tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kawasahau wasichana wa Tanzania kuhusu lishe. Ni warembo ila ni wafupi sana

    Wasichana wa Tanzania wanaamza usista duu mapema sana.matokeo yake wamedumaa Wakiwa kwenye public ,wanajifanya kula kidogo,tena chipsi vipande vichache,kuku atamdonoa donoa,samaki atakula kama hataki hata kumgeuza hamgeuzi Ngoja afike nyumbani sasa,ni ugali wa kulumangia na kachumbari au...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaonunua Magari kwa Kuyaagiza Moja kwa Moja kutoka 'Majuu' na hawa wanaoyanunua 'Yards za Tanzania' Wanadharauliana sana?

    Wenyewe wanasema kuna Raha yake Kuliagiza Mwenyewe kutoka Mamtoni ( Majuu ) kuliko Yule ambaye anaenda Kununua Yard tena na Fundi wake kabisa Ili Kubahatisha lililo zuri na salama. Haya mlio na Magari yenu mliyoyaagizia kutoka Majuu na mliyonunua hapa hapa Yards za Tanzania tafadhali karibuni...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Stergomena ashiriki Mkutano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja Baina ya Tanzania na Msumbiji

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika Ukumbi wa Joachim Chisano, Maputo nchini Msumbiji, Waziri...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya pili Afrika kwa imani za kishirikina

    Tanzania imetajwa kuwa nchi ya pili Afrika katika kuamini ushirikina ikitanguliwa na Cameroon kutokana na ukubwa wa matukio yanayohusishwa na imani za kishirikina ikiwemo mauaji ya wazee 117 katika kipindi cha Julai 2017 hadi Mei 2018. Mauaji hayo ambayo yalihusisha wanaume 91 na wanawake 26...
  5. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Tanzania ni kati ya nchi zenye maisha duni ya Kidijitali duniani

    Ripoti ya Ubora wa Maisha ya Dijiti ya 2022, iliyotolewa na kampuni ya Surfshark ya Uholanzi, imeonesha raia wa DRC wana hali mbaya zaidi kidijitali, kati ya nchi 117 zilizofanyiwa utafiti, huku Tanzania ikishika nafasi ya 107. Sababu zilizotajwa kuchangia hali hiyo ni Kasi Ndogo ya Mtandao...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza ametoka hadharani kutetea sera za Waziri wake wa Fedha. Tanzania Waziri wa Fedha anabebeshwa mzigo bila sababu

    Hili swala linafikirisha.. Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng.. Kwarteng aliwasilisha mpango wa kufufua uchumi ulioainisha msururu wa kukata Kodi Ili kuvhochea uchumi...
  7. JamiiForums Tanzania Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh. Bilioni 979 za miradi

    Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, umeahidi kutoa mkopo nafuu utakayonufaisha mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni 420 (Sh 979,374,404,740 za Tanzania)...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

    Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? kwetu?
  9. JamiiForums Tanzania Umri wa kugombea urais wa Tanzania urekebishwe

    Wana jamvi. Napendekekeza umri wa kugombea urais wa jamh. Tanzania uwe kati ya miaka 25 hadi 70. Hii ni baada ya kuona kuna vijana wanaweza kuwa marais kwa umri husika maana wazee wanazingua. Angalia Biden na Putin wanavyotishia uhai wa dunia. Hii ni sababu wao wamekula vyingi hivyo hawana vya...
  10. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kuunganisha DR Congo na Tanzania

    Naomba kujua hii serikali ya sasa inaendeleaje na mkakati wa kuunganisha DR Congo na Tanzania Ili mizigo ya DR Congo isipitie Zambia bali ipitie Tanzania na kufika DR Congo kupitia Sumbawanga
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi wa habari Tanzania hawaripoti taarifa zenye maslahi mapana kwa Taifa letu?

    Nimekuwa nikifuatilia waandishi wa habari wa nchi hii, nikagundua kuwa zile habari muhimu sana, zenye maslahi mapana kwa Taifa hili hawaziandiki na badala yake, wao Kila siku ni kuandika "mapambio" ya kusifu na kuabudu viongozi walioko madarakani! Waandishi wa habari wa nchi yetu, wamejijengea...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi la Polisi na askari wote Tanzania, amani ndio imani ya nchi

    PONGEZI MAALUMU KWA POLISI. Jeshi letu la polisi wanapofanya operation zao kikweli hua zinasaidia sana na kwa aina ya IGP wa sasa uhalifu unakwenda kupungua sana maana hua yeye ni mtu wa field na majambazi na wezi hufinywa kimya kimya. Amina nawaeleza kama wewe sio muhalifu na ni raia mwema na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hongera na pongezi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuifanya Tanzania kuwa Salama muda wote

    Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Taifa stars yachapwa 2-1 na Libya jijini Benghazi

    27 September 2022 Benghazi, Libya Live Broadcast match Libya vs Tanzania FINAL SCORE LIBYA 2 - 1 TANZANIA Head Coach Honour Janza na kocha msaidizi Mecky Mexime Aishi Manula Abdallah Mfuko Dickson Job David Gilbert Ulomi Shomari Kibwana Himid Mao Reliants Lusajo Muzamiri Yassin Sospeter...
  16. JamiiForums Tanzania Haya yanatokea Tanzania pekee

    Kwamba Waziri anaitia serikali hasara kubwa, na nchi uzorotaji wa kimaendeleo ya teknolojia na ya watu... anaoteshwa, anabadilisha, na anaendelea na kazi! Kabla ya tozo, sekta ya 'fedha mtandaoni' (mobile money) ilikadiriwa kuwa dola bilioni 4 (Shilingi Trilioni 9.5), kiasi ambacho kwa mwaka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ya sasa Watu wa hovyo kijamii na matukio ya hovyo ndiyo yanashabkiwa na 'Kutrendi' sana?

    Kwa mfano Mtu (Bondia) wa hovyo na very Unprofessional Karim Mandonga (ambaye hata Kupigana hajui) na ana Upuuzi mwingi anashabikiwa na kusifiwa kila Kona huku akitrendi ila aliyempiga na anayejua Ngumi Bondia Kaoneka haimbwi, asifiwi, hashabikiwi na hata 'hatrendi' pia hadi Kuonekana ni Mshamba...
  19. JamiiForums Tanzania Je sera ya afya ya Tanzania inasema nini kuhusu haya?

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa hivi watoa huduma za afya nchini Tanzania (doctors and nurses) walioajiriwa na wasioajriwa lakini wamesajiriwa na wana leseni za mabaraza yao (MCT & TNMC) 1. Je wanaweza ku practice remotely yaani nje ya health facilities hata bila kuonana na mgonjwa kwa njia ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…