tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tumshinikize Rais Samia kuhusu satellite ya Tanzania...

    Ikifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi. Kenya wanayo, Egypt wanazo 9. Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama Taifa. Ni nusu ya ndege moja tunazonunua au even chini ya hapo. Faida zake ni nyingi mno kulingana...
  2. JamiiForums Tanzania ICAP Tanzania Jobs, April 2021- (3 Various Posts)

    ICAP Tanzania Jobs 2021/ ICAP Tanzania Careers 2021 1. JOB TITLE: Inventory and Asset Assistant Job no: 495106 Location: Tanzania - Dar es Salam POSITION SUMMARY: Inventory and Asset Assistant with safety, efficiency and customer service a priority, is accountable for the overall warehouse...
  3. JamiiForums Tanzania Silaha aina gani zinaruhusiwa kumilikiwa na mtu binafsi Tanzania?

    Hivi ni aina gani za silaha anaruhusiwa kumiliki kisheria mtu binafsi? Au yoyote unayohitaji?
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais mwenye Maono, Msimamo, Uzalendo na Uchapakazi. Asiwe lelemama

    Kwa kiwango cha unafiki tulicho nacho Watanzania. Rais lelemama hawezi ifanikisha Tanzania hii iliyojawa na watu wenye maneno mengi kuliko vitendo. Tanzania ambayo imejaa WANAFIKI WA KIWANGO CHA KIMATAIFA, WANAFIKI WA HADHI YA NYOTA 5. Si ajabu sasa wanaanza kupanga na kujipanga kuanza...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejea Tanzania na hakuwa na barakoa

    Jana Rais Samia alionekana nchini Uganda akiwa amevaa barakoa kwa mara ya kwanza wakenya wakaandika uhuni kama walivyozoea Alivyorejea kutoka Uganda hakuna aliyetaka kujua kama mama alivyaa barakoa au la, lakini kiukweli mama amepokelewa akirejea nchini bila barakoa What does this mean? Mama...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tumia Teknolojia kuiokoa Tanzania

    Kwako Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Hoja yangu kwa sentensi moja: napendekeza serikali iwekeze kwenye matumizi ya teknolojia (haswa simu, mitandao ya mawasiliano, na apps) ili kuboresha utumishi wa umma na utawala bora. Hoja yangu kwa kirefu kidogo: napendekeza uanzishe Shindano La Ubunifu...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Music Industry: Kenya Vs Tanzania

    Kwenye nyanja mbalimbali kenya wametuacha sana lakini nini tatizo kubwa linalofanya muziki wa Kenya usifanye poa kuliko wa Tanzania kwenye mziki wao? Tz pamoja na kutumia zaidi Swahili katika nyimbo zetu tofauti na majirani Kenya wenye kutumia lugha zaidi ya moja; bado angalau katika soko la...
  8. JamiiForums Tanzania Distributive justice; Mnyonge ni nani Tanzania na ni kipi anachostahili

    Mnyonge hasa ni nani Tanzania, ni kipi anachostahili, nani afanye nini na ni yapi madhara ya kutumia dhana hiyo isivyostahili. 1. Mnyonge ni mtu asiyeweza kujipigania yeye mwenyewe ili kuweza kujipatia mahitaji yake ya msingi. Kwa mantiki hiyo, ni kweli tuna wanyonge nchini ambao ni 'walemavu'...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakwamisha ukuaji wa kilimo cha umwagiliaji Tanzania?

    Tanzania imebarikiwa kila kitu kinachofaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Tuna ardhi ya kutosha kabisa. Nchi yetu ina eneo kubwa la kilomita za mraba 900,000+ . Wanasema tuna eneo la hekari milioni kama 30 zinazofaa kwa umwagiliaji lakini eneo linalomwagiliwa halifiki hata 1m. Maji, Tanzania ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu elimu ya awali Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano Ninao ushauri mdogo kuhusu elimu yetu ya awali nchini. Kwanza niwapongeze sana TIE kwa miongozo sahihi nayakisasa ya namna ya kumfundisha mtoto, hasa baada ya kuleta mtaala mpya unaojenga UMAHIRI/COMPETENCE BASED CURRICULUM Shida iliyosalia nikwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Kutokana na Ripoti ya CAG, bado kuna anayeamini Tanzania imeingia uchumi wa kati?

    Hili ndio swali langu la leo kwa wananchi wote wa Tanzania, kwamba pamoja na njaa waliyonayo watanzania ukichanganya na huu wizi uliovunja rekodi ya Jumuiya ya SADC uliofichuliwa na CAG, hivi bado kuna Mtanzania yeyote anayeamini nchi yake imeingia kwenye Uchumi wa Kati, kwa lipi hasa?
  12. JamiiForums Tanzania Wahandisi watusaidie: Kwanini Tanzania Matumizi ya Matofali yenye Uwazi Katikati ni Madogo sana?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, tofali zenye uwazi katikati (Hollow Cement Block) zinatumika kwa uchache sana. Pamoja na faida zake nyingi, najiuliza ni kwa nini?
  13. JamiiForums Tanzania Falsafa ya Kiafrika ya Ubuntu inavyoweza kusadia kupambana na ubadhirifu wa mali za Umma Tanzania

    Ubuntu ni falsafa ya Kiafrika inayosisitiza ushirikiano wa jamii kama msingi wa maisha bora. Ubuntu ni neno la Kingoni linalotafsirika kwa Kiswahili kama "mtu si mtu bali watu". Msingi wa falsafa hii ni mtu si mtu bali watu. Katika lugha ya Kihaya "Omuntu ti muntu ka ataliho bantu". Falsafa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?

    Rais wetu huyu mpya majuzi katangaza kuwa ataunda sijui kamati ya Corona. Bado sijaelewa hasa lengo na madhumuni ya hiyo kamati yatakuwa ni yepi. Sasa ni zaidi ya mwaka na ushee tokea dunia ikumbwe na hili janga. Kwa jinsi mwelekeo wa hali unavyoonekana, janga hili ni kama vile linaelekea...
  16. JamiiForums Tanzania Mila na utamaduni: Tanzania wanakozikwa watu wakiwa wameketi hadi Cameroon wanakopiga matiti pasi, angalia tamaduni za ajabu Afrika

    Muacha mila ni mtumwa lakini kuna baadhi ya mila zinazoendelezwa Afrika ambazo ni nzuri na zinawafanya Waafrika kutambua urithi wao kitamaduni lakini nyingine ambazo zitakushangaza. Baadhi ya mila hizo zimetajwa kama dhalilishi au zinazokiuka haki za kimsingi za binadamu. Leo tunaangazia...
  17. JamiiForums Tanzania Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  18. JamiiForums Tanzania New Job UTUMISHI At Tanzania Coffee Board, April 2021

    JOB TITLE: LIQUORER GRADE II-1 POST 8.1.1 DUTIES & RESPONSIBILITIES i. Carries out coffee roasting outturns and pre-auction cupping preparations; ii. Safe keeps and updates liquoring files of catalogues; iii. Assists in writing bulking instructions and dispatches them to factories; iv...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ripoti ya CAG, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi asimamishwa kazi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na rasilimali za serikali. =============== DEVOTHA MDACHI =============== "Mimi naweza kuwekwa Pembeni...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

    Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri. Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…