tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda: Ningependa kuvijua viwanda vya Matela Tanzania

    Hivi Super Star Trailers si kiwanda cha Tanzania? Hivi Simba Trailers siyo kiwanda cha Tanzania? Super Doll Trailers hivi kipo wapi? AM Trailers kipo Tanzania? Wakati wa Quality Motors je hawakutengeneza Trailers? Ben Bros ni ya wap? Naomba niwekewe hapa viwanda vingine vingi vya...
  2. JamiiForums Tanzania UN yaipa Tanzania takribani Dola 900,000 kusaidia wahanga wa UVIKO-19

    UN yaipa Tanzania karibu dola laki tisa kusaidia wahanga wa UVIKO-19. Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umeipa Tanzania karibu dola laki 8 na 83 elfu kwa ajili ya kusaidia wakulima wadogo zaidi ya elfu 6 nchini Tanzania ambao wameathiriwa na janga la ugonjwa wa korona au...
  3. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Rais wa Haiti Jovenel Moise na funzo kwa Katiba yetu bora ya mwaka 1977

    Ubora wa Katiba yetu ya mwaka 1977 na yaitwayo madaraka makubwa ya Rais. Funzo kwa wenzetu nchi ya haiti na kumpunguzia rais wao madaraka. Je, watungaji (constitutional framers) wa katiba ya 1977 ya JMT walikosea kumpa rais wetu madaraka makubwa? Kufuatia mauaji ya rais wa nchi ya Haiti...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Portal Trade iko tayari

    Karibuni wadau kwenye link hiyo hapo juu..Mfumo wa Taarifa za Biashara. Kupitia mfumo huu utaweza kupunguza muda wa kupata vibalimbalimbali, kupata masoko yalipo ndani na nje,kukutanishwa kwa wanunuzi na wauzaji wa bidhaa mbalimbali.Wengi wenu huwa mnataka kufanya biashara za nje ila hamjui...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Changamoto za watanzania ndani ya Tanzania

    Ndugu zanguni ni wasalimu na niende moja Kwa moja kwenye mada. Mada yangu nikuhusu vyeti vya kuzaliwa. Mwanangu alizaliwa Mkoani Arusha mwezi wa 7 mwaka 2002, Leo ni miongoni mwa wale wanaosubiri matokeo ya kidato sita. Baada ya kuwa amezaliwa nilifuata taritibu zote za kupata Cheti ndani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania na Waziri awe Profesa Muhongo

    Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naweza nisiwe Nabii ila wanaopingana na ukombozi wa Tanzania (Katiba mpya) wataondoka na kusaulika siku si nyingi

    Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi kupitia Kodi zetu. Naamini Mwenyenzi Mungu alipowapa nafasi yakuosoma wakawa na mawazo mapana dhidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wazalishaji wa bidhaa wa Kenya na Tanzania kufanya mazungumzo ili kuwezesha masoko ya bidhaa zao

    Wazalishaji wa bidhaa wa Kenya na Tanzania wamefanya mazungumzo ili kujadili juu ya kukuza biashara ya pamoja na upatikanaji wa soko kati ya nchi hizo mbili. Mkutano umeanza Jumatano hii na unataraji kuendelea mpaka Ijumaa ambpo utawahusisha wawakilishi wa Serikali. Upande wa kenya Kenya...
  9. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
  10. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) hamuwatendei haki waonyeshaji/wafanyabiashara kwa kuchelewa kufungua mabanda

    Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa tatu na dakika zilizozosonga sana. MADHARA YA KUCHELEWA KUFUNGUA Waonyeshaji wanakosa muda wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China inaendelea kushirikiana na Tanzania kwenye miradi inayogusa maisha ya watu moja kwa moja

    Hivi karibuni Mkuu wa Chuo Cha Usafirishaji cha Tanzania (NIT) Prof Zacharia Mganilwa, alisema mabadiliko yanayoendelea kutokana na upanuzi wa chuo hicho yatainua hadhi na ubora wa chuo hicho na kuwa chuo kikuu cha kisasa. Mabadiliko yanayoendelea kwenye upanuzi wa chuo hicho, ni sehemu ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

    Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali. Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inakimbilia nyasi bandia wakati nchi zilizoendela zimekataa kuzitumia viwanjani

    Wasalaam, Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama kwamba hawana uelewa wa masuala ya kimataifa ya mpira, hata TFF sikuwasikia wakitia neno wakati wanajua...
  14. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Habari wadau. Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen. Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen. Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Diaspora Vijana Watanzania wamlilia Rais Samia uraia pacha

    Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo...
  16. JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Soka Tanzania unweza kuwatambua hawa?

    Wakuu, Kama mkiweza kuwatambua hawa, basi Nyie ni mkongwe ktk soka [emoji2]
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taxes collected by KRA in 2020 can finance Tanzania budget and still remain with some change

    Total taxes collected by KRA are $16B while Tanzanian total budget for 2021/2022 is $14B. This means that KRA can finance Tanzanian budget na wabaki na change ya $2B KRA surpasses 2020/21 revenue target This is the first time since financial year 2013/14 In Summary •The 2020/2021 revenue...
  18. M

    JamiiForums Tanzania National Board of Accountants and Auditors Tanzania (NBAA) Tanzania kila muda ukiisha huchelewa kuteuliwa nyingine

    National Board of Accountants and Auditors Tanzania ina bodi ambayo huteuliwa na Rais wa Nchi. Kwa bahati mbaya sana imekuwa kawaida sasa kila ikimaliza muda huchelewa kuteuliwa nyingne na hiii imekuwa ikichelewesha kutolewa kwa matokeo yake ya mitihani husika. Kwa mfano mwaka 2017 na 2018 Bodi...
  19. JamiiForums Tanzania Ilani za uchaguzi za vyama sio "serious documents" kuongoza nchi katika maendeleo

    Tanzania haihitaji kuchagua kiongozi wala kuongozwa na ilani ya chaguzi ya chama bali sera chache za kimkakati za kitaifa zilizoandaliwa kwa makini na wataalam wenye uzoefu wa eneo husika. Badala ya ilani ya uchaguzi ya chama inayoorodhesha kila kitu kutoka ngoma, uganga n.k mpaka mambo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu ndo Deng Xiaoping wa Tanzania?

    Amani iwe nanyi wadau Leo ninakuja na Swali hili, Je, Rais Samia Suluhu Hassan ndo Deng Xiaoping wa Tanzania? Kwa wale msiojua Deng Xiaoping ni Rais wa China aliyechukua usukani wa Uongozi wa China baada ya kifo cha Rais wa Kwanza wa China Mao Zedong. Mao Zedong alijulikana kwa wachina kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…