tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Elimu Tanzania uwafikie TIE

    Hakuna taasisi ya elimu ya ajabu kama yetu. Kweli kabisa inakera mara hakuna idadi. Kuna wakati natamani sijui ukutane nao wapi uwarushie hata mawe au kuwamwagia kinyesi. Just think. Hii taasisi ina jukumu, yaani ni wajibu wao kuhakikisha vitabu hasa vya kiada vinakuwepo kwa wanafunzi wote wa...
  2. N

    Lissu akubali Tanzania ni salama na Rais Samia

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameahidi kurejea nchini baada ya kuona Tanzania sasa ni salama chini ya Rais Samia Suluhu kama tunakumbuka Rais Samia Suluhu Februari 2022 alifanya ziara ya kikazi nchini Ubelgiji Lissu alitumia fursa hiyo kukutana na Rais Samia Suluhu na kufanya...
  3. T

    Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  4. Elimu ya Tanzania yamtisha Mzungu, Globalist kaamua kuibadilisha!

    Dunia hii ukiona mtu mweusi anatembea kibabe na kujiamini basi ni aidha Black Amerikan au Mtanzania hayo ni maneno ya mgeni mmoja alieyeitembea Dunia ikiwemo Tanzania pia. Globalist kaogopa, katishwa na Tanzania, sisi ndiyo nchi pekee ambayo ilikuwa haipindiki kama mti wa mpingo, Elimu ya...
  5. J

    Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  6. N

    Joseph Mbilinyi (Sugu) anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani

    Sugu anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani matukio ya kutisha hayapo tena democrasia imerejea chini ya Rais Samia Suluhu hakika tutafika mbali maana naona upinzania wameanza kupata akili sio kila kitu cha kupinga kizuri kisifie
  7. Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu. "Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya...
  8. S

    Nilishaeleza kwanini hatupaswi kuona ni kosa kwa Tanzania kukopa fedha za miradi kutoka nje, kwa kuwa tusipokopa athari zake ni hizi hapa

    Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika karibu kila sehemu ya uchumi, hasa wakati wa Magufuli. Miradi ya Magufuli aliyojivunia kutumia fedha...
  9. B

    Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

    Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo: 1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya. 2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
  10. Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  11. Hapa Tanzania hakuna kitu kinachoitwa mke wa mtu ni Nadharia tu

    Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu. Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho. Pole ndugu yangu hiyo pesa yako umetoa mahali Bora ungemvutia Mama yako maji ya dawasa .
  12. Mnaowaita Pisi Kali huko Tanzania, Asilimia 96% Hawana Akili

    Habari wana jukwaa wa JF na heri ya sikukuu ya mapinduzi Nawasalimu nikitokea hapa Ontario Canada mtaa naoishi sitautaja kwasababu za kiusalama.. Leo kabla ya kuamka nikasema hebu nishiriki nanyi jambo moja ambalo kwa muda kidogo nimelifanyia utafiti nikabaini mambo kadhaa kwa hawa...
  13. Serikali isipochukua hatua zaidi tunakoelekea ni kubaya

    Aridhi ya Tanzania inaenda kuhodhiwa na Wageni hasa Wakenya & Warwanda.Idadi ya Wakenya wanahamia Tanzania inaongezeka maradufu.Mwezi uliopita nilisafiri kwenda Msibani Tarime wakati narudi kuelekea Mwanza mida ya SAA 1 kutokea Tarime-wakati tunafika katika daraja la MTO Mara mpakani mwa Wilaya...
  14. Mwigulu amepotosha, aliposema kuwa ni watanzania asilimia 3 pekee wanaolipa Kodi nchini Tanzania

    Nimemsikia waziri wa Fedha na Mipango nchini, alipotamka kwenye kongamano la Kodi nchini hapo Jana, kuwa watanzania wengi hawana tabia ya kupenda kulipa Kodi, Kwa kuwa Kwa mujibu wa taarifa yake yeye alisema kuwa ni asilimia 3 pekee ya watanzania zaidi ya milioni 61, wanaolipa Kodi hapa nchini...
  15. Hivi Tanzania ina uhusiano wowote na Ureno?

    TANZANIA inafahamika saana Portugal kuliko nchi nyingi za Afrika. Nimecheki video fulani YouTube ya ask Portuguese about Afrika. Watu walikuwa wanataja nchi wanazo sifahamu kutoka Afrika watu wengi wametaja Tanzania kuliko nchi yeyote kutoka Afrika. Na ndiyo mara ya kwanza kuona TZ imetajwa...
  16. Kenya na Tanzania zatatua kero 23 na mahusiano ya kibiashara

    Tangu mama Samia aukwae uongozi aliamua kubadilisha taswira kabisa, alidhamiria kufuta zile chuki chuki na majungu zilizokua zimetamalaki kwenye awamu ya tano, watu walikua makatili hadi kutia viberiti vifaranga vya kuku. Kuongoza nchi kwa misingi ya chuki utazidi kuwafanya watu wako wawe...
  17. Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
  18. Vyombo vya Habari Tanzania ubunifu ni zero kabisa

    Watangazaji wote wanaongea kwa mfanano mmoja, ni ajabu sana, unakuta reporter wa TBC hana tofauti na reporter wa ITV, house style moja. Sauti moja yaani kama ndo wanajifunza kutangaza. Watangazaji wanatangaza kwa kunata nata sana its like slow motion, sentesi moja ina tamkwa kwa sekunde 17 yaan...
  19. Imani yangu ni kuwa Tanzania moja, Serikali moja itatutoa

    Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena. Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
  20. Gavana wa Benki KUU Tanzania!

    Gavana mpya Tutuba! Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping Tanzania attain macroeconomic stability, …by Bloomberg. --- Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…