tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ya wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima

    Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana na uwepo wa rasilimali za kutosha au maamuzi binafsi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge wa bunge la Tanzania wanajua wajibu wao?

    WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI? Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda. Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
  3. JamiiForums Tanzania Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  4. JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  5. JamiiForums Tanzania Umri wa ndoa kwa binti: Shekhe Ponda yupo sahihi ila kwakuwa Tanzania haifuati Sharia za Kiislam, hoja kizungumkuti

    Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze. Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe. Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

    Salaam kabla ya habari. Jana kuna report imeeleza. Mikoa ya 1. Dodoma. 2. Singida. 3.Tabora. 4. Kagera. Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah. Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka...
  7. JamiiForums Tanzania Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Transfer vacancy Tanzania airport authority

    Uchoyo sio mzuri. Kazi kwenu
  9. JamiiForums Tanzania Endapo filamu za 18+ zikiruhusiwa kutengenezwa Tanzania, wimbi kubwa la kuaibisha makabila halitaepukika. Hili lisije tokea kabisa!

    Sipati picha kwamba itokee na haya mambo yapewe vibali kwamba filamu hizi zinaweza kutengenezwa kama ilivyo kwa nchi zingine, hali inaweza kuwa mbaya sana kikabila. Nadhani itakuwa ni next level na itaathiri jinsi watu watavyokuwa wakionekana kwenye fikra za watu wengine kwenye suala zima la 6...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia

    Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye mazingira magumu mpaka hapa tulipofika hii leo. Pia alisema Rais Samia ameweza kuimainisha jamii...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni sehemu gani unaweza kupata Chemicals mbalimbali

    Mfano labda nahitaji calcium carbonate, silicone ,Polyol Nk ni sehemu gani naweza kupata vitu kama hivyo labda TDI please Nisaidieni wana jamvi.
  12. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni chachu ya mabadiliko tanzania?

    Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama husika kitakua na mabadiliko ya lweli ju ya wananchi wake
  13. F

    JamiiForums Tanzania Diblo Dibala katika Siasa za Tanzania ndiyo nani?

    Nimekuwa nikisikia hili jina la utani kwa mwanasiasa fulani. Sijajua kalengwa nani. Namaanisha hili jina la utani kabatizwa nani? Ongea kwa code usitaje jina moja kwa moja.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa benki ya NBC kwenye udhamini wa ligi ya Tanzania

    Habari wakuu, Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara. Katika pilika zangu nikajikuta nachukia sana matangazo wanayofanya NBC kwenye udhamini wa ligi yaani hayaakisi na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

    Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada? #Unapoitazama SGR unaona nini #JKNHP, unaona nini #Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini #Ununuzi wa ndege Je. #Upanuzi...
  17. JamiiForums Tanzania Tuwafanyeje wanaofanya ubadhirifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania?

    Tufanye yafuatayo: Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa kukabiliana na wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania. Nne kati ya njia hizo ni: Kuchukua hatua za kisheria: Serikali inaweza kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaobainika kufanya ubadhilifu wa fedha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu, tunakotaka mabadiliko bila vitendo

    Watanzania wamekereka kweli kweli na wanataka mabadiliko. Wanataka katiba mpya. Wanataka wabadhirifu wawajibishwe. Wanataka utawala bora, hawataki uwakilishi wa walamba asali au wa wahuni nk. Yote mema kabisa. Tatizo kubwa ni kuwa wanayataka mema hayo wakiwa unorganized. Matokeo yake wamekuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hitachukua miaka 100 kumpata mchezaji hatari kama huyu Tanzania

    Nchini Uganda 1990's katika daladala 10 za kubeba abiria basi 5 kati ya hizo zilikua na picha/jina LUNYAMILA. Moja kati ya vipaji vikubwa kuwahi kutokea katika historia ya mpira. Kuna show aliwapiga Mamelodi Sundowns pale CCM KIRUMBA 2001 mpaka kocha anauliza huyu ni Mtanzania? Mwaka 1997...
  20. JamiiForums Tanzania Muombee Adui Yako Njaa; Maandamano Yanayoendelea Kenya Yawafurusha Watalii 800 na Kukimbilia Tanzania.

    Mzee RAO anamuangamiza kiuchumi Rais Ruto na makamu wake Gachagua kupitia maandamano. Meli ya kitalii iitwayo MV Seabourn Sojourn, iliyopo njiani kwenda nchi mbalimbali duniani, ambapo kwa afrika mashariki ilikuwa isimame kwa siku 6 kwenye bandari ya Mombasa, sasa imebadiri uelekeo hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…