tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa wanasiasa wakubwa Tanzania huwa hawana uwezo wa kujiajiri?

    Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa...
  2. JamiiForums Tanzania BBC: Waasi watatu wa ADF raia wa Tanzania wakamatwa DRC

    Jeshi la taifa la Kongo FARDC limetangaza kuwakamata raia watatu wa Tanzania ambao ni waasi wa ADF waliosajiriwa wilayani Beni mashariki mwa Kongo. Raia hao wa Tanzania, walikamatwa Jumapili hii, Februari 6, 2022 wakati wa doria zilizofanywa na askari wa Kongo katika bonde la Mwalika, katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji gani utalipa sana Tanzania?

    Kama na wadau wengine walivyoeleza idadi ya watu kwa Tanzania inakua kwa kasi sana wakati ardhi iko fixed hivyo basi kupelekea thamani ya ardhi kupanda kila uchao. Kwa maoni Yangu na analysis zangu badala ya MTU kuwekeza kwenye bond ni bora zaidi na faida kuwekeza kwenye ardhi au Real Estate...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  5. JamiiForums Tanzania Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

    Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa data na gharama za Kujenga Healthy centre Bukoba Tanzania

    Wataalamu nimepata kamtaji fulani nataka Kujenga kituo Cha afya BUKOBA VIJIJINI TANZANIA Matazamio yangu Kituo kitakuwa na vifuatavyo First Phase ni Kujenga Msingi/foundation ya kituo ambacho kitakuwa na Size: 28'x60' Square Feet: 1,680 Private Offices: 1 Restrooms: 2 Breakroom 1 Exam...
  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka husika chunguzeni hili la Ziwa Nyasa

    Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan media claims Tanzania has hunger!

    Hunger stalks 20m in East Africa as 2030 nears SATURDAY FEBRUARY 05 2022 A caravan of camels. The dire hunger situation is the result of a toxic cocktail of the climate crisis, Covid-19, a desert locust invasion and increasingly severe and protracted violent conflicts. PHOTO | COURTESY...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Spika Wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia

    Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz. Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu...
  10. JamiiForums Tanzania Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Makanisa Nchini Mjitafakari

    DELETED
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania’s Anti-Money Laundering Act to be amended

    - Money laundering to remain unbailable - Introduces counter terrorist financing and counter proliferation financing - Beneficial ownership definition to be expanded - Even 5% shareholding is an indication of direct shareholding - Reporting persons proposed to now include auditors, tax...
  13. JamiiForums Tanzania Orodha yangu binafsi ya wachekeshaji bora wa muda wote Tanzania

    Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:- 1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani) 2. Mpoki 3. Joti. Nimemaliza, prove my list wrong. Orodha tayari Uzi tayari Over & out Bye...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
  15. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Donald Wright leo Februari 4, 2022 ametembelea Ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Wright na timu yake wamepata kuelezwa namna Jamii Forums ambayo ni Asasi ya Kiraia inavyoendesha shughuli zake katika...
  16. JamiiForums Tanzania Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

    Serikali ya Japan imeipatia Tanzania mkopo wa shillingi billion 761.8 kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo nchini! Katika mkopo huo kisiwa cha Zanziba kimepewa mgao wa Tsh billion 218+ Kazi iendelee... ===== Serikali ya Tanzania na Japan zimesaini mikataba mitatu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania: Watu 76 kati ya 100,000 hugundulika kuwa na saratani. 68% wamefariki 2021

    Kwa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Tafiti za Saratani (IARC) za 2018, zinaonyesha kuwa tatizo la saratani nchini Tanzania limekuwa likiongezeka siku hadi siku ambapo inakadiriwa kuwa katika kila watu100,000, watu 76 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani. Kwa hiyo nchi yetu...
  18. JamiiForums Tanzania Wagonjwa wengi wa Saratani Tanzania ni wa Tezi Dume, koo

    Taarifa za mwaka 2021 kutoka kanzi data ya wagonjwa iliopo Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaonesha kuwa Saratani zinazoathiri wanaume zaidi ni: Saratani ya tezi dume“Prostate cancer” (21%), Saratani ya Koo (Esophageal Cancer) (11.8%),Saratani ya utumbo mkubwa na mdogo (9%) na Saratani ya...
  19. JamiiForums Tanzania Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

    Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kuadhimisha miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere

    TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuzindua programu ya Maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ikiwa ni sehemu ya kuenzi na kusherehekea urithi wa maisha yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…