tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Je, bustani ya Eden haipo Tanzania?

    Baada ya kusoma kwangu somo la historia ninashawishika kuamini kuwa bustani ya Eden ipo mkoani Arusha eneo la Olduvai gorge ambapo paligunduliwa fuvu la mtu wa kale duniani. Sote tutakumbuka juu ya uvumbuzi uliofanywa na Dkt. Leakey na mkewe Mary Leakey wote hawa ni wazungu na uvumbuzi wao...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania A message to the Russian ambassador to Tanzania

    We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania ina amani kwanini viongozi mnatuweka foleni mpite?

    Jana nikiwa nimetoka zangu katika mihangaiko mida ya saa nane hivi kufika pale uwanja wa ndege gari zikawa foleni tumekaa hapo weee nikaona madereva wanazima magari mara konda kakaa mlangoni miguu ikiwa chini ya lami tukawa tunajiuliza kuna nini? Kama nusu saa hivi tukasikia Wioo wiooo wiooo...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania trusted in God. Siku nchi ilipomuabudu Mungu wakati wa COVID-19

    TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19. Leo 20:15hrs 06/07/2022 Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za...
  5. hamis77

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

    1. SIFA ZA WASHIRIKI 1. Mshiriki awe raia wa Tanzania. 2. Mshiriki awe ameshawahi kucheza ligi tofauti tofauti kubwa zilizowahi kuchezwa miaka ya hivi karibuni (2020-2022) 3. Awe amepitishwa na mkoa wake 4. Kabla ya kuingia kwenye mashindano lazima mchezaji athibitishe uwepo wake kabla...
  6. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Tanzania escaped recession in 2020: This is President Samia Suluhu’s comeback from COVID-19 economic woes

    Tanzania avoided a recession in 2020, but the COVID-19 pandemic has significantly impacted lives and livelihoods across the country. The emergency of the COVID-19 novel coronavirus plunged the global economy into a recession in 2020, and the pace of recovery remains uncertain among advanced and...
  7. Keynez

    JamiiForums Tanzania Janga kubwa katika Tanzania ni viongozi kutaka kuwa ma-celebrities

    Ndugu zangu, Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems za nchi hii, kwa kuwa kwa mtazamo wao zilifanya kazi huko nyuma kwa hiyo hawataki kuziacha. Hii...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Tanzania unaendelea kuleta mafanikio

    Fadhili Mpunji Sekta ya kilimo ni moja ya maeneo yenye fursa kubwa za ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika, lakini hadi sasa eneo hilo liko nyuma ikilinganishwa na sekta nyingine. China ni nchi ambayo kilimo ni jadi yake, na katika miaka ya hivi karibuni maendeleo ya kiuchumi na...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Human Resource Officer at Bank of Baroda (Tanzania)

    HR (Human Resource) Officer Dar es Salaam Bank of Baroda (Tanzania) Ltd Bank of Baroda (Tanzania) entered the then Tanganyika way back in 1956. Bank of Baroda, a leading Public Sector bank in India. It also has wide international presence. It ranks 152 amongst the top 1000 in the world...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Operations Manager at (R4D) Tanzania

    Operations Manager Dar es Salaam Results for Development is a global nonprofit strategy consulting organization. Results for Development (R4D) is a leading non-profit global development partner. We collaborate with change agents around the world — government officials, civil society leaders...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania HR Assistant at Rentokil Initial Tanzania

    HR Assistant Dar es Salaam Rentokil Initial – Tanzania Pest Control & Hygiene Services Rentokil Initial: Rentokil Initial is a Global services company employing over 45,000 colleagues across 85 countries. The Company is at the cutting edge of technology and innovation as it strives to...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Non Executive Director at VODACOM Tanzania Plc

    Non Executive Director for Vodacom Tanzania PLC Dar es Salaam, Dar es Salam, Tanzania, United Republic of Overview Description Sitholizwe Mdlalose appointed as a Non-Executive Director The Company announced on 10 May 2022 that Sitholizwe Mdlalose, the Company’s Managing Director will be...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Field Associate at UNHCR Tanzania

    Field Associate Job Title Field Associate Job ID 38264 Location Kigoma, Tanzania- U.R. Of Salary Grade G6 Hardship Level C Family Location Type Family Eligible Applicants This position is advertised open to Group 1, Group 2 and external applicants. Duties and Qualifications Field Associate...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tutumie ujasusi kuiba teknolojia, hakuna atakayetupatia teknolojia

    Salama wandugu, Kwa matokeo haya ya form six na hasa zile shule za vipaji maalumu kufanya vizuri, Je Serikali inawatumiaje kwa sababu kuna wengi wanaishia kwenda nje na kusoma na kuishia kufanya kazi kwenye makampuni nje Kama yule mtanzania ambaye yupo kampuni ya Boeing Marekani. Watanzania...
  15. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Kumbe bajeti ya Tanzania inaweza kuwa Tsh. Trilioni 2 na chenji ikabaki? Inafikirisha!

    Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona. Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  17. mwanazuoniog

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya 44 Tanzania

    Deleted
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

    Amani iwe nanyi Leo Rais wa JMT amemtumbua Mkurugenzi wa Bandari Ndug Erick Hamis. Pamoja na kumtumbua Rais Samia amelalamika juu ya efficiency ya Mamlaka yetu ya Bandari na kusema kuwa Mamlaka hii ingekuwa inafanya kazi vizuri ingeweza kuchangia hata nusu ya mapato ya Bajeti yetu. Ni kweli...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ni upi mchango wa wanazuoni wetu katika siasa za Tanzania? Je, wanashauri, wanaponda, wanasifia?

    Salaam Ndugu zangu, Nimekuwa nafuatilia mienendo ya wanazuoni wetu wakiwemo walimu na maprofesa wa vyuo vikuu kadhaa nchini kwetu. Nimegundua asilimia chache sana ndo inafanya kazi kwa ufasaha hasa linapokuja suala la mchango wao katika jamii kwa upande wa siasa. Wengi wetu wametekwa na mambo...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa

    Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa mikopo. 1. Benki Kuu ya Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na...
Back
Top Bottom