tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion

    Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited, ambao ni waanzilishi wa kinywaji cha Konyagi, leo inazindua aina mbili mpya za Konyagi ikiwa ni mwendelezo wa chapa hiyo zinazoitwa Konyagi Fusion. Konyagi Fusion zimekuja katika ladha mbili tofauti ikiwemo Konyagi Fusion ya ladha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dar: Utata wa Barabara ya Mtaa wa Chato, Mikocheni A

    Ni mwaka mmoja umepita hivi sasa, lakini hali ya barabara ya mtaa wa Chato inaleta utata kati ya wananchi na wakandarasi. Urefu wa barabara hii ni mita 600. Imekuwaje mpaka leo hii barabara haijakamilika? Ujenzi wa barabara hii ulianzishwa kwa nia ya kuweka bomba kuu la maji machafu chini...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali?

    Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake? Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali? Kuboresha Upatikanaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wachezaji wafupi wanazigharimu timu za Tanzania

    Jana simba walipocheza na Horoya fc, wachezaji walipata shida sana maana wale jamaa ni warefu sana, kilichowapata Simba jana, leo kimewapata Yanga. Mabeki wafupi wa Yanga ni mzigo kwa michuano ya Kimataifa. Angalia mabenki wa Yanga, sasa mtu kama Dickson Job kweli ni benki mzuri ila ufupi...
  5. JamiiForums Tanzania Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye Amani bila Uonevu

    Kuna Jambo nimekua nikiliwaza mara kwa mara akilini mwangu lakini naona kadri siku zinavyoenda linazidi kukomaa na kushika mizizi. Tunaishi Tanzania ambayo ni nchi inayosifika kwa amani,lakini ukweli ni kwamba hii nchi amani inayoongelewa ni kukosa vita tu na wala si amani ya mtu mmoja hadi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yaliyotolewa na wadau mbalimbali kuhusu nini kibadilike katika Mfumo wa Elimu ya Tanzania kupitia Twitterspace ya Jamiiforums

    Wadau mbalimbali wa elimu wamekuwa wakilalamikia mfumo wa sasa wa Elimu ya Tanzania. Jamiiforums kama mdau mmoja wapo wa elimu na mabadiliko inatoa fursa kwa Wanachama wake na umma kwa ujumla kutoa maoni yao juu ya nini hasa kibadilike katika mfumo wa elimu uliopo. Ili kupata nafasi hii...
  8. JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 55 tayari Magufuli alikuwa ameshakuwa Rais wa Tanzania na katika umri huo huo Tundu Lisu ni chawa wa Samia na mtumwa wa Mbowe,

    Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijawahi kupishana maneno na Mbowe tangu nijiunge CHADEMA 2004, hakuna wa kutufitinisha!

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote. Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza wazi kuwa atarudije nyumbani ilhali Mwenyekiti wake yuko magereza, ndipo Rais akalifanyia kazi. Lissu...
  10. JamiiForums Tanzania William fulton ni nani na taasisi ya mangotree ni kweli inahusika na kuispy Tanzania?

    wakuu naomba kwa mwenye taarifa za huyu mzungu wa mbeya atuelezee vizuri kuhusu mi nnachojua alifukuzwa tanzania mwaka 2015 kwa kosa la kuiba taarifa za mipango ya siri ya KIUCHUMI japo mwenyewe alikana na hata mtoto wake naye amemtetea kuwa si kweli Lakini jamaa anazidi kusisitiza anaomba...
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti GFI: Tanzania inapoteza Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka kutokana na Utakatishaji Fedha/Biashara Haramu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Global Financial Integrity (GFI) na Washirika wake imeonesha bado Tanzania ina tatizo sugu la Utakatishaji Fedha unaotokana na Biashara Haramu kiasi cha kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka. Kati ya vitendo vinavyochangia tatizo hilo ni pamoja na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni vikwazo gani vinasababisha viwanda vya toothpicks kutokuendelea/kufanikiwa nchini Tanzania au Afrika Mashariki?

    Habari, wanajukwaa! Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na muendelezo wake. Naona vingi haviendelei kama ilivyo ilivyotarajiwa. Kuna kiwanda bora kabisa kilikuwepo...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua

    Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9. kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000. Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed...
  14. JamiiForums Tanzania Balozi Nangasu, afafanua kwa Mapana kuhusu Mfumko wa bei Tanzania na Uchumi Imara

    Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii. Balozi wa Utalii Nangasu Warema Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina ndoto yako ya kuwa mbunge maarufu Tanzania imetimia

    Leo hii ukiulizwa mbunge maarufu Tanzania kwa kujenga hoja zenye mantiki hutakosa kumtaja mbunge Mpina. Amezichanga karata vizuri akatumia nafasi yake vizuri katika kipindi hichi wala hakuchagua kuketi upande wa walamba asali. Ameamua kusimama pamoja na wananchi wa Tanzania. Amezibeba kero...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira linaendelea kutatuliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima. Lakini pia aliongezea...
  18. JamiiForums Tanzania Hoja ya Ukomo wa Uongozi kwenye vyama vya upinzani ni kukosa Uelewa, Maarifa na Unafiki

    Kuwekeana mipaka kwenye ulaji ni jambo la hekima, lakini kuwekeana ukomo kwenye kujitolea ni ama kukosa uelewa, kukosa maarifa, au anayetaka hilo liwepo ni mnafiki, ana dhamira mbaya. Kuweka ukomo wa muda wa uongozi ndani ya CCM na ndani ya Serikali, ni jambo la muhimu sana. Uongozi ndani ya...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wanaume watatu wenye msongo wa mawazo Tanzania kwa sasa

    Hawa wote chazo Cha stress zao kinafana. Haji na Mkewe Harmonise na Mkewe (mchumba) Mwaka na Mkewe #Ishini nao kwa akili.
  20. JamiiForums Tanzania Ajali tano kubwa zaidi zilizowahi kutokea Tanzania

    Kila nikiangalia yanayoendelea Uturuki naogofywa na hii dunia japo yenyewe ni majanga ya asili, watu 16,000 mpaka sasa wamefariki. Nimejifunza pia duniani janga lililoondoka na watu wengi kwa muda mfupi ni mafuriko ya mto Yangtze yaliyoondoka na maisha ya watu milioni 3.7 huku tetemeko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…