tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ilipofikia katika nyanja za uongozi

    Kidogokidogo tutafika katika nchi ya ahadi. Ni suala la muda tu, angalia video hadi mwisho tafadhali.
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University of Tanzania

    Hello Habarini za wanajamii forum? Nahitaji kusoma degree ya Bachelor of science in Energy Resources Open University kwa anaefaham namna ya usomaji wa masomo ya science katika chuo hiki anisaidie maana kwa sasa mimi ni muajiriwa na nahitaji kusoma hii degree! Pia Advance nilisoma EGM na...
  3. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania

    Benki ya Dunia inatarajia kufanya uzinduzi wa Toleo la 15 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania “Tanzania Economic Update” kesho tarehe 3 Machi, 2021. Ripoti hii ya uchambuzi huru wa Benki ya Dunia inaangazia changamoto, mafanikio ya kiuchumi, hali ya umasikini, vipato, rasilimali watu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu asili za viongozi wetu una tija kwa Tanzania ijayo?

    Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata wateule na nchi jirani. Je, vetting inapofanyika huzingatia hali ya ndoa au hujikita tu kwa mteule...
  5. JamiiForums Tanzania Picha:Marais kadhaa wa Tanzania wakiwa wametembelewa na marais wa kimataifa

    Kwa kuangalia hizi picha,umejifunza au umegundua kitu gani?
  6. JamiiForums Tanzania Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

    Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo? Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
  7. JamiiForums Tanzania Tafakari: Vita Kali Tanzania vs Mabeberu

    Katika ulimwengu huu uliostaarabika Mabeberu wametengeneza magari, ndege, meli, Traini, pikipiki mpaka baiskeli. Mabeberu wametengeneza simu za Kila aina, mitandao ya Kila aina , yahoo, google, tweeter, Facebook..Instagram,telegram,viber, Skype , zoom , Microsoft teams nk Hii yote ni kupata...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA

    Habari za leo wakuu, Kwenu wanaume wote Tanzania, Wanaume wanaohitaji kujiunga na chama chetu cha UMOJA WA WANAUME BAHILI TANZANIA nitafute inbox ndan ya mkoa wa Arusha na Tanzania nzima njoo whatsap 0766945239 Ada ya kitambulisho Ni 500 tu.
  9. JamiiForums Tanzania Uganda - Tanzania oil pipeline

    Tanzania ready to start constructing Ug-Tz oil pipeline (independent.co.ug) Dar es Salaam, Tanzania | THE INDEPENDENT) | The construction of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline (Eacop) is scheduled to start next month, Tanzanian newspaper The Citizen has reported today...
  10. JamiiForums Tanzania Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

    Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost two and a half million people have died of the disease. The loss is staggering, and no country has...
  12. JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
  13. M

    JamiiForums Tanzania John Gilbert Bayo au Gilbert John Bayo; Kipimo cha Uadilifu wa Dkt. Tiboroha

    Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na kamati maalum ilioteuliwa na Baraza la Michezo Tanzania BMT kwa maelekezo ya Wizara ya Michezo. Kamati...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania artists only second to Nigeria in the number of streams online.

    Classification of sub-Saharan African countries taking into account the number of YOUTUBE channels of the 3 most popular YOUTUBE Channels.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Gavana Mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu

  16. JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

    Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda. Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Mradi ambao utazalisha ajira...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Masheikh kurundikwa Magereza bila kufunguliwa kesi Mahakamani nchini Tanzania, nini hatma yake?

    Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na hakuna tena kupelekwa mahakamani isipokua ni mateso ya hali ya juu ambayo huwezi kuamini ukiambiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Oman yapiga Marufuku abiria yeyote kutoka Tanzania asikanyage kwao

    Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo. Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana. Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious...
  20. JamiiForums Tanzania ICAP Tanzania Careers, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Program Drivers -(2 Posts) 2. Regional Project Coordinator- (1 Post) 3. Technical Officer- Supply Chain- (1 Post) 4. Linkage And Retention Officer- (1 Post) 5. Technical Advisor- (1 Post) Application close: Mar 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…