tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Tanzania

    Wako na umaarufu hadi hapa Kenya kila pahali mabango mganga hatari kutoka Tanzania. Mara Dar, Tanga lakini huwa naamini ushirikina
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania tungekua na serikali ya Majimbo, unafikiria ni Jimbo Gani lingeongoza kuwa na Maendeleo hapa nchini?

    1JIMBO LA ZANZIBAR Hili tayari ni kama Jimbo linalojiendesha maana tayari lina utawala wake binafsi, 2. JIMBO LA KASKAZINI (Northern Zone state) Mji mkuu: Arusha Maeneo: Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga Kazi kuu: Utalii (Ngorongoro ,Kilimanjaro) Kilimo cha mazao ya biashara Huduma za...
  3. JamiiForums Tanzania From Abidjan to Johannesburg: The New African Investment Wave in Marrakech

    Across Africa, a quiet but powerful shift is underway. From the economic dynamism of Abidjan to the financial networks of Johannesburg, a growing number of African investors are looking north — toward Morocco, and more specifically, Marrakech. Once perceived primarily as a leisure destination...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

    Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB 256) hadi TZS 3,900,000 (GB 512). Kwa wanunuzi wanaozingatia bajeti, mnaweza kuangalia Nothing Phone...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tunajifunza nini kuhusu ubabe wa dunia/kuhusu vita vinavyoendelea?

    Je na sisi tunaweza tukatunisha msuli? Je Jwtz inaweza ikatuonesha suprise kwa raia wake na kwa ulimwengu kwa ujumla? Je tuna mahandaki kwaajili ya usalama wa raia, Je tuna air defensive systems Je tunaweza ishika sehemu nyeti dunia kama vile Hormuz
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwenzangu amepata kazi Tanzania

    Yupo na watoto watatu na mke anataka kuja Tanzania mshahara ni 400,000 Tsh anaeza ishi wapi Dar kwa mhindi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Customer service Agent-Swissport tanzania

    Nani anajua range ya Mshahara kwa kampuni tajwa ....Kwa nafasi hyo..wenye uzoefu..?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Siasa imeiteka dini

    Kwa hali ilivyo kwa sasa inaonyesha ni dhahiri dini imetekwa na siasa. Kwa maneno mengine ni kwamba wanasiasa wameamua kwa nguvu sana kuitumia dini kutimiza adhma zao za kisiasa. Dini imekuwa kipofu imevaa miwani ya giza kwa kadri ya kushindwa kuona kabisa uovu wa kutisha ulioko siasani. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawana akili timamu, Majaliwa wanayemshangilia leo wanadhani hayuko ndani ya mfumo

    Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais. Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kutafuta maslahi pamoja kwa kuungana na Partnerships imekuwa ngumu sana Tanzania

    Mfano unakuta mtu flani ni mtaalam sana wa vitu kama ufundi, upishi, n.k. lakini hana mtaji Mwengine ana mtaji lakini hana hizo skills, wala uwezo wa kusimamia Mwengine ana jicho la kijasiriamali kwamba huo mtaji na hizo skills inabidi ziwekwe sehemu flani, bei ziwe vile, n.k. lakini hana...
  11. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakati Dunia ikipambana na soko la mafuta, huu ulikuwa ni wakati wa Tanzania kunufaika na utajiri wa gesi asilia

    Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea. Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

    Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na inaathiri moja kwa moja maisha ya kila siku ya wakazi. Mara chache sana maji yanaporudi inakua ni usiki wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Human Rights Watch: Raia ambao hawakuwa kwenye maandamano walipigwa Risasi kuanzia Oktoba 29 kufuatia maandamano kwenye Uchaguzi Mkuu

    Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa wakishiriki katika maandamano hayo. Human Rights Watch imethibitisha vifo vya watu 31 ambao hawakushiriki...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya waandishi bora wa muda wote Tanzania

    Hawa watu walinifanya ninunue sana magazeti kabla ya ujio wa social media. 1. Joseph Mihangwa 2. Ahmed Rajab 3. Edo Kumwembe 4. Jenerali Ulimwengu 5. Maggid Mjengwa 6. Irene Mwamfupe 7. Ayoub Rioba 8. Imelda Mtema 9. Luqman Maloto 10. Julius Mtatiro
  15. JamiiForums Tanzania Responded Baraza la Madaktari Tanzania laongeza muda wa usajili wa madaktari hadi Aprili 30, 2026

    Watoa huduma za afya nchini Tanzania wamepewa nyongeza ya mwezi mmoja kukamilisha usajili wa lazima wa kitaaluma, kufuatia malalamiko mengi kuhusu changamoto za kiufundi katika mfumo wa mtandaoni. Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) hapo awali lilikuwa limeweka tarehe 31 Machi 2026 kama mwisho...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  17. JamiiForums Tanzania Radio 47 ndiyo Radio Namba 1 hapa Tanzania kwa sasa

    Hii yote ni kwa sababu media karibia zote za Tanzania zimeacha PROFESSIONALISM, zimeacha kuipasha jamii habari ambazo ziko balanced, wameleta censorship kwenye uhabarishaji wa jamii. Kibaya zaidi, wame-side na chama tawala (CCM) na kukubaliana na kila wanaloambiwa. Matokeo yake media za nje ya...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania Haina Dini kuweka masharti yoyote ya kidini ni kinyume Cha katiba ya nchi kufunga sio Sheria ya nchi viongozi wasiwe wanafiki

    Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
  19. JamiiForums Tanzania 2015 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi, tusichanganyikiwe

    Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa siasa wa Tanzania wanakula wapi bata? Je, ni suala la muda kabla hawajaibuka kina Epstein na Diddy wa Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao. Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…