tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni ya vichekesho sana!

    Eti Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Siasa anaweza kuzuia Chama xyz kisipewe usajili - hii ni Demokrasia au ujinga? Nchi ya Kidemokrasia mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama chochote popote na muda wowote, angalia hata Kenya watu wanaanzisha Vyama kila uchwao sijawahi kusikia chama...
  2. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliichangamsha Tanzania

    Kuna watu huku JF ukitaja JPM wanakosa raha na wanafanya kila liwezekanalo ili wazime nyota yake. Ila sipo uko Kipindi cha JPM watanzania tulitembea kifua mbele sana. JPM alifanya Tanzania tujulikane nje ya Tanzania sana kwa wale ambao wanatembea sana katika nchi nyingine watakubaliana na...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

    Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehemu zingine!! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nimependa Vladmir Putin alivyooiita nchi yake "Fatherland". Nashauri na Tanzania tuachane na kauli za "Mama Tanzania"

    Kulifananisha taifa na mama ni mbinu za kisaikolijia kulivunja morali. Sijui chanzo cha sisi Watanzania kujiita MAMA TANZANIA au MOTHER LAND BADALA YA FATHER LAND Tumuige Putin kuiita nchi yetu BABA TANZANIA. AU TUTUMIE NENO FATHERLAND BADALA YA MOTHERLAND. SABABU ZANGU 1: Mama ni...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania. Ubalozi wa China wakanusha

    BBC. China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti. Wakiwanukuu watetezi wa Usalama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri wakubaliana juu ya kuendelea na mradi wa uchimbaji wa visima na mabwawa

    TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA JUU YA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA Cairo-Misri Mapema Tarehe 16 October Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alikutana na Waziri wa Maji nchi Misri Mhe Profesor Nabhan Sweilam Jijini Cairo na kuekeza timu alioambatana nayo kukutana haraka na...
  7. W

    JamiiForums Tanzania TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  8. R

    JamiiForums Tanzania World Bank Vice President for E& S Africa anatumia vigezo gani kusema Tanzania imefanya "miracles" uchumi wake ni imara despite Ukraine

    Nimeona akisema kuwa Tanzania imefanya vizuri katika uchumi wake, eti tanzania imeshinda mfumko wa bei. Nimepigwa na butwaa. Mwigulu alikuwa anachekela as if ameuweza uchumi wa Tanzania kuwa first class wakati anawaibia watu , wizi kabisa wa fedha za watu kwa tozo! Ujambazi wa Tozo, eti ameweza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Lubumbashi: Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza leo Oktoba 18, 2022

    Kongamano la Fursa za TEHAMA kati ya Tanzania na DRC kuanza Kesho Lubumbashi Na Innocent Mungy, Lubumbashi. Kongamano la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji katika sekta ya TEHAMA linafanyika kuanzia kesho tarehe 18 na 19 Oktoba 2022, jijini Lubumbashi DRC likiwa na kauli mbiu ya “Kukuza Fursa za...
  10. Execute

    JamiiForums Tanzania Augustine Okrah, winga bora zaidi katika soka la Tanzania kwa sasa

    Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi. Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji. Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Kama swali hili wangeulizwa wanafunzi wa Tanzania wangetoa majibu kama ya wanafunzi hawa wa India?

    Doc Benway 4 hours ago I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Australia's Got Talent 2022 The Amazing Ramadhani Brothers from Dar es salaam Tanzania

    Golden Buzzer!! Summary Ibrahim and Fadhil stun the Australia's got Talent with heart- stopping stunts. Both Ibrahim and Fadhili made both the judges and the show participants feel the tension through their outstanding acrobatics. Unravelling their journey with The Beat, the two detailed...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

    Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha, ni rahisi sana kuumaliza, kuudhoofisha, kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya jambo fulani, hii ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujaribu kwa miaka 30, Korosho ya Tanzania yapata soko Marekani

    Kontena la kwanza la futi 20 lililobeba Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa liliondoka Mtwara Oktoba 5, 2022, na mwezi Novemba Kontena nyingine 5 zitasafirishwa kwenda Marekani baada ya Tanzania kujaribu kwa miaka 30 na kugonga mwamba. Korosho hizo ni kati ya tani 50 zilizonunuliwa kutoka...
  15. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Suala la Law School of Tanzania limeletwa kimkakati wa watu wachache

    Either wakufunzi kutafuta kujulikana ama kuundwa kwa schools nyingi kuwapa ulaji watu wa system.Haiwezekani kamati ya matokeo ikae iamue kabisa kutoa matokeo mabovu kiasi hiki.
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yatwaa tuzo ya Benki Bora Tanzania kutoka jarida la Global Finance

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akipokea cheti cha tuzo ya "Benki Bora Tanzania" kutoka kwa Mwanzili na Mhariri Mtendaji wa Global Finance, Joseph Giarraputo, katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa Benki Bora Duniani iliyofanyika kwenye ukumbi wa ‘National Press...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme

    East Africa News Ugandans lose Sh60 billion in football Ponzi scheme ======= Summary The BLQ scam leaves behind hundreds of Ugandans who had recently become millionaires. The supposed wealth vanished in a matter of hours as they looked on helplessly. The last message BLQ Football Club...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Japo Yanga siwapendi kuliko timu zote duniani lakini ninapenda Tanzania na sisi tuingize timu mbili makundi CAFCL

    Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
  20. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

    Na Jumakilumbi, 15.10.2022 Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
Back
Top Bottom