Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile vyama vya upinzani.
Sasa sielewi mantiki ya Rais Samia Suluhu Hassan kuitumia hiyo siku ya leo...
Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA.
UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria.
DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.
“Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu.
.
“Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni...
Kwa tulipo sasa katiba no muhimu sana kwa Tanzania. Magufuli anatakiwa kupongezwa kwa kuongeza uelewa juu ya umuhimu Wa katiba mpya.Naamini wananchi wanaweza kushiriki vyema kukusanya maoni ya katiba mpua kulikp mwaka 2014.
Napendeleza yafuatayo
1. Iache mijadala ya katiba itawale kwenye jamii...
MKURUGENZI MKUU WA POSTA IVORY COAST ATEMBELEA POSTA TANZANIA.
Na Mwandishi Wetu, Dar e's Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU), Ndugu Isaac Gnamba Yao ametembelea Makao Makuu ya Shirika...
Fatuma
Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.
The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
Tanzania imekuwa ikipitia changamoto nyingi sana toka mapinduzi ya kwanza ya viwanda kuanza. Tanzania amekuwa mtazamaji wa mapinduzi haya na sio mshiriki hasa katika nchi yake mwenyewe. Mapinduzi ya nne ya viwanda yamebisha hodi na mtu wa kwanza anaetakiwa kuamka na kuwa mwanachama wa mapinduzi...
NINACHOKIONA NI VITA BARIDI BAINA YA MASIKINI NA MATAJIRI HAPA TANZANIA
Na, Robert Heriel
Nimejikuta sipendi kuzungumzia siasa za nchi hii. Hii ni baada ya kugundua kuwa siasa za nchi hii ni Vita Baridi Kali inayohusisha makundi makuu mawili; nayo ni masikini na Matajiri.
Kwa kweli Mwanzoni...
Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika.
Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili.
Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika...
Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni?
Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako?
Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental
Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa!
Call/WhatsApp : 0788457446
Office : Kijitonyama
Bei kuanzia 150,000
Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika.
Demokrasia ya Tanzania
Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
UPDATES
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.
03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers
05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.