Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Katiba inasema Bunge ni uwakilishi wa wananchi. Bunge ndiyo sauti ya wananchi, Bunge ndiyo kisemeo cha Wananchi. Mbali ya upatikanaji wa kimagumashi wa bunge la sasa, lakini wao wenyewe wamejihalalisha na kusema ndio waliowekwa na Tume kuwawakilisha Wananchi. Moja kati ya kazi za uwakilishi wa...
MAJANGA YA MOTO
Asalaam aleikyum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo wadau wa JF, ahsanteni wadau, jukwaa na uongozi wa Jamii Forum nimeona nilete mjadala huu mbele yenu kwakuwa ndio tatizo kubwa linaloikumba hii nchi na kuleta madhara makubwa kimaendeleo, katika nyanja zote ikiwemo afya...
Hebu fikiria. Mtoto wako wa miaka sita anatoka shule. Akiwa njiani mjinga fulani mwenye akili mbaya kuliko mnyama anamkamata na kumvutia porini, kisha anambaka na kumuumiza sana. Mtoto huyu wa miaka sita analia kwa maumivu, lakini mbakazi anamziba mdomo na kumtishia kumuua ikiwa ataendelea...
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu za kila siku ili aweze kukidhi mahitaji yake. Baadhi ya shughuli hizo ni kilimo, biashara, uzalishaji(viwanda). Tanzania ni moja ya nchi iliyo ingia uchumi wa kati duniani lakini si sawa kuishia hapo lazima tuendele kupambania ili kufikia malengo...
Uchumi hupimwa kwa ongezeko la Pato la ndani la nchi ambalo nchi inakuwa umepata kwa mwaka mmoja. Kuna sababu nyingi zinazopelekea ongezeko Hilo. Kwenye nchi nyingi hupimwa pia kwa jinsi gani watumiaji wa bidhaa wananunua na uwekezaji wa bidhaa. Kama mtumiaji anauwezo wa kununua mahitaji yake...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaita Kamati ya Miss Tanzania pamoja na na Miss Tanzania 2020/21 ambaye amevuliwa taji hilo, Rose Manfere.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katiba Mtendaji wa Basata, Matiko Mniko, iliyotolewa leo Jumatano Julai 14, 2021 Kamati pamoja na mrembo huyo...
Habari za kushinda wakuu,
Je, ushawahi waza kati ya siasa na utajiri? Na kwa nini matajiri wengi wa Tanzania wanaingia katika siasa.
Asilimia kubwa ya Matajiri wakubwa Tanzania washawahi kuingia kwenye siasa au wapo tayari kwenye siasa. Je, kunanini kwenye siasa? Licha ya hayo yote matajiri si...
Mpaka hapo shughuli inakwenda vizuri, uhusiano unazidi kuboreka, mama kaonyesha mfano mwema badala ya kulia lia kuhusu Kenya na Wakenya, atafute namna ya kuwekana sawa. Japo namuelewa, yeye ana asili ya Zanzibar, Wazenji na Wakenya hatujawahi kuzinguana, hutupokea vizuri kwenye visiwa vyao vile...
Yapata miongo mingi tanguTanzania ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Imepita mihula mingi ya uongozi, tangu Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere hadi kufikia utawala wa sasa wa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Awamu ambayo sote tunajivunia kuwa na Tanzania yenye "Uchumi wa...
Ninaamini nyumba bora huboresha afya ya mwili na akili. Mahitaji ya msingi ya binadamu ni hewa safi na kuishi sehemu isiyosababisha maradhi mfano baridi na unyevu unyevu. Nyumba bora huleta fahari kwa mwenye nyumba hata kukaribisha wageni na humjengea heshima katika jamii.
Watanzania wengi...
Miss Tanzania 2020-2021 Rosey Manfere hajatangazwa kwenda kushiriki Miss World 2021 na badala yake ametangazwa mshindi wa pili Juliana Lugumisa kutokana na utovu wa nidhamu kati ya Miss Tanzania Rosey na waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania.
=====
Je, Tanzania Tutegemee Lockdown Tena?
Katika wimbi la tatu la CORONA Tanzani itakua chini ya Vizuizi vya kutoka nje? Hapo jibu ni hapana kwa mjibu wa majibu ya Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema kwamba Tanzania tusitegemee tena kuwepo kwa lockdown ( Vizuizi).
Hii ni kwasababu Nchi...
Nafkiri Serikali ya CCM na Watanzania kwa ujumla wetu kuna kitu cha kujifunza kupitia VURUGU zinazoendelea kuhusu kifungo cha ZUMA.
Kiuhalisia asilimia kubwa ya hao wanaondamana na kuleta fujo ni wale ambao wameona wamepata FURSA ya kuonyesha na kupunguza STRESS na HASIRA zao kwa mambo mengi...
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa kila hospitali inatibu Covid 19 kadri inavyoona inafàa. Hakuna mwongozo maalumu wa kitaifa kutoka mamlaka husika.
Nasema hivyo kwa sababu nimeuguza wagonjwa kadhaa including me katika hospitali tofauti tofauti na kushuhudia kila hospitali inatoa dawa kadri...
Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.
Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.
Tafiti za kisayansi...
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani.
Chanzo: ITV habari
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania nchi ya mzaha mzaha kwenye kila kitu. Watanzania wengi ni watu wasiojali, yani hawajali chochote kiwe hatari au faida.
Watanzania hao hao kwenye kualalamika wanaongoza baada ya kupata madhara tayari ila ni wazito sana kufanya maamuzi.
Pamoja na wizara ya afya kutangaza idadi ya...
Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti
Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa...
Swali...
Je, Kipaumbele cha sasa cha Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu na Wadau wa Elimu ni Kufaulisha sana na Kushindanisha tu Shule za Serikali na Binafsi au ni Kuzalisha Wasomi (Future Intellectuals) wa uhakika wa kuja Kuisaidia Tanzania katika Changamoto zake nyingi za Msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.