tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na Rwanda zakubaliana kukuza TEHAMA

    Tanzania na Rwanda zamekubaliana kushirikiana katika kukuza Sekta ya mawasiliano hasa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili kuongeza tija katika mchango wa sekta hiyo katika maendeleo ya wananchi baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamebainika Julai 16, 2021 wakati wa ziara ya Waziri wa Habari na...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Winshear Seeks C$124,781,945 in Damages from Tanzania

    Winshear Seeks C$124,781,945 in Damages from Tanzania July 15, 2021 13:37 ET | Source: Winshear Gold Corp. ... VANCOUVER, British Columbia, July 15, 2021 (GLOBE NEWSWIRE) -- Winshear Gold Corp. (TSX-V: WINS) (“Winshear” or the “Company”) reports that it has filed its Memorial with...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu matumizi ya Gesi asilia Tanzania

    GAS UTILIZATION OPTIONS AND DEMAND FORECAST IN TANZANIA. Natural Gas (Pure Methane, CH4) can be used for; - Domestic Natural Gas Utilization Options. Industrial Application as an Alternative Fuel Households, Institutions and Transport Fertilizer (Ammonia & Urea) Methanol Di-Methyl Ether (DME)...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

    Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano, Bora zaidi 1. Anajikosha. - Harmonize 2. Mama Amina - Marioo 3. Sadakalawe harmonize 4. Kamseleleko - Mbosso Mbaya Zaidi 1. IYo diamond ft vocalist 2. amapiano...
  6. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sera na Sheria za Tanzania inavyowanyima Vijana Michongo

    Mifano ya sera na sheria za tanzania zinavyowanyima vijana wengi michongo. # Mashariti ya kumiliki na kusajili maudhui ya mtandaoni( Youtube channels, Blog, website, etc) Chanzo: https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1619110553-The Regulator Special Edition.pdf Ni vijana au...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo kubwa miamala ya kifedha na makakato ya simu kama kikwazo cha maendeleo ya kidigitali Tanzania

    Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
  8. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Suluhisho la Ukosefu wa Ajira Tanzania: Jinsi ninavyoweza kupunguza ukosefu wa Ajira kwa 10% Ndani ya siku moja

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili kutatua changamoto hii, tuweke mapendekezo mbalimbali yafanyiwe kazi. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini maendeleo ndani ya Tanzania ni kama ndoto ya mchana?

    1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP. 3.Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa Ya mlipuko kama ebola...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maendeleo sio kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania, Tunachotaka ni Katiba mpya.

    "Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote; 👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi 👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba 👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Siku Moja inatosha kupunguza tatizo la ajira Tanzania kwa Asilimia 10

    Habari wanajukwaa. Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada. Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tambua ufanisi na umuhimu mkubwa wa job Junction Tanzania

    UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION: Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees . Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Jamii Forums katika jamii yetu ya Tanzania

    Katika Taifa lolote lile lililo huru si ajabu kuona majukwaa mbalimbali yakishiriki katika mijadala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuibua hoja nzito na nyingi juu ya Taifa letu la Tanzania licha ya kwamba Kuna wakati inapigwa vita. Kama ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya elimu inavyoendeleza umasikini Tanzania

    Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu hutoa mikopo (kwa riba) kila mwaka kwa vijana wanaofaulu ili kuwawezesha kupata elimu ya juu. Binafsi naona jambo hili si sawa, kwani Elimu Ni moja kati ya haki za binadamu, hivyo haitakiwi kutolewa katika misingi ya matabaka yanayotengenezwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anaishi maisha na kazi ya ndoto yake hapa Tanzania

    Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora za kukuza na kuimarisha Sekta ya Afya Tanzania

    Mara kwa mara kumekuwa na malalamiko makubwa saana kuhusu Mapungufu katika sector ya Afya hasa katika nchi zetu za Afrika {Sana sana katika nchi ziitwazo dunia ya Tatu (3rd world countries) Ambazo nyingi zipo katika kusini mwa jangwa la sahara} Mapungufu hayo katika sector ya afya kwa sasa...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Magereza nchini siyo dili tena: Tuyabadilishe kuwa viwanda vya uzalishaji na kukuza uzalishaji wenye tija kwa maendeleo

    Naweza onekana mwendawazimu na nisiwe na akili kabisa kwa walio wengi. Lakini kwakuwa hii nafasi imejitokeza acha niandike mambo ambayo yamekuwa yakinisumbua kwa miaka zaidi ya miaka 15 sasa. Hadi nakuwa kijana nayejitambua kwa maana ya kuwa na akili zangu timamu ambazo nimezipata kwa shule...
  19. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kushuka kwa kiwango cha Elimu nchini na hatua za kuchukua

    Katika maendeleo ya jamii elimu ni nguzo muhimu sana, thamani ya elimu ni kubwa mno kiasi kwamba mtu hawezi akajua thamani ya elimu papo hapo. Waliofanikiwa na wakapata mafanikio kama ajira wanajivunia thamani ya elimu na wale baadhi ambao bado wanahangaika mitaani baadhi yao hao hawaoni...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Vituo vya kilimo atamizi (incubation centres): Njia ya kuongeza uzalishaji pamoja na kuinua kipato kwa vijana Tanzania

    Andiko langu linaanza kwa kusema Tanzania inaweza kuwa nchi nambari moja duniani katika ujenzi wa ajira nyingi kwa vijana na kila mtu akabaki akijiuliza imekuweje kwa muda mfupi namna hii?. Nchi ya Tanzania sio nchi ya kulia njaa kila siku, sio nchi ya kutembeza bakuli na kuomba misaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…