tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rais Samia kwa kuruhusu bidhaa za Kenya. Chuki haijengi; tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa uongozi wako

    Ama kwa hakika huyu mama atakua suluhu. Najua hizi habari zitwatibua nyongo wale hupenda kuendekeza chuki lakini ndio hivyo. Tupige biashara na kuboresha chumi zetu. ======== Kenya President Uhuru Kenyatta (right) and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan having a word during...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

    Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

    Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZANIA - KENYA Relationship: Economic Diplomacy To Strengthen Bilateral Trade

    TANZANIA - KENYA RELATIONSHIP: ECONOMIC DIPLOMACY TO STRENGTHEN BILATERAL TRADE Tanzania and Kenya, two East African nations with indistinguishable ecological environment, cultural and historical background, are measured blossoming in their bilateral relations. Our two countries have unique...
  5. JamiiForums Tanzania Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tanzania?

    Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tz. Njooni hapa mtoe uzoefu vijana wajifunze kutoka kwenu.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji arejea Tanzania

    Mfanyabiashara maarufu nchini Yusuph Manji amerejea jioni ya leo Juni 01,2021 kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Manji alipowasili leo alizuiliwa kwa muda na maofisa Uhamiaji waliotaka kujiridhisha na uraia wake na kisha aliruhusiwa baada ya Maofisa hao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna TV station ya kilimo?

    Hongera kwa majukumu popote ulipo! Uchumi wa Tz kwa kiasi kikubwa unategemea au umefungamana na kilimo. Kwa kumbukumbu zangu, niwie radhi kama nakosea, hakuna chaneli ya TV inayorusha matangazo /makala kuhusu kilimo pekee. Je, ni kwa nini hakuna chaneli ihusuyo kilimo tu kwa lugha ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tendega asema Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega amesema uamuzi wa Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi. Tendega ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Juni 1, 2021 bungeni wakati akichangia katika hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ziwa Nyasa limeporwa kikamilifu?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Iko hivi, kipindi kulivyoibuka vita ya maneno kati yetu na Malawi niliangalia mpaka wetu na Malawi kupitia picha za satellite nikaona mpaka huo umepita katikati ya ziwa Nyasa. Siku chache mbeleni nikaangalia tena nikaona mpaka upo pale...
  10. JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19: Tuchague kusuka ama kunyoa

    Serikali kusema uongo ni kosa. Kamati inayoundwa na Rais wa nchi nzima kusema uongo ni kosa zaidi. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kusema uongo au kupumbaza watu. Chanjo ya korona, tuchague moja. Kusuka ama kunyoa!! Kama haina madhara, ni ya ufanisi kama ilivyopendekezwa na Kamati tuichukue. Kama ni...
  11. JamiiForums Tanzania Underground Hip-Hop Tanzania ni chakula cha Ubongo

    Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop. Underground hip-hop Ni aina ya rap inayofanywa na wasanii ambao wamejikita kuelezea matatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zimetia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo alisema kuwa utiaji wa makubaliano hayo ni mojawapo ya jitihada za kuwezesha mahusiano ya biashara na nchi jirani kufuatia ziara iliyofanywa nchini Kenya Alisema jumla ya vikwazo 37 vilijadiliwa katika mkutano wa pande zote hapo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais anayejiamini na mwenye uhakika wa Jambo lake na Maamuzi yake

    Mtaanza sasa Kutulazimisha kuamini kuwa Watu wa Jinsia fulani si ' Competent ' kwa nafasi ya ' Head of State ' na akina GENTAMYCINE tukiamini hivyo msituchukie au msianze ' Kutubatiza ' Jina lenu la SUKUMA GANG mkimaanisha ni Wapinzani ' Tukuka ' wa Utawala huu wa Rais ( Mama ) Samia Suluhu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Chato haina sifa kuwa Mkoa

    "Katika mazishi Wazee Chato walimuomba Rais Samia mkoa wakidai ni ahadi ya mtangulizi wake.kwa hekima akasema ataangalia vigezo.Kama Mbunge Mstaafu jirani Muleba Kusini najua vigezo havipo.Wazo halitekelezeki. Wazee jirani na sisi naamini tutapewa nafasi kushauri"Anna Tibaijuka --- Anaandika...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuwakilishwa na wanariadha 3 Olympic kule Tokyo, huku Kenya ikiandaa kutuma zaidi ya 100

    Ndugu zetu wa Kusini haya mambo yamewashinda kabisa, wameambulia vigodoro tu. Hehehe ======= Only three athletes to represent Tanzania at Tokyo Olympic games Tanzania will be represented by only three athletes in the Tokyo’s Olympic Games after three runners failed to secure qualifying marks...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwenye akili timamu atakayemuamini Mbowe na Chadema kuchangia hela? Kwanini hazindui ujenzi Arusha au Moshi?

    Ndugu zangu, Maajabu hayaishi,miaka michache iliyopita Mbowe alinifaika na ongezeko kubwa la ruzuku kila aliposhauriwa ajenge ofisi yeye na wasaidizi wake walitoa maneno makali eti "chama cha siasa sio jengo au nyumba bali ni imani". Makamanda badala ya kuhoji walishangilia kwa furaha...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Kidiplomasi kati ya Tanzania na Ubalozi wa Marekani. Tanzania imejifunza Nini?

  19. JamiiForums Tanzania Julia Nyerere: Vitu ambayo vimenisaidia kuishi Tanzania baada ya kuishi Marekani kwa miaka 21

    Kwa mujibu wa Julia Nyerere, mjukuu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye amekuwa akiishi na kusoma nchini Marekani kwa miaka zaidi ya 20, yafuatayo ni mambo 13 yanayomsaidia kuweza kuishi Tanzania ambako amekuta mambo ni tofauti na alivyozoea huko ughaibuni. Julia Nyerere...
  20. JamiiForums Tanzania Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

    Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO . Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…