tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Ni ajali mbaya sana imetokea hapa Kibaigwa Silwa, bado mchakato wa kubaini athari unaendelea. Nita-updates soon ngoja tuokee watu kwanza. Kama una ndugu yako alipanda basi hilo kutokea njia ya bukoba kwenda Dar USSR === Ajali imetokea Kijiji cha Silwa, Kata ya Pandambili,Tarafa ya Mlali...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  3. JamiiForums Tanzania Tengeneza Stori Fupi na Picha Zake kwa Command za Maneno Machache Tuu

    Artificial Intelligence in Tanzania: Tumetengeneza Artificial Intelligence platform ambayo inaweza kukusaidia kuongeza ufanisi na productivity ktk kazi zako, leo nita share vitu vichache kidogo ambavyo inaweza kukusaidia - kuelezea documents za kisheria lugha rahisi sana (legal documents...
  4. JamiiForums Tanzania Facebook bado ni baba wa mitandao Tanzania

    Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule. Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika...
  5. JamiiForums Tanzania Maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye Jezi ya Simba yaleta utata

    Niliposomea Graphics Design lile Neno linasomeka hivi, "TVisit Tanzania" Na Sio Visit Tanzania [emoji1 241] [emoji846] Wataalam wenzangu wa IT Njooni tuwaelimishe hawa Graphics Designers wa Makolo Fc
  6. U

    JamiiForums Tanzania Cash strapped Air Tanzania to receive Sh10 billion government bailout

    Je hii ni urithi wa rais yule aliyeamua kununua ndege nyingi kwa kampuni iliyofilisika tayari? Halafu bila kumtafuta hata meneja mmoja aliyewahi kufaulu katika biashara hiyo? Nani alimshauri rais aliyefuata kuendelea na mpango huu? Cash strapped Air Tanzania to receive Sh10 billion government...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi inayoangaliwa kufikishwa kimaendeleo kama Afrika Kusini ni Tanzania ila CCM ndiyo inapoteza muda

    kila mtu unayemuuliza sehemu nzuri ya kuweza kufanya maendeleo africa utaambiwa tanzania ila kitu kimoja kinacho waogopesha ni hii serikali iliyopo ya ccm na kipindi kilichopita cha mwendazake. Kama mnakumbuka Fastjet ilikuja kuleta mapinduzi ila walichofanyiwa,tuache hayo ni mengi tu...
  8. JamiiForums Tanzania Kushabikia Mpira wa Tanzania Inatakiwa Uwe Mjinga kidogo

    Habari wanajukwaa. Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu. Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda kwa waganga wana hoja, wasibezwe

    Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini. Watu...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalamu niliowahi kuwasikia Tanzania

    Uchumi: Marehemu Dr Mgimwa huyu ndio mchumi pekee ambae alikuwa very analytical kwa mazingira yetu on how to apply theories to fit our environment and propel growth. Bahati mbaya hiyo speech yake iliyonigusa siioni tena YouTube. Banking: Dr Kimei amebobea kwenye finance (you do know banks sell...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia sekta binafsi

    07 Feb, 2023 SERIKALI imesema imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo mbili yaliyofanyika hivi karibuni mjini Washington...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu za ngao (push bumper) kupigwa marufuku baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania

    Ngao, kama zinavyojulikana na wengi au kwa kiingereza bull bar, au push bumper, brush guard, moose bumper, etc, ni vyuma vinavyowekwa mbele ya uso wa gari au wengine husema bampa la mbele ya gari, kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupendezesha muonekano wa gari. Hata hivyo, jina lenyewe bull bar...
  13. JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

    Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
  14. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Katiba Bora, ukuaji wa uchumi na hali ya maisha ya raia wa Tanzania

    Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na maadili ya msingi ya nchi, na inatumika kama msingi wa sheria na sera nyingine zote. Katiba kwa kawaida...
  15. JamiiForums Tanzania Media house za Tanzania wanalipaje wauza maudhui (vipindi) ?

    Habari zenu wanajamii? Poleni na majukumu ya kutafuta riziki. Nakuja mbele yenu nkiwa na swali ambalo linnitatiza na nadhani ninaweza pata jibu hapa JF. Vituo vya televisheni au makampuni ya ving'ämuzi yanatumia vigezo gani katika kukubali maudhui ambayo mimi kama muandaa maudhui...
  16. JamiiForums Tanzania Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

    Wanabodi, Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
  17. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Passport Holders = 3.5 Million.., Tanzania Passport Holders = 1.1 million

    There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania. Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport. Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni. Sad situation. Mjikakamue kidogo.
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  19. JamiiForums Tanzania Anza kutumia Nguvu ya Sayansi ya Data

    "Badilisha Biashara Yako kwa Masuluhisho ya Sayansi ya Data " Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini. Faida za Kufanya Kazi na Mwanasayansi Maarufu wa Takwimu. Mwongozo wa Kina wa Zana Bora za Sayansi ya Data. Maudhui: Umuhimu wa Sayansi ya Data nchini : Katika ulimwengu wa kisasa wa biashara...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Marubani Wanawake 11 tu kati ya 106

    Akijibu swali aliloulizwa na mbunge Angelina Malembeka akitaka kujua idadi ya marubani nchini, Naibu waziri kwa niaba wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi amesema, mpaka sasa kuna Marubani 106 na kati yao Wanawake ni 11 Wanaume ni 95. Marubani wanawake wanarusha ndege aina zote tatu ambazo ni De...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…