tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    Tetesi: Vodacom Tanzania wasitisha utoaji wa Line mpya za Uwakala za M-Pesa

    Habari za muda huu wanaJF! Bila kupoteza muda kuna tetesi kuwa Vodacom hawasajili tena laini mpya za uwakala wa M-Pesa. Mwenye taarifa tafadhali atueleze nini kimetokea huko.
  2. Mtazamo: Hatari kuu za kiusalama katika Taifa la Tanzania

    Nawasalimu wote. Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa Cha uzi Hapo juu kinavyojieleza kwamba huu Ni mtazamo wangu TU na Kama nimepotoka nitakubali kushauriwa na kukosolewa kwa staha na matusi yote poa. Kuna Mambo mawili ambayo huwa nayafikiria Sana lakini sipati majibu, na Mambo hayo ni...
  3. E

    Wazo la kuanzisha Tanzania Mechanical Engineers association (TME)

    Kila nikitazama mwenendo wa fani mbalimbali katika nchi yetu ninaona upo umuhimu mkubwa wa wataalamu kuanzisha umoja kwa wana taaluma mbalimbali kuweza kukaa pamoja kujadili changamoto na fursa zilizoko katika taaluma yao ili kwa umoja wao waungane kuleta maendeleo katika taaluma yao na Taifa...
  4. Is there any political instability in Tanzania? Kuna mgogoro wa kisiasa au hakuna?

    Straightly forward, kuna mgogoro wa kisiasa nchini au hakuna? Kama kuna migogoro ya kisiasa tinajengaje uchumi wa nchi? Umewahi kuona wapi inawezekana hiyo? Kama hakuna mgogoro wa kisiasa ni kwanini kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani nchini yupo ndani hadi sasa? Ni kwanini wanachama wake...
  5. Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo

    Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo mwenye umri wa miaka 38 katika pambano la kugombea mkanda wa ABU (African Boxing Union) uzito wa Super Welter katika ukumbi wa Kilimanjaro Hall, Ubungo Plaza, Dar-Es-Salaam. Rekodi ya...
  6. R

    Sheria ya Uhamiaji: Nahitaji kupata nyaraka gani kuishi na kumiliki ardhi Tanzania kama mgeni?

    Habari ndugu? 1. Ni vitambulisho gani vinavyotakiwa kupata kwenye ofisi ya uhamiaji vitakavyoniwezesha kuishi Tanzania kwa amani na usalama kama mgeni (kutoka USA)? 2. Nifanyeje ili nipate uwanja na kujenga nyumba bila shida nchini Tanzania kama mgeni (immigrant)?
  7. L

    Chanjo ya COVID-19 Tanzania: Mwelekeo mzuri, bado safari ni ndefu

    Hivi karibuni wizara ya afya ya Tanzania ilitoa takwimu za idadi ya watu waliopatiwa chanjo ya COVID-19 nchini humo imefikia laki 2.07, ikiwa ni moja ya hatua za kupambana na janga la virusi vya Corona. Chanjo ya COVID-19 ilianza kutolewa nchini Tanzania baada ya Rais Samia Suluhu kuzindua kazi...
  8. N

    TAKUKURU Tunaomba msiwaonee haya viongozi wote waliopokea hongo ili chanjo ije Tanzania kama ilivyodaiwa na Askofu Gwajima

    Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania? Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa chanjo feki ili kuwahadaa wananchi. Sasa basi kwakuwa Tayari Waziri kaelekeza TAKUKURU mumkamate na...
  9. Balozi wa Marekani Nchini Tanzania aingia Kanda ya Nyasa

    Je ataonana na Mwenyekiti wa Kanda hiyo Mchungaji Msigwa ? Ngoja tusubiri tuone Pichani : Akila Mahindi matamu ya Iringa
  10. S

    Viongozi wa Vyama vya Upinzania Tanzania msikate tamaa, soma historia ya Rais mpya wa Zambia utajifunza kitu

    KUPATA UONGOZI KATIKA NGAZI YA NAFASI YA URAIS SIO JAMBO LA DAKIKA MBILI , UVUMILIVU , KUMUOMBA MUNGU , KUANDAA SERA SHIRIKISHI , KUPIGANIA DEMOKRASIA ,KUWA MAONO YA MBELE NI BAADHI VITU VINAVYOTAKIWA KUANGALIWA SANA WAKATI WA KUANDAA NJIA. Rais Mpya wa Zambia na vikwazo alivyopitia kutoka...
  11. Wale wenye sera ya Majimbo waangalie Ethiopia

    Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa mizozo ili wamiliki kirasi uchumi wake. Nchi kama Ethiopia imehangaika miaka mingi kujenga uzalendo wa...
  12. N

    Yanayowakuta Simba kwa media iwe onyo kwa teams nyingine za Tanzania huko kimataifa

    Ukaichilia team moja tu ambayo kupitia kwa watu wake inaratibu syndicate hii kubwa inayohusisha waandishi takataka lifuatalo ni onyo kwa teams nyingine za bongo zinazoenda kimataifa: Msithubutu kufanya vizuri hata kidoogo simba ndani ya miaka 3 kaingia robo fainali mara mbili na sasa ni ya 12...
  13. Hatari kubwa: Elimu ya Tanzania inafundisha watoto kuwa vigeugeu

    Mfano mmoja ni huu: Mtoto akiwa darasa la kwanza anaambiwa 1-2= Haiwezekani halafu akifika darasa la sita anaambiwa 1-2= -1 hiki kitu kinaonekana cha kawaida ila ni kosa kubwa sana. Marekani kuanzia kindergarten watoto wanafundishwa 1-2= -1 na inaenda mpaka chuo kikuu. Kwa elimu niliyopata...
  14. Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
  15. M

    Upinzani wa chanjo ya ‘mwendokasi’ ya COVID-19 haupo Tanzania pekee

    Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za...
  16. SADC ina faida gani kwa nchi yetu?

    Habari wakuu. Naomba kujuzwa faida za SADC kwa nchi yetu.
  17. Taratibu za kurasimisha dawa asili kwa Tanzania ni zipi?

    Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili. Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba. Msaada wadau.
  18. Ushindi wa upinzani Zambia uwe somo kwa polisi ya Tanzania na CCM

    Zambia imewezekana Mara nyingi na hata Malawi hapa kwetu Kuna wahuni wanajiita polisi (sio JWTZ hawa wanaheshimika) na wahuni wengine ni CCM kama mnaamini mnapendwa sana na watanzania na kwamba upinzani ni dhaifu wekeni uwanja huru Kama Zambia ili mjithibitishie mnapendwa Ila kwasababu...
  19. M

    Wanayanga SC mmemsikia na kumuelewa Mchambuzi Oscar Oscar wa EFM na TvE?

    Unaenda Morocco Kwa siku 10. Siku 4 ni safari ya kwenda na kurudi. Siku moja ni mapumziko. Siku 5 ni Pre-Season! Sio Bangi kweli hii? Chanzo: Twita Akaunti yake.
  20. Tunahitaji Magufuli mwingine aje kushughulika na kilimo Tanzania

    TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA. Israel 🇮🇱 pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya Tanzania 🇹🇿 yenye 945,087 km² na yenye ardhi ambayo 49.7% inafaa kwa kilimo na nearly 61,500 km² about...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…