tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu nchini Tanzania

    ELIMU NCHINI TANZANIA Mwandishi: Shida Masuba 1.0. Fasili ya Elimu Kwa mujibu wa sera ya Elimu na Mafunzo (2010:1) inafasili elimu kuwa ni “mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua na kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Why Tanzania can't have 12 solar power farms?

    Solar technologies convert sunlight into electrical energy either through photovoltaic (PV) panels or through mirrors that concentrate solar radiation. This energy can be used to generate electricity or be stored in batteries or thermal storage. Many countries in the world have adopted the...
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la habari Tanzania (MCT): Uhuru wa vyombo vya habari nchini unaimarika

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022. Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za waandishi wa habari ukilinganisha na miaka iliyopita...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Yapi Merkezi kuchunguzwa kwa rushwa na kuingilia mambo ya ndani Tanzania

    Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa Arioglu anatuhumiwa kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kukamilika kwa mradi wa SGR huku akiwatendea visivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Product Delivery Manager Job at BRAC Tanzania Finance LTD

    Job Overview Product Delivery Manager Dar es Salaam BRAC Tanzania Finance LTD It is the largest microfinance institution in Tanzania in terms of branch network, active borrowers, and loan outstanding CAREER WITH BRAC TANZANIA FINANCE LTD BRAC is one of the world’s largest development...
  8. M

    JamiiForums Tanzania kutolewa kwa ela za field (HELSB) baadhi ya vyuo vikuu Tanzania inaumiza wanafunzi wa hali ya chini (watoto wa wakulima)

    Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi. Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nani Rais bora Tanzania?

    Habari wanajamvi . Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja. Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi. Ukiangalia kiufundi msingi wa Tanzania ulijengwa kwa tope na kupakwa rangi. Nasema hivo kwa sababu baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania itapata faida gani kama TAZARA itajengwa kwa kiwango cha SGR?

    Katika ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Mh Hakainde Hichilema July 2, 2022, yeye na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania walikubaliana kufufua ujenzi wa reli ya kihistoria ya TAZARA kwa kiwango cha ‘Standard Gauge Railway’ (SGR). Reli ya TAZARA ina urefu wa kilomita 1,860...
  11. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola 2022: Tanzania yajihakikishia medali, Bondia aingia nusu fainali

    Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza. Kutokana na matokeo hayo, Tanzania imepata uhakika wa medali katika michezo hiyo. Kabla ya hapo, Changalawe...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyopiga hatua kiuchumi katika sekta mbalimbali

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Shughuli hizo ni pamoja na uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali. Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au Dunia. Kwa kipindi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei za mafuta nchini Tanzania limekuwa tatizo na changamoto kubwa kwa wananchi imetokana na vita zinazoendelea nchi za Ulaya

    Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta. Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Utamu wa ngoma...

    Nawasalimu ndugu zangu popote pale mulipo🤝🏽. Nina matumaini ni wazima wa afya, na kwa wale waliopata mtihani wa maradhi basi tunawaombea siha njema kwa MwenyeziMungu (Mtukufu, Aliye juu, Aliye mkuu). (Picha kwa hisani ya: Gift of Herbert J. Harris, 1986) Hii ni ngoma ya kijiji chetu. Kila...
  16. JamiiForums Tanzania New World Order on horizon: Je, Tanzania tutapatia this time around?

    Mbiiu la mgambo lishaliaa. Tarumbeta la parapanda lishalia.. Je watanzania tupo kuingia chaka kwa mara nyingine tena? Hapa naongelea tuwe wapambe wa masuperpower wapi wale wa west au wale wa east? Lakini kabla hatujachagua tukumbuke mkenge tulioingia Kwa kumfwata mrusi, aka msovieti kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu, Tanzania Royal Tour Rally sasa kutumia helikopta

    SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha...
  18. JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  19. JamiiForums Tanzania Mtanzania unaijua pensheni ya Rais anapostaafu?

    Kama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania. Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake...
  20. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo katika Sekta ya Elimu Tanzania

    Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na kujibu swali hili katika muktadha wa sera ya kiprogramu ya kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…