Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Sasa ndio kazi mijibaba mikubwa mikubwa naiona ikinyenyekea kwa Sultana Samia,yaani Tanzania ni pekee duniani stresi ni tatizo linaloondoka bila ya kutumia makemikali.
karibu tutaona zile shangwe za mikutano zikianza na mihemko yake,karibu tutaona rasimu ya katiba ya Warioba ikipitishwa karibu...
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa akiwemo Waziri Mkuu
Walioapishwa ni Makatibu Wakuu na Naibu Wakatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali...
NYUMA YA MTAALA WA ELIMU WA TANZANIA
Naomba nianze na ile salamu yetu ya " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee".
Leo tarehe 6/4/2021 nimefarijika sana baada ya kusikia kauli muhimu " tendo uneni" kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan...
Hotuba ya mama inatoa uelekeo wa Tanzania mpya. Ameongea mambo mengi lakini nitatoa maoni kwenye manne;
1. KODI Mama hataki matumizi ya nguvu kwenye kodi. Anajua wafanyabiashara wanatishwa kupewa kesi za uhujumu uchumi ili kulipa kodi. Huu ndio ulikua mchezo wa TRA kwenye utawala wa...
Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu.
Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu.
Rais Samia...
Aisee mafuta ya kula yanapanda kila siku, sababu iliyotolewa na Serikali ni kuwa Corona ndio imesababisha watu wa huko tunakoagiza haya mafuta kutofanya uzalishaji na kupelekea mafuta kutokuwa ya kutosha na hivyo kupanda. Yaani dumu lalita 3 ya mafuta ambalo nilikuwa nanunua 13,000 sasa hivi...
Ni kweli tupo kwenye ulimwengu wa kidigital, hivyo huwezi kuwakwepa watumiaji wa mitandao. Maana mitandao kama JF huku watu wanatiririka ukweli tofauti na kwenye magazeti.
Lakini hii sio sababu ya kusema kuwa serikali iwe na watumishi amabo inawalipa mishahara alafu hawajui masuala ya...
Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje.
Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
Unaweza kudhani uliyenae (tena Msaidizi wako) anakuunga mkono katika Maamuzi yako ya Kipuuzi kumbe Yeye Moyoni mwake si anakusanifu bali pia anakuona bonge la Juha.
Pia nimegundua ya kwamba Watu wa karibu (Wasaidizi) wa Siasa za Tanzania wakawa na Mawazo mazuri ya Kujenga na Kuisaidia Tanzania...
Mods naomba msiunganishe huu uzi maana una maudhui ya kipekee!
Amani iwe nawe Mama!
Kwanza napenda kukupongeza kwa jinsi gani umeonekana kuwa unasikiliza maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi haraka. Haya nimeyaona kwenye teuzi zako mbalimbali kuanzia Bandari, Katibu Mkuu Kiongozi na sasa...
Maendeleo yoyote husukumwa na ubunifu! (Creativity)
Ili mwanasayansi agundue lazima asukumwe kufanya ubunifu!
Ili mfanya biashara atambulishe fursa lazime atangulize ubunifu!
Ubunifu ni Imani ya kutarajia suruhisho!
Endapo watu wakiongozwa kwa vitisho na sheria mbovu Imani hiyo ya ubunifu...
hii ni moja ya kampini iliyo funga biashara zake tanzania mapema kabisa baada ya beana yule kushika madaraka
tafadhari kama mawakala mpo huku tunaomba shaurianeni mturejeshee huduma zenu kwa sababu kuna baadhi ya bidhaa tulizipata kwenu wakati sehemu zingine hazipo
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
Tanzania, Mozambique ink broadband deal
SUNDAY APRIL 04 2021
ICT minister Faustine Ndugulile speaks to the media. PHOTO|FILE
Summary
The project includes the construction of the fibre optic layout, power and transmission equipment, the mechanical building, the guard booth and the fireplace...
Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo?
Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la leo.
Kwanza naomba nikupongeze kwakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumteua Waziri mpya TAMISEMI najua uchapaji wake kazi sio wa kitoto.
Naomba mama ikikupendeza tendea haki uhamisho wa watumishi waliokamilisha uhamisho na kusubiri vibali kutoka tamisemi, maana kuna màmbo ambayo sio...
Kwa kweli ndani ya awamu ya tano Tanzania ilivuruga sana kwenye mahusiano ya kimataifa na baina yake na majirani, nakumbuka hadi Ma-DC wa wilaya za mipakani walikuwa na jeuri ya kuita vikao vya wanahabari na kuzomea na kuibuka na kauli za kwamba wamezuia wakenya kuingia Tanzania, jameni...
Nimeona clip ya Naibu waziri wa Kilimo, Bashe na baadhi ya wakulima wa bustani pale Arusha, wakijieleza kwa kudeka sana, na kueleza eti kodi ni kubwa. Kodi yenyewe ni 18%. Huu ni uzembe ktk biashara na ni tatizo la mazoea.
Wakati mukilenga kumtisha rais, kumbukeni pia kuna maelezo ya kupanua...
Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021.
Nini maoni yako.
#MitanoTena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.