tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya Tanzania sasa ni mtihani

    Kilimo cha nyanya nchi Tanzania kimekuwa kigumu kutokamna na mambo mengi: uhaba wa mbolea ukiwa kinara. Katika msimu uliopita mfuko wa mbolea kg50 uligharimu takribani USD 20, kwa sasa mfuko mmoja unagjarimu zaidi ya laki moja. Je, mkulima atapata faida?. Wakati Bwana Lossim Lazzaro...
  2. JamiiForums Tanzania Yupi forward/shipping agent china mpaka Tanzania mwenye gharama nafuu?

    Wadau nataka kusafirisha mzigo kutoka China mpaka Dar es salaaa, Shipping agent niliyempata gharama zake ni Dola 400 kwa ujazo CBM 1. Kama kuna mwenye gharama nafuu zaidi naomba mawasiliano yao.
  3. JamiiForums Tanzania Waraka kwa Kanisa

    KWA KANISA LILIKO TANZANIA ANDIKA: Nayajua matendo Yako ya kuwa umeacha kuhubiri kweli ya Kristo yenye uzima na badala yake unahubiri injili ya vitu viharibikavyo, Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na nyumba nzuri? Je, Kristo amekufa msalabani ili uwe na gari zuri? Je, Kristo alisulubiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Utajibuje ukiulizwa utaifanyia nini Tanzania?

    Wakuu, Kama swali lilivyo, majibu tafadhali. Nianze mimi Binafsi! "Nitahakikisha rasilimali za Watanzania zinawanufaisha Moja KWA moja! Hadi Sasa hakuna manufaa ya Moja kwa Moja ya uwekezaji wa rasilimali zetu kwa Watanzania wenzangu. Nashangaa eti hadi leo hakuna gawio KWA KILA Mtanzania...
  5. JamiiForums Tanzania 2022: Naliona Jeshi la Polisi Tanzania likifanyiwa marekebisho makubwa

    Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata kidogo! jamii ambayo inaweza kukimbilia polisi ni wezi wanapokuwa wamebananishwa kipigo kikaanza...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa!

    Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na ukweli au uhalisia wa hoja zangu. Uhalisia ni kwamba Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa...
  7. JamiiForums Tanzania Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Kwema Wadau! Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi. Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
  8. JamiiForums Tanzania Huku amepiga magoti, Morison amuomba Rais samia uraia wa Tanzania.

    Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini. pia amesema yupo tayari kuchezea timu ya taifa ya tanzania taifa stars. Source:global tv online
  9. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

    Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan: Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia, Akifanikiwa kwenye hili, atabarikiwa sana na taifa la Tanzania, litabarikiwa! Natoa wito kwa wote...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania sehemu ya social experiments, kwanza Ujamaa sasa hivi nwo!

    Tanzania kuanzia kuanzia kuanzishwa kwake haijawahi kuwa nchi ya kawaida kama nyingine, ni nchi inayotumiwa kama sehemu ya majaribio ya mifumo ya maisha, ndiyo maana Communism Dunia nzima iliitwa hivyo Communism lkn Tanzania ukaitwa ujamaa na ukapewa defination yake kwamba ni Communism ya...
  13. JamiiForums Tanzania Muungano mpya kati ya Burundi na Tanzania?

    Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja. Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi wa migogoro ya Burundi. Kwa mujibu wa BBC, majadiliano yanaendelea ili kutimiza ndoto ya Rwagasore...
  14. A

    JamiiForums Tanzania UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

    Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan inaleta matumaini gani kwa siasa za Tanzania?

    Uhusiano wa utawala na chama tawala kwa upande mmoja na vyama vya upinzani kwa upande mwingne, haukuwa wa kuridhisha ukiringanisha na hali ilivyo hivi sasa chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Haikuwa ni hali ya kawaida kuona viongozi wa juu wa kisiasa wenye itikadi tofauti, kuketi pamoja...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

    Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia ugumu kuukubali na kuendelea na maisha yako. Tatizo ni pale tu ukweli unapokuja kisha hukuandaa...
  17. JamiiForums Tanzania Operesheni ua utalii Tanzania

    Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO. Wanapotosha makusudi huku wakijua kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyehamishwa Loliondo kwa kuwa kinachofanyika...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kazi[Careers] zenye future na maslahi mazuri Tanzania

    Katika karne hii ya 21, kijana mwenye maarifa na maono atakuwa anafahamu kuwa bila kuchagua career sahihi maisha yatakuwa magumu. Ninaposema taaluma au Careers nzuri, maslahi japo ndio la kwanza lakini pia kuna kitu kinaitwa quality of life au tuseme work-life balance. Yani unaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

    Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa....... 1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma 2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu 3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa 4. Ukiwa Muhuni...
  20. JamiiForums Tanzania Communication Officer at Women Fund Tanzania (WFT)

    WFT-Trust is the first and only women’s rights fund in Tanzania that has been in existence since 2008 and has been at the forefront championing gender equality, equity and women and girls’ rights through a funding mechanism that features strong capacity enhancement, strengthening linkages and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…