Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Habari zenu, Ujumbe au Maoni haya naomba yafike katika wizara husika ambayo ni WIZARA YA KAZI, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU, TANZANI.
Katika kila ofisi ya Wilaya na Mikoa yetu ya Tanzania, Wizara yetu imejaribu kueka maofisa wa Idara ya Kazi kwa lengo la kuratibu na kufuatilia utendaji pamoja...
Leo nimeshtushwa na magazeti haya mawili katika kurasa zao za mbele kubwa na vichwa vya habari vinavyofanana.
Kumekuwepo na tetesi kwamba serikali imekuwa ikiyapangia magazeti habari za kuandika.
Kati ya magazeti ambayo yalikuwa yamebaki na uhuru kidogo ni haya ya Mwananchi Communication...
Mkataba ule wa bandari, nasema ni wa kishenzi kwa sababu unapima uwezo wa Watanzania katika Kufikiri. Kila mwenye akili anajua kuwa mtu yeyote ambaye yupo kwenye utimamu wa akili hawezi kuukubali mkataba kama ule.
Nani atakubali kitu chake ambacho amewekeza trilioni kadhaa ampe mtu anayekodi...
95% ya wasomi wa sasa hivi wa hasa kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka jana 2022 kichwani hamna kitu, hawajiamini na ujengaji wao wa hoja si tu ni mbovu bali ni wa kimasikini mno kifikra.
Kwa huu uchangiaji wa hawa wasomi (wana vyuo wetu) na wengi wakitokea UDSM ninaouona sasa (mubashara) ITV daima...
CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache.
Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
Mwigulu, akiwa anahitimisha kusoma Bajeti ya mwaka 2023 kasema CCM ndio chama pekee chenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo hapa nchini na kwamba kila Mtanzania anapozaliwa nchini anakuwa mwana CCM, na kwamba wataendelea kuwashukuru wote wa vyama vingine kwa kuwa na mioyo ya upendo kwa kuendelea...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla.
Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuimarisha ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika sekta za biashara na uwekezaji.
Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Tanzania imefanikiwa kupunguza kiwango cha umasikini uliokithiri kutoka asilimia...
Tangu kuasisiwa kwake Tarehe 1 novemba 1993 chama cha walimu Tanzania kimekua kikiongozwa kwa kutumia katiba na kanuni zake. Katiba imekua ikibadilika ili kuendana na mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na mengineyo. Hadi kufikia 2014, CWT ilipata katiba ya toleo la 6 ambayo ndio inatumika hadi...
Nuru ya uwajibikaji
Mara nyingi, nchi yetu ya Tanzania imejikuta ikisakamwa na changamoto nyingi za utawala bora na ukosefu wa uwajibikaji. Lakini katika kiza kirefu, nuru ya matumaini inang'aa. Hii ni hadithi ya mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ambayo yameleta mabadiliko makubwa...
Tanzania ni moja ya nchi barani Afrika ambazo uchumi unakua kwa kasi. Toka mwaka 2017 kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni 7%.
Moja ya chachu ya kasi hiyo ni biashara ndogondogo ambazo kwa kiasi kikubwa zinamilikiwa na wanawake.
Takwimu za usawa wa kijinsia katika ajira zinaonyesha kwamba...
Tunaposema mama anaupiga mwingi huwa hatukisii au kumsifia ili mradi tu. Mama anaupiga mwingi kweli kweli. Wewe unaelalamika, wacha ulalamishi changamkia fursa hizi.
Sehemu ya watoa huduma wa kimataifa wa DP World, DUBUY.com inafungua ukanda mpya wa biashara ya kidijitali kwa Tanzania na ukanda...
1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA.
Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
Nimesikitika sana kusikia waarabu wa Dubai kuuziwa bandari pekee badala ya kuuziwa nchi nzima ya Tanzania. Huku ni kujinyima na kujirudisha nyuma sana.
Madalali wa taifa la Tanzania (Serikali la CCM na bunge la CCM) wamesema kwa kupewa Bandari tu, waarabu wa Dubai wataongeza mapato maradufu...
Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu na hazikuwekwa tu bila sababu bali zilitokana ili kuilinda jamii na watu waliomo ndani take dhidi...
Kutokana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kumekuwepo na maeneo mengi sana ya nchi ambayo hupata mvua ndani ya mwezi na nusu tu na mvua hupotea mazima, au wanapata mvua miezi miwili pekee.
Arusha ni moja ya maeneo ambayo kwa miaka mitatu sasa wanapata mvua chini ya wastani na hivyo mazao hasa...
Habari ya majukumu wana JamiiForums,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali.
Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu.
karibuni kwa nyongeza ya maoni...
Akihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema alisema hivi, Nanukuu,
"It is a Shame that people can get our country in such a mess. I asked the...
Mengi yamezungumzwa kufuatia vifo vya Aliyekuwa Raisi wa Tanzania John Magufuli (aliyefariki 17/3/2021) na Bernard Kamilius Membe (aliyefariki 12/5/2023). Wawili hawa ndio waliingia katika hatua za mwisho kuchaguliwa kuwa wagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM, 2015. Yeyote kati ya hawa angeweza kuwa...