Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Utangulizi
Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania.
1. Kukosa haki...
Kwamba CCM ikubaliane na vyama vyenye wabunge ili viweze kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa
CCM, Chadema, ACT wazalendo na CUF vina jumla ya wabunge 25 wanaounda kambi ya wachache bungeni?
Nauliza hivi kwa maana wao (Waingereza) ndiyo waliowaleta Wahindi Tanzania kutokea India/Pakistani, nakumbuka pia wakati wa Amini Uganda wengi wa Wahindi walikimbilia Uingereza, Kanada au Australia (English commonwealth).
Sasa je, Uingereza inawajibika na maisha ya Wahindi hapa Tanzania? Kwa...
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi.
Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa nchi za kiafrika zinapaswa kuunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine.
Picha hiyo ilisambazwa sana...
===
Katika mahojiano yake na EFM redio mkuu wa mkoa Simiyu Mhe David Kafulila amefafanua juu ya maasi yanayoendelea nchi za wenzetu na hatma ya
ukuaji wa uchumi wa Tanzania katika mizozo hiyo,
Mhe Kafulia anachambua Machafuko na matokeo yake kwa nchi zingine na namna yanavyoathiri uchumi wetu...
WENYE MAJUKUMU YA KAZI BIASHARA NA FAMILIA JIUNGENI CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA
Kama wewe ni mtu ambaye una majukumu ya kazi, biashara au ya kifamilia na unapenda kujiendeleza kielimu, njoo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ndipo mahali pake. Chuo hiki cha umma kinaendeleza watumishi wa umma na...
Elewa kuwa Tanzania ni kati ya nchi kumi tu tu duniani ambazo bendera zake zina diagonal strip. Ukiacha Brunei utashangaa kuwa nchi zote zenye bendera diagonals, ni za uchumi wa hali ya chini sana; ingawa Tanzania na Namibia tunaweza kujitutumua kwenye kundi hilo, lakini nyingine zote ni za...
Kwa Mujibu wa Tovuti ya EWURA hadi Septemba 2020 yapo Makampuni 12 kwanini SERIKALI YA TANZANIA inafanyia promotion kampuni moja inapeleka ujumbe gani kwa wananchi na hizo kampuni nyingine
LIST OF LICENSED LPG WHOLESALERS IN TANZANIA AS OF SEPTEMBER 2020
Manjis Logistics Limited of P.O. Box...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa...
Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafute mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela.
Si kwamba kwetu sijaona, la hasha nataka! Kuchanganya damu. Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani au nikioa si...
"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."
- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.
CC: swahilitimes
CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania.
Kikao hicho...
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inafikiria kuanzisha Benki ya Maendeleo itakayokidhi mahsusi mahitaji ya ufadhili wa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs) nchini Tanzania.
Benki ya AfDB, ambayo imekuwa ikisaidia ukuaji wa makampuni makubwa ya kibiashara ya Tanzania kwa njia mbalimbali...
Habari za wasaa wakuu.
Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao .
Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote .
1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025.
Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani.
Viwanda hivyo...
Wakati Watanzania wengi zaidi wakiendelea kujiunga Mtandaoni, kasi ya ukuaji wa Watumiaji hailingani na uelewa uliopo kuhusu hatari zinazoweza kutokea katika Mitandao
Ripoti ya CIPESA inasema Watumiaji wengi wa Intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu mtandaoni au kwanini wanahitaji kulinda Faragha...