tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mkumbo: Tanzania Iko Tayari kwa Uwekezaji wa Kimataifa

    London, Uingereza — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewahakikishia wawekezaji wa Uingereza kuwa Tanzania ni nchi salama, yenye uthabiti wa kisiasa na inayoendelea kutekeleza mageuzi ya kina ili kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Prof...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Akili za baada ya kushiba: UDOM au UDSM kimoja wapo kibadilishwe jina kuwa University of Tanganyika au University of Tanzania. 🥱🥱😌😌
  3. JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere angewasikiliza Mtei na Kambona uchumi wa Tanzania ungekuwa mkubwa sana

    Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana. Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
  5. JamiiForums Tanzania Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Motisha za Uongo kwa Vijana baada ya na Serikali kushindwa Kutatua Mahitaji ya Msingi Tanzania

    Kumekuwapo wimbi la vijana kupeana motisha za ajabu; mara siku hizi hatari kubwa kwa vijana Tanzania si kukosa ajira bali ni kukosa skills, mara AI ndiyo future na vijana wawekeze katika kujifunza teknolojia ya AI, mara dini ndiyo sababu kuu ya umasikini Tanzania; mara wasomi (shule) haina...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania 50% ya wavulana wenye miaka 20 hawajahi kufanya mapenzi, lakini kwa wasichana wenye umri huo ni 1% tu

    Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili vishawishi. Mtoto wa kike huanza kutamaniwa na kuanza kushawishiwa kufanya ngono mara tu anapoanza...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatengwa kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayetembelea Afrika Mashariki.

    Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao. ========== U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  11. JamiiForums Tanzania Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  12. L

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya magari ya China yazidi kupata soko la Afrika, sasa yamefika soko la Tanzania

    Makampuni ya kutengeneza magari ya China sasa yanaongeza juhudi za kuingia katika soko la magari la Afrika, yakilenga magari ya umeme na magari mseto ya bei nafuu, katika wakati ambao dunia imegubikwa na siasa za kijiografia na kuongezeana ushuru bila sababu, na kuzuia ufikiaji wa masoko ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mjasiriamali kijana wa Tanzania abadilisha nywele kuwa mbolea

    Wakati David Dennis alipoona kwa mara ya kwanza nywele zimetawanyika katika duka lake la kinyozi la shule ya sekondari, hakujua kabisa kwamba nywele hizo zilizotupwa siku moja zitamweka mbele kabisa katika harakati za uvumbuzi wa kijani zinazochipukia. Leo, Mtanzania huyo mwenye umri wa miaka...
  14. JamiiForums Tanzania Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

    Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kumpiga Iddi Amin kwenye vita ya Kagera, tulipaswa kuwashukuru raia wa Uganda na Rais Kenyatta

    Nimekaa natafakari hapa , kama tusingekuwa na back up ya raia wa Uganda ambao walikuwa wamechoshwa na uonevu wa King of Scotland hakika ile vita zingepigwa sana. Tusidanganyane , raia wa Uganda walikuwa wakiuza ""InFo" kwa majeshi yetu bei buree kabisaa ndio maana jeshi letu liliweza...
  17. JamiiForums Tanzania Yale mavitu ya AFCON Morocco, nikiiangalia Tanzania inatia huruma

    Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje. Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek picha za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja. Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi. Njoo...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda anzisha sera ya mitandao mbadala wa instagram na tiktok Tanzania

    Najua hili unaliweza bila shaka ili tuondokane na utegemezi wa kibeberu.Tujifunze kwa wachina
  19. JamiiForums Tanzania Wallace Karia na Changamoto ya Kusimamia Msingi wa Soka la Tanzania

    Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027

    Bila juhudi za kweli, za dhati na makusudi kuleta suluhisho la kudumu ndani ya Tanzania, kuna uwezekano mkubwa wa Tanzania kupoteza uenyeji wa AFCON 2027. Wanaharakati wanaendelea na juhudi za kupush uwajibikaji katika matukio yaliyotokea kwenye MO29 na naona kama mwakani ndiyo hizi juhudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…