tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mazingira ya Tanzania yanatulazimisha vijana kuwa wajinga

    Nimekuwa inspired kuandika kutokana na kitabu kiitwacho Nchi ya wasioona baada ya kumaliza kukisoma nikahusishanisha na hali halisi iliyopo duniani especially nchini kwetu Tanzania nikaja kugundua mimi BabaMorgan uwezo wangu mdogo wa kufikiria unachangiwa na mimi mwenyewe ila kwa asilimia fulani...
  2. JamiiForums Tanzania Panya road: Kikundi cha uasi kinachopiga jaramba

    Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi. Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.
  3. JamiiForums Tanzania IMF 2022: Tanzania ipo Nafasi ya Nane kwa uchumi Mkubwa Afrika

    Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022. Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja. Ila tofauti ya...
  4. JamiiForums Tanzania Zijue nchi ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaweza kuingia bila viza

    Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza Baada ya Serekali ya Tanzania kuzindua mpango wake mpya wa kuanza kutoa Pasipoti za Kielektroniki, ili kuboresha usalama zaidi katika nyaraka zakusafiria, Pasipoti hizo hutumia chip ambayo huongeza usalama. Soma pia: Visa free countries for...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

    Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao. Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara. Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu

    Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani. Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi Mliosema upinzani wa kazi gani Tanzania natumai mmeona wabunge wa CCM wanavyowapigania Bungeni.

    Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo. Baada...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania : Mwezi haujaandama, sikuu Jumanne

    Mufti wa Tanzania,Abubakary Zuberi amewatangazia waumini wa dini ya Kiislam nchini Mwezi haujaandama, hivyo Waislam wakamilishe funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatatu, hivyo sikukuu itakuwa keshokutwa Jumanne tarehe 03/05/2022. Kwa hiyo kesho watu waendelee kupiga kazi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania pekee ndio inahofia mfumuko wa bei kushindwa kutangaza kwa uwazi nyongeza ya mshahara?

    Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'... “Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno." "Tumejitahidi sana na kwa sababu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania mnadanganywa na kuridhika kwa vitu vidogo sana

    Mnakomalia vyakula kama vile huwa hamli makwenu
  11. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

    Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika. Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi. Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea...
  12. JamiiForums Tanzania Simba SC. Timu pekee inayoipa hadhi ligi Tanzania

    Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza; Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa. Inaiwakilisha Tanzania...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Utesaji aliofanyiwa Steve Biko na Jeshi la Polisi la Makaburu hadi kumuua ndio huo huo aliofanyiwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi Tanzania

    Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini siasa za Tanzania zimeegamia kujadili yaliyopita

    Habari wakuu, Sio lengo langu kufundisha mamlaka husika namna ya utendaji wa majukumu yao wala kuelekeza nini cha kufanya lakini mimi pia sio mwanasiasa, mahusiano yangu na serikali yapo upande wa ulipaji kodi pekee nawapa chao nabaki na changu. Mapema leo nimeona nami nitoe maoni yangu kuhusu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Si utashi wa Rais Samia kufanya Tanzania Royal Tour

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza na kumsifu Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuifungua Tanzania kitaifa na Kimataifa, Aidha Katibu huyo wa Itikadi & Uenezi wa CCM-tanzania amempongeza zaidi Mhe Samia Saluhu...
  16. JamiiForums Tanzania The Royal Tour (Tanzania) - itazame hapa bure

    Kama hujapata bahati ya kuiona filamu ya Tz Royal Tour ni hii hapa. Enjoy. Utajifunza mengi
  17. JamiiForums Tanzania Asilimia 95 ya Taasisi Zisizo za Kiserikali hazijahamia katika mfumo wa Digitali, Mradi wa #DIGITALNGO wafungua njia

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Media Convergency, Asha Abinallah, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa #DigitalNGO ambao unatarajiwa kuwa kichocheo cha mabadiliko na mapokeo ya kidijitali kwa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali: Mafanikio makubwa ya Royal Tour ni kufanikiwa kumshawishi baba yake Rihanna kuja kuishi Tanzania

    Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA! Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa. Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  20. JamiiForums Tanzania Royal Tour ni kichocheo tu, mamlaka zisijisahau

    Ni mwezi wa royal tour (jina haliakisi Utanzania) Bado tuna safari ndefu kujinasua kwenye makucha ya mabeberu, lakini hili si hoja yangu kwa leo. Wabongo tuna tatizo sugu na lazima tuliseme hapa wazi na hili ni tatizo mpaka kwenye mamlaka zetu Rasilimali watu hatuipi kipeumbele hata siku moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…