tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaisifu Tanzania kusimamia Uchumi kwa umahiri

    BENKI ya Dunia imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayopata fedha kutoka kwenye taasisi hiyo ikilinganishwa na nchi nyingine nyingi za Afrika. Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi...
  2. JamiiForums Tanzania Athi soba bona ukuthi banjani eTanzania (eTanzania)....VIVA TANZANIA!

    Thanks to South African Amapiano.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna kama Mayele Tanzania

    🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi kumzidi yeye.Mayele amefunga mabao mengi kuliko mechi alizocheza.
  4. JamiiForums Tanzania Naanza kupata mashaka kuiona serikali ya Rais Samia kuwa karibu na Mabeberu na vitendo vya rushwa kushamiri nchini

    Ni takribani miaka miwili sasa tangu nuache kuandika maoni yangu hapa Jamii Forum. Hata hivyo leo nimeona nirudi tena kwani kuna vitu vya kukera vimeanza kujitokeza. Wakati hayati Magufuli alivyochukua nchi nilivutiwa sana na mambo aliyokuwa anayafanya. Nilikuwa mstari wa mbele kumtetea pale...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanzania tuna uwezo wa kulifanya taifa letu liwe kubwa?

    Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana uwezo wa kulifanya taifa kuwa na nguvu ya kisiasa, kiuchumii, kisanaa na kijamii. Watu wetu wanaheshimu...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yatembeza kichapo kwa Morocco na kutwaa ubingwa fainali za Mashindano ya Shule za Sekondari barani Afrika

    Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya wasichana ya "Ecole Omar IBN Khatab" kutoka Morocco kwa magoli 3-0. Timu ya Fountain Gate imetwaa taji...
  7. JamiiForums Tanzania Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
  8. JamiiForums Tanzania Je, uwezo na sifa za viongozi na watendaji wanaoteuliwa unaweza kupimwa na report ya CAG?

    Hilo ni swali: Naomba kila mmoja atoe jibu na mawazo yake:
  9. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata soko zuri la maziwa Tanzania?

    Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali tusaidiane.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia waonee huruma maskini wa Tanzania, watu wanakufa kwa kukosa dawa huku wengine wakichota mabilioni

    Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu. Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
  11. JamiiForums Tanzania Wazawa hawaheshimiwi kwenye Soka la Tanzania

    MZAMIRU YASINI NI ROHO KWENYE KIWILI WILI CHA SIMBA. Acha na zile Assist za Clatous Chama acha na ile mikimbio na press za Ntibazonkiza acha na zile Hat trick za Beleke ila pale Simba SC Tanzania yupo mwana Kigoma anaitwa Mzamiru Yassini. Huyu katika michezo mingi ya Simba ndio amekuwa kiini...
  12. JamiiForums Tanzania Made in Tanzania, simulizi ya kweli

    Nakumbuka nilikuwa mkoa wa Manyara basout nilipokuwa naishi ni kama km 7 ufike Madukani. Sasa baiskel yangu ili kufa msumari tairi la nyuma uzuri Mimi mwenyewe ni fundi basi nikaenda dukani kwa mguu kwa kutembea na mguu maana nilikosa hata baiskeli ya kuazima sababu Mimi sio mwenyeji sana huko...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa mashirika ili kuongeza ajira kwa Watanzania. Kuua mashirika ni kuua ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato. Tunaweza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar ndo Sehemu pekee nzuri hapa Tanzania

    Ukifika Zanzibar huwezi kukutana na Hawa wanawake watembea uchi Pia hata ukipoteza sm Zanzibar unaletewa Nilikaa Zanzibar Mika miwili niseme wale Jamaa wana heshima Sana na maadili Bora Sana . Niseme ntarudi Zanzibar Ramadhan kareem
  16. JamiiForums Tanzania Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 6 kutunza vyura 500 waliopelekwa Marekani

    Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo. Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Elimu kwa Wabunge wa Tanzania

    Upo wajibu wa Rais, wajibu wa Makamu wa Rais, waziri mkuu, Mawaziri, wabunge, spike na wananchi. Hivyohivyo kwenye ngazi ya familia uko wajibu wa baba, wajibu wa mama na wajibu watoto. Kila wajibu (role) una matarajio (expectations) kwa wale unaowahudumia na mara nyingi kama sio mara zote kila...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania haijapate Mwinjilisti Mwingine mwenye nguvu kitaifa kama Moses Kulola sababu aliondoka bila kukabidhi mtu kipawa alichokuwa nacho

    Viongozi wote wakubwa wenye vipawa vikubwa kwenye Biblia kabla kuondoka duniani walikabidhi vipawa vyao kwa watu wengine specific.Musa alikabidhi kwa Joshua na Eliya alikabidhi kwa Elisha na baada ya kukabidhiwa wakabidhiwa walifanya maajabu makubwa Moses Kulola alikuwa Mwinjilisti...
  20. JamiiForums Tanzania Let's break silence to Tanzania government over Islael political oppression to Palestine.

    Wakurungwa Tanzania bado tunajiweka nyuma sana katika maswala ya kimataifa wakati enzi za Mwalim Nyerere tulikuwa frontier katika Ukombozi wa Afrika dhidi ya Mabeberu ambao wanapoka uhuru wa Afrika wenzetu. Now Days we remaining silence wakati bado nafasi ya kubwa ya kuwa mpatanishi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…