Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA)
Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
Hongera kwa majukumu popote ulipo!
Uchumi wa Tz kwa kiasi kikubwa unategemea au umefungamana na kilimo.
Kwa kumbukumbu zangu, niwie radhi kama nakosea, hakuna chaneli ya TV inayorusha matangazo /makala kuhusu kilimo pekee.
Je, ni kwa nini hakuna chaneli ihusuyo kilimo tu kwa lugha ya...
Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega amesema uamuzi wa Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi.
Tendega ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Juni 1, 2021 bungeni wakati akichangia katika hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Iko hivi, kipindi kulivyoibuka vita ya maneno kati yetu na Malawi niliangalia mpaka wetu na Malawi kupitia picha za satellite nikaona mpaka huo umepita katikati ya ziwa Nyasa.
Siku chache mbeleni nikaangalia tena nikaona mpaka upo pale...
Serikali kusema uongo ni kosa. Kamati inayoundwa na Rais wa nchi nzima kusema uongo ni kosa zaidi. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kusema uongo au kupumbaza watu. Chanjo ya korona, tuchague moja. Kusuka ama kunyoa!! Kama haina madhara, ni ya ufanisi kama ilivyopendekezwa na Kamati tuichukue. Kama ni...
Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop.
Underground hip-hop Ni aina ya rap inayofanywa na wasanii ambao wamejikita kuelezea matatizo...
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo alisema kuwa utiaji wa makubaliano hayo ni mojawapo ya jitihada za kuwezesha mahusiano ya biashara na nchi jirani kufuatia ziara iliyofanywa nchini Kenya
Alisema jumla ya vikwazo 37 vilijadiliwa katika mkutano wa pande zote hapo...
26 May 2021
Nairobi, Kenya
MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA
Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe .
Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu...
"Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka
---
Anaandika...
Ndugu zetu wa Kusini haya mambo yamewashinda kabisa, wameambulia vigodoro tu. Hehehe
=======
Only three athletes to represent Tanzania at Tokyo Olympic games
Tanzania will be represented by only three athletes in the Tokyo’s Olympic Games after three runners failed to secure qualifying marks...
Ndugu zangu,
Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani".
Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
Kwa mujibu wa Julia Nyerere, mjukuu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye amekuwa akiishi na kusoma nchini Marekani kwa miaka zaidi ya 20, yafuatayo ni mambo 13 yanayomsaidia kuweza kuishi Tanzania ambako amekuta mambo ni tofauti na alivyozoea huko ughaibuni.
Julia Nyerere...
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
Kwa mara ya kwanza baada ya Kifo cha mwendazake tumejionea vile VP anakwenda kuwa Namba moja directly bile votting hata ya kuthibitishwa na walau bunge.
Huu ni upungufu mkubwa katika katiba yetu na unapaswa kuzibwa haraka sana. Kwa mfano Wananchi walimchagua Hayati awaongoze na SSH kama makamu...
Hakuna ambaye kila ' akihubiri ' anakusisitiza Ushike neno na uamini katika Mungu Baba bali wanatulazimisha tuwaamini wao tena 100% utadhani ndiyo Wameniumba GENTAMYCINE wakati kumbe aliyeniumba ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Sasa kama tu 100% ya Wahubiri wa Kiroho ambao ni ' Matapeli '...
MKUU WA MAJESHI WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA- PRETORIA
Leo Jumamosi tarehe 29 Mei, 2021. Mkuu wa Majeshi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, alitembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.