tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

    Na Jumakilumbi, 15.10.2022 Kile kilichotokea siku ya tarehe 14/10/2022, huko Kagera siku kumbukizi ya miaka 23 tangu alipotutoka Mzee wetu na Mkombozi wetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kimezua mjadala mzito kwa waumini wa dini ya kikristo na wakosoaji wa serikali na Rais Samia, hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Michezo ya Jackpot ni ujinga

    Yaaani vituo vya radio vinawahamasisha wajinga 100k wanachanga ml 100 kwa kupitia kile wanachokiita eti cheza ushinde ama mchongo pesa kwa kuwambia wacheze huo mchezo kwa gharama ya sh 1000. Halafu baada ya kituo cha radio kukusanya ml100 kutoka kwa wajinga au mabwege 100k wanamchagua mjinga...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada wa kifedha kurejesha wakimbizi makwao

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka. Akiwasilisha ripoti kuhusu hali ya wakimbizi mbele ya Kamishna Mkuu wa UNHCR Filipo Grandi, Masauni...
  4. JamiiForums Tanzania Kuku wa Ilala (Tanzania) wameshajipeleka wenyewe Omdurman (Sudan) kuchinjwa Jumapili

    Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

    Niliweka thread humu JF kwamba suala la Urusi na Ukraine ni dogo sana kwa mtu asie na ukahaba wa kisiasa wa kufuata bwana atakaekupa maslahi bila kujali utu wa mtu huyo. Nilisema wazi, leo hii wakati tunamkumbuka Nyerere tutafakari angesimamia wapi katika suala la Urusi na Ukraine. Nyerere...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Endelee Kupumzika Kwa Amani Baba Wa Taifa, Tanzania Ipo katika mikono Salama Ya Mwanao Mama Samia Suluhu Hasssan

    Ndugu zangu ni miaka Sasa Tangia Baba Wa Taifa Hayati Baba wa Taifa atutoke, Hakika lilikuwa Ni pigo kubwa Sana kwa Taifa letu kuondokewa na Baba Wa Taifa Mlezi wa Taifa, maktaba ya Taifa, Rejea ya Taifa, Mfariji wa Taifa, Mwongozo Wa Taifa, Mwenye kauli iliyosikilizwa na kuheshimika na kila...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uwekezaji wa faida na uhakika Tanzania kama Kwenye Ardhi?

    Ni swali hili. Niko kwenye Biashara hii muda wa miaka miwili sasa, kiwanja unaweza kununua asubuhi 4M. Jioni akaja mtu anataka umuuzie kwa 5M. Ardhi haishuki thamani. .... Kuna hivi nauza✍️ Unatafuta kiwanja sehemu nzuri iliyojengeka, karibu, Usafiri usiosumbua na mahali palipo na huduma zote...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi siasa za Tanzania zinavyodidimiza ustawi wa vijana

    Ndugu zanguni, Hawa wanasiasa hawana nia njema na watu wa kawaida hata siku moja. Siku zote mwanasiasa anaanza kuangalia masilahi yake binafsi then atawaangalia jamaa zake wa karibu,ndugu na marafiki. Ndiyo,lazima niseme hivyo...hatuna kiongozi wa kisiasa aliyepita,aliyopo madarakani wala...
  9. JamiiForums Tanzania "Job Ndugai achafua hali ya hewa" Ukurasa wa mbele wa Tanzania Daima Oktoba 14, 2022

  10. M

    JamiiForums Tanzania Law School of Tanzania: Imeondoka kwenye lengo la msingi na kuingia kwenye biashara /upigaji, kilichotokea ni mwangwi wa mhamo huo!

    Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa vitendo zaidi. Hawajaenda pale kushindiliwa tena elimu ya sheria kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna misimamo ya wazi UN

    Kura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua kutochagua kulaani wala kupinga Urusi kulaaniwa. Hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kutochukua upande...
  12. JamiiForums Tanzania Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania

    Tanza ikadiriwa kuwa na mita trilioni 230 za ujazo za gesi asilia, ingawa zilizothibitishwa mpaka sasa ni futi trilioni 57.5, hivyo kuiweka kwenye ramani ya dunia ikishika nafasi ya 82. Gesi hiyo tayari imeanza kuzalishwa katika visiwa vya Songosongo wilayani Kilwa, mkoani Lindi na eneo la...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

    Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania. Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ina maana Ruto alikuja Tanzania ili asiende Uganda?

    Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania. Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania kukopeshwa Tsh. Trilioni 4.9 na Benki ya Dunia kwa miaka mitatu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema Benki ya Dunia imeitengea Tanzania Dola za Marekani Bilioni 2.1 (Trilioni 4.9) katika mzunguko wa 20 wa IDA (Julai 2022-Juni 2025) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayokusudia kukuza uchumi wa Nchi pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa acha kutufokea wanamichezo wa Tanzania

    Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania. Hiyo wizara wamepita watu (Mawaziri) wazuri kukuzidi na kufanikiwa kwa utendaji wao kiufanisi na hakuna hata siku moja waliwahi...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Watanzania tumezoea udanganyifu kwenye vyumba vya mitihani. Kilichotokea Law school of Tanzania ni matokeo ya kuzoea udanganyifu

    Habari! Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect. Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza. Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania

    Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi Chanzo: TBC
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ubora unaosemwa wa Feisal haujawahi kuvuka mipaka ya Tanzania

    Ukianza na AFCON ambayo aliaminiwa sana na Amunike lakini alizingua sana, akawa anaruka ruka tu, nakumbuka mechi moja alitolewa mapema sana na Mkude aliingia kutuliza dimba. Ukija kwa Rivers UTD mechi zote mbili hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kuruka ruka. Mechi ya juzi dhidi ya Al Hilal...
  20. JamiiForums Tanzania Ninachokijua kuhusu Law School of Tanzania

    Nimeona mada za kuchambua taarifa ya kufeli kwa wanafunzi Law School of Tanzania. Binafsi na mimi nimepitia Law School, na haya ndiyo ninayoyafahamu kuhusiana na hiki chuo. 1. Law School kiuhalisia, siyo sehemu ya mafunzo kwa vitendo kama mnavyosikia redioni. 2. Somo la field lipo, ila marks...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…