tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuimarisha Demokrasia ya Tanzania ?

    Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika. Demokrasia ya Tanzania Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

    UPDATES 00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu. 03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers 05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaenguliwa Mchezo wa Volleyball kwa kushindwa kutoa ada ya Dola 1,000

    10 September 2021 Kigali, Rwanda Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball. Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
  4. JamiiForums Tanzania Jeff Bezos ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania!!

    Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln GDP gross ni $65bln. Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maabara ni uti wa mgongo wa Huduma bora za Afya Tanzania

    MAABARA NI NINI Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa siasa za Tanzania utamjenga Bi. Stagomena Tax au utabomoa historia ya mazuri yake?

    Moja ya kitu kinachofanywa na mfumo wa siasa za Tanzania hasa kwa wanasiasa waliopo CCM na serikalini nikubomoa carrier zao na uzuri wao nakuwavisha maovu. Wanazuoni na wanasiasa walioonjeshwa mfumo wa serikali ya Tanzania wote wamebomoka badala yakujijenga zaidi. Ntatoa mifano michache...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania hatimaye yakubali kuingia kwenye soko la pamoja Afrika, baada ya kusuasua...hongera mama Samia

    Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo.... Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji wa eneo huru la biashara Afrika (AfCAFTA)

    Kazi iendelee! ========= BUNGE LAKUBALI KUINGIA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA Bunge la Tanzania limekubali kuingia katika Makubaliano ya kuanzisha Soko la Pamoja la Afrika Maamuzo hayo yamefanyika Septemba 9, 2021 bungeni Dodoma Waziri wa Uwekezaji, Dkt. Kitila Mkumbo amesema Tanzania inaingia...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Samia aliandikiwa kuwa Rais wa Tanzania hata kabla hajazaliwa

    Mambo ya Mungu huwa ni makuu sana, nawaambieni enyi watanzania, kuna watu walibarikiwa tangu wakiwa Tumboni mwa mama zao Samia Suluhu ni mfano hai tulionao mpaka sasa achilia mbali manabii wa zamani waliochaguliwa angali bado wapo tumboni, Samia suluhu hakuwai kuwa mwanaharakati wala...
  11. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kiwango cha elimu Tanzania

    Nchi yetu ya TANZANIA kwa muda mrefu sasa imekuwa ikionesha kuwa elimu inayotolewa katika taasisi zake Ina shida. Haiwapatii wahitinu wake kila ngazi kinachostahili. Sababu za changamoto hiyo zimetajwa kuwa ni pamoja na: 1. Kiwango Cha baadhi ya watoa elimu kuwa chini hivyo kuathiri uwezo wao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu. Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hii sheria ya Tanzania ya kuzuia ugaidi - Mbowe na wenzake wapambane sana mahakamani

    https://www.tanzanialaws.com/index.php/principal-legislation/prevention-of-terrorism-act kwa kifupi UGAIDI NA TAFSIRI KATIKA SHERIA YA KUZUIA UGAIDI SURA YA 19 YA MWAKA 2002. Tafsiri na kuzuiwa kwa vitendo vya ugaidi.kifungu cha 4.-(1) Hapana mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makala ya Tanzania itaongeza utalii

    Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

    Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA (1) JIKUBALI...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  19. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe?

    Ndugu zangu, Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe? Tuamue kukataa misaada tujipinde wenyewe kama nchi kutafuta vyanzo vya mapato bila kumuumiza mwananchi. Sasa hivi wametangaza matozo lakini wanazidi kukopa nje na kurequest misaada kitu ambacho ni ujinga wa hali...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaojiita wasanii Tanzania hawana vipaji

    Kana huyu jamaa dullvani kwa mtindo huu basi kila mtu angeweza kuwa msanii. Watu wanajua sanaa ni kitu cha kawaida tu. Ndio maana sanaa ni kipaji na kwa sasa tanzania hawa wanajiita wasanii hawna vipaji. Kila siku kuteletea mambo ya ajabu. Kuna wale jana wa futui walikuwa wanatoa vichekesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…