tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nani hasa anafanya maamuzi katika nchi hii ya Tanzania?

    Asalaam, Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia kama limeongelewa sijaona. Kelele ni nyingi, uchungu ni mwingi, furaha ni kubwa, vijembe na tambo mbali...
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yasaini mikataba minne ya makubaliano na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja

    Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja. 1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA 2. Ushirikiano na Posta Tanzania 3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS 4. DP World na TPA
  3. JamiiForums Tanzania Sakata la DP World na Bandari, Jenerali Ulimwengu asema Serikali imepoteza imani ya wananchi

    Wakati mjadala wa uhalali wa mkatabva wa uwekezaji katika bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ukiendelea, Mwandishi nguli nchini Jenerali Ulimwengu, amesema Serikali imepoteza imani ya wananchi. Mwandishi huyo nguli anaibua hoja hiyo wakati watanzania na wadau mbalimbali...
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kwenye elimu Tanzania - ni nani anahusika?

    Matokeo ya mtihani wa moko wilaya ya darasa la saba yametoka na kutangazawa na mamlaka ya elimu. Ni matokeo mabaya kuwahi kutokea kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwa shule hii ya msingi Nyakavangala. Kamati ya shule inaweka taarifa ya matokeo katika ubao wa matangazo. Wazazi na wananchi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaotetea mkataba kati ya Tanzania bara na DP World wanasumbuliwa na udini!

    Niseme wazi kabisa wabaotetea huu mkataba wa kipuuzi kati ya Tanzania bara na DP World kuwa wamilikishwe bandari zote za Tanzania bara kwa mkataba usiokuwa na ukomo wanasumbuliwa na udini. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kuungana na huu upuuzi zaidi tu ya udini wao. Wana...
  6. JamiiForums Tanzania Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa kama shamba la bibi kila mtu anajichumia anaenda zake

    Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu. Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko kuna artificial forest inaitwa Sharjah Safari Park ina kila mnyama mkubwa unayemuona mbugani...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania DP World walifukuzwa Yemeni (Aden Port)

    Kwanini viongozi wetu hawataki kujifunza makosa ya nchi zingine zilizowahi kuingia mikataba ya aina hii na DP World. Mwaka 2008 Yemeni waliingia mkataba wa miaka 30 kwa bandari yao ya Aden Port na DPW na kusainiwa haraka haraka na rais wa wakati huo aliyekuwa anamaliza muda wake Rais Ali...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

    Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa. Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja. ========...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's KenGen eyes Tanzania geothermal deals

    KenGen is eyeing drilling deals in Tanzania in what looks set to cement the Kenyan electricity producer as the leading geothermal power company across the continent. KenGen acting managing director Abraham Serem told the Business Daily that the firm is awaiting a response from the Tanzanian...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa matunzo kwenye hifadhi za barabara Tanzania

    Utangulizi Hifadhi nyingi za barabara nchini Tanzania zimeingiliwa kwa matumizi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara na watoa huduma wadogo wadogo wakati na wakati mwingine wale wakubwa. Maeneo kama Tegeta kwa mfano, ama Bunju ama Banana ama Gongo la Mboto ama Mbagala kumekuwapo na...
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wanaume wote Tanzania

    Huyu binti wa katikati mkae nae mbali, nimeshamchagua
  13. G

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa ni kwanini madaktari wanafunzi wa Sudan wameamua kukimbilia Tanzania badala ya Kenya na Uganda majirani

    Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Tanzania health Summit

    Wakuu nani anajua kuhusu hii tuzo inayotolewa na shirika la Tanzania health summit?. Naombeni Nipate ABC mana ndugu yangu nae pharmacist nimeiona hapa www.ths.or.tz
  15. JamiiForums Tanzania DCEA yakamata Dawa za Kulevya aina ya Heroin ambazo zingeathiri Watu milioni 4.8

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesoma ripoti ya Operesheni iliyofanywa na mamlaka hiyo kuanzia Machi 25, 2023 hadi Juni 19, 2023 ikiwa ni takribani miezi miwili na wiki tatu ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uhalifu wa dawa za...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania Yatakiwa Kuwa na Vyanzo Vingi vya Umeme Ili Kufikia Megawati 10,000

    PROF. SOSPETER MUHONGO - TANZANIA IWE NA VYANZO VINGI VYA UMEME KUFIKIA MEGAWATI 10,000 ILI KUKUZA UCHUMI NA PATO LA WATANZNAIA Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mhe. Profesa Sospiter Muhongo ameshauri kupunguzwa bei ya umeme ili Watanzania wengi waweze kuutumia. Profesa Muhongo ameyasema hayo leo...
  17. JamiiForums Tanzania Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

    Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele. Kama kuna nchi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

    Wadau wote na waungwana! Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini. Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji katika Uchunguzi , Tanzania na Afrika

    Utangulizi: Uwajibikaji ni msingi muhimu katika jamii yoyote iliyo na utendaji mzuri, ikilenga kuwafanya watu na taasisi kubeba jukumu la vitendo na maamuzi yao. Katika muktadha wa jamii na uongozi wa Kiafrika, uwajibikaji una jukumu muhimu katika kukuza utawala bora, kuimarisha imani, na...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…