tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Habari za muda huu ndugu zangu. Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia. Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
  2. JamiiForums Tanzania Karibu 75% ya vitu vinavyouzwa na Russia&Ukraine vinapatikana Tanzania. Serikali ina mpango gani walau kuwa mdau kwenye Trade exp

    Kwa pamoja Ukraine na Russia wanaongoza kwa kuwauzia na ndio wazalishaji wakubwa wa: 1. Ngano Hii n malighafi kwenye viwanda vya CHAKULA na pombe Russia n muuzaji mkubwa wa ngano kwa nchi za ulaya. TANZANIA Kuna maeneo Kama Manyara huko unaambiwa enzi hzo mahekari kwa hekariz zililimwa ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani. Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Maridhiano ni Ushindi wa Watanzania

    Tupo katika kipindi cha kuliponya Taifa, kutafuta maridhiano ya kitaifa, kuujenga na kuumirisha umoja wa kitaifa. Katika kufika hapo, wapo majemedari wa mstari wa mbele. Katika kufika hapo, wapo walioumia, walioteseka, waliotoa uhai, waliopotezwa, n.k. Lakini tukitaka kuwa washindi wa kweli...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

    Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu? Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii...
  6. JamiiForums Tanzania Wadau: Tanzania Muungeni mkono Mwanamuziki JettyMan

    Anaitwa Samson Noha...(Maarufu kama Jettyman),Licha ya changamoto ya kiafya anayopitia zaidi ya miaka 6 sasa lakini amekuwa akifanya muziki wake akiwa kitandani,na zaidi sasa amekuwa ni producer mzuri kabisa. Kwa wale wanaokumbuka ule wimbo wenye introduction "kama naikumbuka hivi inasema...
  7. JamiiForums Tanzania Aga Khan Health Service, Tanzania

    The Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) is comprised of a leading hospital located in Dar es Salaam and five Primary Medical Centres (PMCs) located in various regions across the country. The Aga Khan Hospital, Dar es Salaam is currently a 74-bed, multi-specialty, secondary healthcare...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa Tanzania Pana ubalozi wa Cameroon?

    Wakuu naomba kujua, Kama hapa Tanzania kuna ubalozi wa cameroon.
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Tanzania kwa kusimamia sera ya NAM!!

    Hii ni sera madhubuti na ya kipekee yaani kutofungamana na upande wowote. Non Alignment Movement. Hatuna adui na Hatuna Rafiki
  11. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Tanzania walioko Chuo cha Sumy Ukraine kusafirishwa kupitia mpaka wa Urusi

  12. JamiiForums Tanzania Bei za vyakula vya kuku mikoa mbalimbali Tanzania!

    Habari wadau, Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo. Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...
  13. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania si sawa na demokrasia ya China wala Marekani

    DEMOKRASIA YA TANZANIA SIYO YA CHINA WALA MAREKANI. Na Elius Ndabila 0768239284 Kufananisha demokrasia ya Tanzania na nchi za USA, UK, CHINA, KOREA ni kuikosea Tanzania. Tanzania ni nchi ambayo haifungamani na Ubepari Wala Ujamaa. Huwezi kusema Tanzania kunaminywa demokrasia kwa kurejea rejeo...
  14. JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

    Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
  16. JamiiForums Tanzania Jamii za Tanzania zinawakilisha makundi yote makuu manne ya lugha barani Afrika

    Nchini Tanzania Kuna makabila Zaidi ya 120 (125 hivi) Lakini kuna Makabila yenye watu zaidi ya milioni moja makabila hayo ni Wasukuma, Wanyamwezi, Wachaga, Waha, Wagogo, Wahaya, Wajaluo na Wamakonde. Jambo la pekee kuhusu jamii zilizoishi na zinazoendelea kuishi Tanzania ni kwamba wakazi asili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

    Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine. Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea. Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha: Source: NPR Cookie Consent and Choices === Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa...
  18. JamiiForums Tanzania Kulikoni Kanisa Katoliki kukosa uwakilishi Mkutano wa Rais Samia na Viongozi wa dini?

    Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni...
  19. JamiiForums Tanzania Monitoring and Evaluation Director at T-MARC Tanzania

    POSITION TITLE: Monitoring and Evaluation (M&E) Director LOCATION: Dar es Salam, Tanzania Under the supervision of the Chief of Party, the M&E Director will provide leadership and management oversight of research, monitoring and evaluation activities for the project in alignment with the YES...
  20. JamiiForums Tanzania Chief of Party (COP) at T-MARC Tanzania

    POSITION TITLE: Chief of Party LOCATION: Dar es Salam, Tanzania The Chief of Party (COP) will provide technical and administrative leadership and expertise to the YES Activity and will be the primary liaison with USAID/Tanzania, relevant ministries of the Government of Tanzania. The COP is...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…