia. Hii ni michezo ya mwisho ambayo itaamua ni timu zipi zitasonga mbele katika hatua ya robo fainali. Ikiwa Tanzania itashinda mchezo dhidi ya Morocco na Gambia kuishinda...
  8. JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania bara: Azam kumenyana na Tanzania Prisons

    Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa Septemba 26, 2020, katika mchezo ambao Azam ilikuwa ugenini na kufanikiwa kujiwekea kibindoni alama 3...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu watoa huduma kupandisha bei ya huduma?

    Habarini Wana Jamvi, Binafsi ninasikitishwa sana na watoa huduma mbalimbali pamoja na wauzaji wa bidhaa mbalimbali kuhusu upandishaji wa Bei za huduma na vitu kiholela na bila taarifa, unajikuta leo ulipata huduma kwa Bei hii, kesho ukifika umejipanga kwa Bei uliyouziwa Jana lakini cha ajabu...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mzee wa 'Mama Tanzania' yupo kimya sana tangu uishe uchaguzi!

    Yu wapi huyu mwamba au amestaafu? Siwezi kusahau miaka flani ya 2011 au 2012 alivyochambua vizuri mapungufu ya vitabu flani vilivyoingizwa mashuleni. Ilikuwa njema sana. Kwa sasa nilitegemea nisikie kitu kutoka kwake.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  12. JamiiForums Tanzania Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

    Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa. TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena...
  13. JamiiForums Tanzania WHO yasema haina taarifa za COVID-19 kutoka Tanzania

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa yoyote kutoka Tanzania juu ya hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga la corona. Tedros amesema kwenye taarifa yake kwamba hali hiyo inatia wasiwasi na ameitolea mwito...
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO kuhusu Tanzania na COVID-19

  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawaambia kila siku, Tanzania drops 11 spots in Africa e-commerce score, meanwhile Kenya remains among the highest-ranked country

    Kung'ang'ania mshindane na Wakenya mtaishia kupasuka misamba, sisi tupo kwenye ligi nyingine.... Dar es Salaam. The latest United Nations Conference on Trade and Development’s Business-to-Consumer (B2C) E-commerce Index 2020 has seen Tanzania’s ranking drop by 11 spots to currently rank at 110...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
  17. JamiiForums Tanzania 3 New Jobs At Save The Children Tanzania, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Digital Education Project Officer- (1 Post) 2. Digital Education Project Coordinator- (1 Post) 3. Director Of Programme Operations- (1 Post) Deadline for applications: 02 March 2021
  18. JamiiForums Tanzania 14 New Jobs At International Organisation For Migration (IOM) Tanzania, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Click on each below to read more and apply/ Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuaply: 1. National Medical Officer- (6 Posts) 2. Medical Escorts (Doctors And Nurses)- 8 Posts APPLICATION INSTRUCTIONS 1. Interested candidates should fill in the PH form, Download...
  19. JamiiForums Tanzania Sources of law in Tanzania

    SOURCES OF LAW IN TANZANIA 1. Statutes A statute may be defined as an express and formal laying-down of a rule or rules of conduct to be observed in the future by persons to whom the statute is expressly, or by implication, made applicable. (a) Primary or principal legislation These are the...
  20. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yapandisha nauli zake

    Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali. Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote. Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…