tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania sihami, Matokeo ya Sensa yakioneshwa kwa Helkopita

    Helkopta ikionesha idadi ya Watanzania kutoka matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022. Tuko 61,741,120. - Gerson Msigwa ================ Mheshimiwa hizi helkopita zingeenda kusaidia kuzima moto mt. Kilimanjaro huoni mngetumia busara.
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania mnasema Rwanda inapora Mali za Congo DR mbona hamzionyi pia France na Belgium wanaopora 24/7 huko?

    Kwa huu Unafiki Wenu, Wivu na Chuki Kubwa dhidi ya Rwanda Taifa lenu japo kuwa ni Kongwe ila hadi leo Umeme ni wa Shida, Maji ya taabu japo mna Mito mingi na Maziwa mengi, Elimu yenu ikiwa ICU kwa sasa na Mwezi huu Utafiti umeonyesha pia kuwa Watanzania Milioni Saba (7) wana Ugonjwa wa Akili...
  3. JamiiForums Tanzania Bodi ya nyama Tanzania yashauri jamii kutumia nyama kuondokana na utapiamlo

    Imeelezwa kuwa kitaalam na kiafya mtu mmoja anapaswa kula nyama wastani wa kilo moja kwa wiki ikiwa ni njia moja wapo ya kuondokana na utapiamlo. Hayo yameelezwa leo Oktoba 28 Jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Dkt. Daniel Mushi wakati Akielezea utekelezaji wa shughuli...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa

    Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa. Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba nifikishe malalamiko yetu kwako juu ya mradi wa maji ambao umehujumiwa kwa muda...
  5. JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania, Tsh 2000 hupati hata GB 1

    Nilikuwa nimeweka vocha yangu ya buku 2 ninunue GB 1! Kuingia kwenye Menu ya Tigo tayari mambo yamegeuka, kwasasa kumbe hiyo GB 2000 hupati hata GB 1 yani! Kweli mpaka kufikia 2025 tutanunua GB 1 ELFU 5.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

    Katika siku za hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia maduka makubwa kadhaa yakifungwa, huku la hivi punde zaidi katika orodha likiwa ni Game Stores, ambalo kufungwa kwake kutaathiri vibaya zaidi ya kazi 100 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kuondoka kwa Game kunaikumbusha nchi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  8. JamiiForums Tanzania Hospitali za Tanzania zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa Damu

    Tanzania bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu salama hospitalini huku wataalamu wakitoa wito kwa taasisi binafsi na za umma kuongeza kasi ya uchangiaji damu kwa hiari ili kubadili wimbi hilo. Wataalamu waliokusanyika wakati wa hafla ya kuchangia damu iliyoandaliwa na wafanyakazi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Pombe washuka kwa kasi Tanzania

    Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha uzalishaji wa bia nchini umeshuka kutoka lita milioni 386 mwaka 2020, hadi lita milioni 380, ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 1.5. Kwa upande wa pombe aina ya konyagi nayo uzalishaji wake...
  10. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yashauri Serikali ikope Tsh. Trilioni 10 kumaliza kero ya maji nchini

    Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji Chama hicho kimetoa pendekezo hilo wakati kukiwa na mgawo wa maji katika mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mikoa...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

    Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine. Vyanzo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Tanzania nzima. Mechi ya Yanga na Geita Gold tutaitazama vipi?

    Mabanda umiza yatajaa sana. Kwa nini umeme unakatwa siku kama ya leo ya Jumamosi Hivi nani mwenye dhamana na umeme wa Tanesco?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania

    26 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania Video courtesy of Azam TV Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi la 26 la vijana kutoa mikoa mbalimbali ya, Tanzania kuonesha uvumbuzi wao pamoja na kazi za...
  14. JamiiForums Tanzania Maajabu ya viongozi wa Tanzania

    Habari za Sasa hivi wakubwa zangu, wadogo zangu, kaka na dada zangu hapa Jamii Forums. Bila kusahau babu zetu hapa JF kina mshana Jr, Bujibuji n.k, heshima kwenu wakuu. Leo nimeona niwashirikishe maajabu ya viongozi wetu tangu uhuru hapa Tanzania. Na yafuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanya Kampuni ya Tanesco kuwa Kampuni Bora na ya Kujivunia Tanzania na Afrika kwa Ujumla

    Tanzania tumebarikiwa vyanzo vingi vya nishati, Na Tanesco ni kati ya Makampuni mama ya Tanzania ambayo yanaweza yakaitangaza nchi yetu Africa na Pote Duniani (Yaani mfano wa kuigwa) Sio tu kutupatia nishati hapa bali tuweze kuwapa hata majirani zetu na kutuingizia fedha badala ya sasa kutumia...
  16. JamiiForums Tanzania Kusini mwa Tanzania watakiwa wawekezaji

    Waziri wa Mali Asili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana amesema kwa sasa sekta ya utalii ni soko kubwa la kuzalisha ajira na kuongeza pato la taifa hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika kuboresha Sekta hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

    Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu. 1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa. 2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
  18. JamiiForums Tanzania TANZANIA: How serial pension fund plunderers avoided Magufuli’s anti-corruption drive

    NOTE: This article was written in 2017 After more than a year in power, Tanzanian President John Magufuli had not managed to address corruption in the power sector, and corrupt pension funds, including the National Social Security Fund (NSSF) also successfully escaped his dragnet. Pension...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa bilioni 310 EXIM kutanua mfumo wa NIDA

    Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Tsh. Bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na utunzaji wa mfumo wa taarifa za ardhi. Hafla ya utiaji saini wa mikataba hiyo baina ya...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga ikifikia hapo, Tanzania tutakuwa masupastaa

    Simba hoyeeee, Yanga ni makopo. Kama kawaida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…