"Tozo za miamala na simu ziko palepale, ni Sheria ya bunge siwezi kuzifuta, anayeona hakuna unafuu ahamie Burundi"
Hii ni kauli yenye kukumbukwa iliyotolewa na Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba tarehe 19, julai 2021 akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45.
Maneno makali na ya kuudhi yaliyo...