tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Machinga Tanzania ni wafanyabiashara wakubwa walioumizwa na mfumo wa kodi

    Utangulizi Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa dukani? Ukweli ni kwamba Kariakoo na masoko makubwa nchini hakuna machinga Bali Kuna kundi la watu...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
  3. JamiiForums Tanzania Nielewesheni hili jambo Rais Samia kuzungumza na wanawake wa Tanzania siku ya Demokrasia duniani

    September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile vyama vya upinzani. Sasa sielewi mantiki ya Rais Samia Suluhu Hassan kuitumia hiyo siku ya leo...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  5. JamiiForums Tanzania Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
  7. JamiiForums Tanzania TANAPA: Ujerumani yachangia Tsh bilioni 68 kwenye Uhifadhi Tanzania

    Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.
  8. JamiiForums Tanzania Yanga SC na wana Yanga Tanzania si mnajifanya mnajua Fujo na Ubabe, sasa Kisasi chawasubiri huko Kwao Rivers United FC Nigeria

    “Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Katiba ni tiba kwa Tanzania

    Kwa tulipo sasa katiba no muhimu sana kwa Tanzania. Magufuli anatakiwa kupongezwa kwa kuongeza uelewa juu ya umuhimu Wa katiba mpya.Naamini wananchi wanaweza kushiriki vyema kukusanya maoni ya katiba mpua kulikp mwaka 2014. Napendeleza yafuatayo 1. Iache mijadala ya katiba itawale kwenye jamii...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast atembelea Posta Tanzania

    MKURUGENZI MKUU WA POSTA IVORY COAST ATEMBELEA POSTA TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Dar e's Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Posta Ivory Coast na Mwenyekiti wa Baraza la Utawala la Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na Umoja wa Posta Duniani (UPU), Ndugu Isaac Gnamba Yao ametembelea Makao Makuu ya Shirika...
  11. JamiiForums Tanzania Hili ndio jina la kike linalotumiwa na idadi kubwa ya wanawake nchini Tanzania

    Fatuma Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma. The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
  12. JamiiForums Tanzania Misamaha ya kodi haina ulazima kwa Tanzania, ndio sababu ya kuwakaba raia wa chini kwa tozo

    Misamaha ya kodi mara zote huwa ni kwa jili ya wawekezaji ambao misamaha hiyo husababisha mapato mengi kupotea na kwenda kumkaba asiye na kitu, ambaye ni mwananchi wa chini kutoa tozo, ushuru, ada nk. Sababu wanayosema ya kutoa msamaha wa kodi ni kuvutia uwekezaji, sababu ambayo ni mfu kwa kuwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wa Tanzania na mapinduzi ya nne ya viwanda

    Tanzania imekuwa ikipitia changamoto nyingi sana toka mapinduzi ya kwanza ya viwanda kuanza. Tanzania amekuwa mtazamaji wa mapinduzi haya na sio mshiriki hasa katika nchi yake mwenyewe. Mapinduzi ya nne ya viwanda yamebisha hodi na mtu wa kwanza anaetakiwa kuamka na kuwa mwanachama wa mapinduzi...
  14. JamiiForums Tanzania Ninachokiona ni vita Baridi baina ya Masikini na Matajiri hapa Tanzania

    NINACHOKIONA NI VITA BARIDI BAINA YA MASIKINI NA MATAJIRI HAPA TANZANIA Na, Robert Heriel Nimejikuta sipendi kuzungumzia siasa za nchi hii. Hii ni baada ya kugundua kuwa siasa za nchi hii ni Vita Baridi Kali inayohusisha makundi makuu mawili; nayo ni masikini na Matajiri. Kwa kweli Mwanzoni...
  15. JamiiForums Tanzania Shelter Technical Assistant at Norwegian Refugee Council (NRC)

    Shelter Technical Assistant Tanzania Nduta "Job Details" Kibondo, Tanzania, United Republic of Job Identification 3091 Job Category Engineering Locations Nduta Degree Level Bachelor's Degree Job Schedule Full time JOB DESCRIPTION Adhere to NRC policies, tools, handbooks and...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania au Afrika Mashariki kuna chuo kinafundisha masuala ya teknolojia ya nyuklia?

    Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
  17. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Makame Mbarawa ni Clatous Chota Chama aliyekuwa amekaa Bench katika Kikosi imara cha Samia Tanzania FC

    Najua kama tulivyo Wanadamu wote Mimi na Wewe (Nyie) hatukosi Kasoro kwa Sisi siyo Malaika na hatujakamilika. Kama kuna Kitu ambacho huenda ndiyo huwa kinamfanya Profesa Mbarawa asieleweke ni Uungwana wake wa Kiasili. Ila kama kuna Mtendaji ambaye katika Wizara (Dockets) alizopita alikubalika...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Magari mazuri ya harusi yakukodisha - Tanzania wedding car rental

    Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni? Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako? Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental Wasiliana nasi sasa, kuuliza bei ni Bure kabisa! Call/WhatsApp : 0788457446 Office : Kijitonyama Bei kuanzia 150,000
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

    Haya ndio maendeleo ya Dubai ndani ya miaka michache, waTanzania sisi tumelogwa miaka zaidi ya 50 hakuna jipya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…