tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is to retaliate a maize ban by Kenya

    What next for Tanzania maize after Kenya ban? SUNDAY MARCH 07 2021 Trucks loaded with maize from Tanzania parked at the Namanga border today. Photo| Filbert Rweyemamu Summary Speaking from Namanga border, Agriculture ministry’s deputy minister Hussein Bashe noted that no official communication...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuteua PhD kusimamia sanaa na filamu Tanzania?

    Let us be serious kwenye teuzi zetu, hivi Dr. Ishengoma ni wapi amewahi kushiriki sanaa au kuigiza au kusimamia filim production? Nimetoa mfano huu baada yakuangalia viongozi wanaosimamia sanaa na filamu nchini nikaona most of them are civil servant and academician. Tunapotaka kukuza hizi sekta...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la sumu kuvu Tanzania, liligundulika tangu 2016

    Hivi karibuni kuibuka mjadala baada ya Kenya kuzuia mahindi kutoka Tanzania kwa sababu yana sumu kuvu inayopelekea vifo vya wakenya Katika maktaba tumegundua suala la sumu kuvu ambayo huiotea mazao mengi ya nafaka imekuwepo tangu 2016 ambapo katika wilaya za Chemba na Kondoa Wilaya ya Dodoma...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Ulikua kwa Kasi Zaidi Mwaka 2020 Kuliko Chumi Zote Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla: Citi Researchers

    Tanzania's economy grew the fastest in Africa, 2020-Citi Tanzania is likely to emerge in the coming months as the fastest growing economy in Africa in 2020. This projection is based on data collected by Citi Researchers for Q3, 2020 which puts Tanzania’s Gross Domestic Product(GDP)...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

    Biashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU. Kwa wakazi wa Dar es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania inatakiwa iuze unga wa mahindi nje ya nchi, ni muda muafaka Sasa kulisimamia hilo tusililie kupeleka mahindi Kenya

    Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

    Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda. Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana. Nawatakia Kwaresma yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya. Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya. Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
  9. JamiiForums Tanzania Aga Khan Foundation Tanzania Jobs, March 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. National Project Coordinator- (1 Post) 2. Senior Project Officer- (1 Post) 3. Monitoring And Evaluation Officer- (1 Post) AKF is an Equal Opportunity Employer and is Committed to Safeguarding and Promoting the Welfare...
  10. JamiiForums Tanzania Women's Day -Hamna zaidi Mishono ya Vitenge?

    Nimeshangazwa na jinsi siku ya Wanawake inavyosherehekewa hapa Tanzania. Taasisi kadhaa hata zile za kisomi ni kuuza Vitenge na kuvaa kwa Mishono tofauti. Hakunaga lingine? Mbona wenzenu jirani wana mengi wanafanya na kuonekana?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is Kenya's ban on maize from Tanzania and Uganda has anything to do with this directive?

    Here is what Deputy Minister of Agriculture had to say! Kenya bans maize imports from Tanzania and Uganda, Bashe calls for calm SATURDAY MARCH 06 2021 Trucks loaded with maize from Tanzania parked at the Namanga border today. Photo| Filbert Rweyemamu Summary While in Longido District...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

    Shalom, Baada ya kuwa Ulaya kwa miaka zaidi ya minne, hatimaye mwezi wa tisa mwaka 2020 niliamua kurejea nyumbani ili kumjulia hali baba yangu mzazi pamoja na ndugu zangu. Kwa kawaida mimi napenda sana kutembea, zaidi napenda kufurahia na kujifunza namna miji duniani kote ilivyojengwa. Hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

    Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha anatembelea. Jamaa hana majivuno, anashare mawazo na sisi watu wa daraja la kati wa uchumi wa kati...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania isiwe na vazi moja tu la Taifa, tuwe na mavazi rasmi matano kutoka katika makabila yetu

    Mambo vp JamiiForums? Ninashauri sana nchi yetu ya Tanzania isiwe na vazi moja tu la taifa. Tuwe na mavazi rasmi matano (5) kutoka katika makabila yetu yatakayorasimishwa na kupewa hadhi ya utaifa. Yaaani kama inawezekana mpangilio uwe hivi au hata kama kura ya maoni inaweza kupigwa itakuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Mtokambali: " Wito wa maombi maalum ya kitaifa ya siku 21 dhidi ya wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19)”.

    Wana jamvi amani kwenu ! Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula ya Kenya imesema uchunguzi umebaini kuwa mahindi yayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya wakenya Wamesema mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha mycotoxins, hasa aflatoxins na fumonisins ambazo yanajulikana kusababisha saratani Sumu hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Malawi waanza kupokea chanjo za Corona

    Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona . Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na...
  18. JamiiForums Tanzania Mbuga 3 za Tanzania zaingia kwenye vivutio 25 bora duniani: Serengeti yaongoza, Mlima Kilimanjaro nafasi ya 12 na Mbuga ya Tarangire nafasi ya 14

    Mbuga ya wanyama ya Serengeti nchini Tanzania imechaguliwa kuwa mshindi wa vivutio vya utalii duniani na kampuni ya Tripadvisor. Tuzo hizo hutolewa na kampuni hiyo inayoshushughulika na kutoa mrejesho wa mahoteli na vivutio mbalimbali duniani. Hifadhi tatu nchini Tanzania zimeibuka kidedea...
  19. JamiiForums Tanzania Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano...
  20. JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania: Yanga SC kukabiliana na Coastal union uwanja wa Mkwakwani

    Baada ushindi wa goli 3-0 wa Yanga SC dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wao wa mwisho uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 30, 2020, leo vijana wa Jangwani watakipiga na Coastal Union katika uwanja wa Mkwakwani Kuelekea mchezo huo takwimu zinaibeba Coastal union maarufu Wagosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…