tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Here we go again: US to suspend immigrant visa processing from 75 countries (including Tanzania) over public assistance concerns

    Trump is on offense once again! The countries affected by the suspension announced on Wednesday are: Afghanistan, Albania, Algeria, Antigua and Barbuda, Armenia, Azerbaijan, Bahamas, Bangladesh, Barbados, Belarus, Belize, Bhutan, Bosnia, Brazil, Burma, Cambodia, Cameroon, Cape Verde, Colombia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea kufaidi programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA)

    12 January 2026 Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA Januari 12, 2026 WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) na HOPE/HELP kwa Haiti, ambazo zinalinda na kuimarisha...
  3. JamiiForums Tanzania The Chanzo: Tanzania yauza Afrika Mashariki kuliko inavyonunua

    Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo. Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
  4. JamiiForums Tanzania Mauzo ya kutoka nje ya Tanzania yameongezeka

    Mauzo na UTU
  5. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unaangamia kwa siasa za uchawa

    GT. Na Malisa. Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea? Wakati ule tumeingia...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi alama A za msingi na sekondari na GPA za juu vyuoni zina mchango gani hapa Tanzania kama hazina uvumbuzi wenye tija ?

    Najua kwa mliopata A flat na mkaitwa wanasayansi mtasema nina wivu. Mimi primary tena ya kijijini ndani ndani huko darasa letu lilikuwa la pili kumaliza STD 7 nilipata A flat na kupangiwa shule ya vipaji. Enzi hizo ukipata shule ya vipaji kijiji kizima unajulikana. Mpaka kijiji jirani...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?

    Airtel mna customer care mbovu kwenye simu. Okay, nikaona nije dukani kwenu, aisee…! Okay tuache ilo. Sasa hizi 5G router zenu za ZLT X25 zina lifespan ya muda gani? Yangu imeanza kimasihara kufanya kazi kwa kubeep sahivi hawaki kabisa. Inawaka tu taa kwamba inapokea power ila taa za 4G 5G Wifi...
  8. JamiiForums Tanzania Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

    GT Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika.. Mfano. 1. Mchengerwa 2. RITZ 3..Awesu 4.Jafo 5. Ulega Etc Nchi hii ili iweze kusonga mbele upstairs wanatakiwa wawepo. 1. Wachaga 2. Wahaya...
  9. JamiiForums Tanzania The ICC issued summons calls the President of United Republic of Tanzania to appear before the court

    With the immediate effect the international Criminal Court ICC has issued the Summons for the president of united republic of Tanzania to appear before the court to explain the matters which she is aquatinted with regarding the catastrophic events occurred post 2025 Election. Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tunavyombo vya kuzuia WIZI, havifanyi KAZI analaumiwa Dr Samia ambaye hata course ya Umumugambo Hana so stupid.

    Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana , Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa kwa pesa za kujikimu kwa intake mpya June 2025 mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti. Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
  12. R

    JamiiForums Tanzania China inapinga vikali mataifa ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania

    Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Tanzania hususan kuhusu uchaguzi uliopita 2025 Wang Yi...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania 2026 bila utekaji bila wasiojulikana. Bila kuwa Wauaji wa watu wetu wenyewe

    Hamjambo! 1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi ni mdau na mpenda haki. 2. Nakereketwa na kukerwa nikisikia mtu Fulani kapotea katika mazingira ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania, China Cement Strategic Ties as Wang Yi Pledges Support for TAZARA Revitalization

    DAR ES SALAAM – Tanzania and China have reaffirmed their long-standing strategic partnership, with a renewed focus on modernizing the historic TAZARA railway and addressing trade imbalances. The commitment came during high-level talks held today at the State House in Dar es Salaam between...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Court Orders Influencer to Surrender Social Media Accounts Despite Lack of Evidence

    DAR ES SALAAM – In a ruling handed down yesterday, the District Court of Temeke has ordered social media influencer Clemence Kenan Mwandambo to surrender all his social media accounts and report to the police monthly for a year, despite prosecutors admitting they possess insufficient evidence to...
  16. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii si ya Tanzania ni kutoka nchini Nepal

    Wakuu nimekutana na hii picha yenye mandhari ya kuvutia sana. Navutiwa sana kuishi maeneo yenye utulivu na mvuto kama huu. WanaJamiiCheck naomba mnisaidie kujua hapa ni wapi?
  17. JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi wa Tanzania iongozwe na watu wazito toka Marekani na Ulaya tu

    Tume ya uchaguzi wa Tanzania iwe na viongozi wote toka Marekani na Ulaya tu. Wasimamizi wa uchaguzi Kuanzia ngazi ya madiwani, wabunge, kura za Urais viongozi wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo rasmi wawe wanatoka Marekani na Ulaya(Uk, Germany). Mkuu wa Tume ya uchaguzi awe mzungu...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Community Discussions Around Casino Jackpots and Crash Games in Tanzania

    Community Discussions Around Casino Jackpots and Crash Games in Tanzania The observation is unmistakable on Tanzanian forums and social groups: casino jackpots and crash games have become regular discussion topics. Football fans in Tanzania now follow betting discussions alongside match reports...
  19. JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  20. T

    JamiiForums Tanzania ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%. Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…