tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

    Salaam Wakuu, Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu. Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini. Hayati Magufuli alivyokuwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma. Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha: Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka nenda rudi. Ada ni 1,570,000/- kwa mwaka inayotakiwa kulipwa yote kabla ya kuanza masomo. Chuo hiki...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili D'Souza kuongoza Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Novemba 27

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) linatarajiwa kuziba nafasi za uongozi zilizo wazi Novemba 27 jijini Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa AT Wakili Jackson Ndaweka alisema, kikao cha kamati tendaji kilichofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba mosi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Kitapeli Tanzania (Scam companies)

    Kuna maswali mengi fikirishi juu ya uchipukaji huu wa kampuni za kitapeli (Scam companies) hapa Tanzania. Kampuni hizi ni pyramid/ponzi schemes na zimekuwa zikiwaumiza Watanzania sana, na pesa inayopatikana baada ya kukusanya kwa raia huenda kwenye mzunguko wa pesa nchini isivyo kihalali. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana , kuwa mwanaCCM pekee sio suluhisho CCM inataka vijana wajenga hoja kwa maendeleo ya Tanzania

    Salam wakuu, Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi jinamizi la soka la kasi linavyotesa vilabu vya soka nchini Tanzania

    Amani iwe nanyi: Natoa pole kwa vilabu vya Tanzania vilivyoumaliza mwendo katika mechi za awali za Mashindano ya Afrika ,nazungumzia Yanga,Azam na Kipanga. Mara baada ya mechi za jana nilitulia kidogo kufanya tathmini kujua mapungufu ya vilabu vya Tanzania katika soka la Kimataifa, nikagundua...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wachezaji wa Tanzania wana spidi ndogo uwanjani?

    Kuna changamoto kubwa kwa wachezaji wa Tanzania. Wanakuwa na spidi ndogo sana uwanjani pia wana spidi ndogo ya maamuzi. Bila kusahau makosa katika kukaba, kutoa pasi/cross na kumalizia magoli. Je, kuna suluhisho?
  8. 4

    JamiiForums Tanzania Tabaka la elimu Tanzania litatumaliza, Rais, Waziri wa Elimu tufanyeni jambo hili kwa kasi laweza saidia

    Ndugu wanaJF na Watanzania kwa ujumla amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja KWa imani yake. Husika na mada tajwa hapo juu, Matabaka ya elimu Tanzania limekua zimwi linaloendelea kututafuna Kama watanzania hasa kwa vijana wetu katika level tofauti za elimu nchini hasa huku chini kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania Prisons na Singida Big Stars zafungiwa kusajili Ligi Kuu

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya NBC za Tanzania Prisons na Singida Big Stars kwa kosa la kusajili wachezaji wenye mikataba na klabu zingine. Uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji umefanywa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya malori 600 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania kwa zaidi ya wiki moja

    ITV wametangaza kuwepo kwa foleni ya malori inayofika kilomita 7 kule Namanga yakisubiri kuingia Kenya Madereva wamelalamika sana na kusema hawaelewi sababu za msingi Waziri wa Biashara Namanga kuna tatizo gani? J5 ubarikiwe sana ==== Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka...
  11. JamiiForums Tanzania Payoneer inafanya kazi kwa Tanzania?

    Wanajukwaa wenzangu tunaopenda kufanya kazi za online na watukutoka nje ya nchi nilikua naomba kuulize hivi payoneer inaruhu kupokea pesa toka nje ya nchi??
  12. JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

    Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi. Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu? Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar watia saini hati za makubaliano kuimarisha biashara na uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar. Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
  14. JamiiForums Tanzania Mpina arejesha fomu ya kuomba UNEC wa CCM Mkoa wa Simiyu na UNEC CCM Viti 15 Tanzania Bara

    a
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania kufanya msako dawa nne zilizozuiliwa na WHO

    Serikali ya Tanzania imesema, inafanya ukaguzi maalumu ili kubaini iwapo aina nne ya dawa zilizopigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO), zimeingia katika mzunguko nchini humo. Jana Jumatano, Oktoba 5, 2022, WHO ilizitangaza dawa hizo kutoka India kuwa ni hatari na zimesababisha vifo kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Seth wa IPTL kuishtaki Serikali ya Tanzania akitaka arejeshewe umiliki wa IPTL

    Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile. Pia, imlipe fidia ya hasara aliyoipata kwa kipindi chote ambacho mitambo yake ilizimwa na kutaifishwa.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta ukilinganisha na nchi za Afrika Mashariki

    Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo. Kupelekea Tanzania kuwa nchi yenye bei ndogo zaidi ya mafuta Afrika Mashariki. Kuanzia leo mafuta...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuboresha taaluma ya ualimu ili kukuza sekta ya elimu Tanzania

    Mwalimu ana jukumu muhimu katika kuunda haiba ya vijana na kuwatayarisha kuwa raia wazalendo na wanaowajibika. Kando na kazi za kufundisha darasani, mwalimu pia anatarajiwa kuchukua nafasi ya mshauri, kiongozi na mlezi kwa wanafunzi. Lakini pamoja na umuhimu huo, bado kuna mtazamo hasi dhidi...
  20. JamiiForums Tanzania Uza bidhaa nchini Marekani ukiwa Tanzania

    IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA. Fulfilment By Amazon (FBA). 1.AMAZON ni nini? AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji kisha atalipia baada ya malipo AMAZON watamletea mteja bidhaa hiyo mpaka mahali alipo nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…