tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani?

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
  2. JamiiForums Tanzania Karibu kila mkoa hapa Tanzania una sifa ya uchawi, kwanini mkoa wa Kilimanjaro umeshika mkia?

    Na hapa nikiwa specific zaidi ni sehemu walizopo wachaga maana Mkoa huu hata wapare wanaishi na habari za uchawi zipo huko kwao Same. Na kweli nikifikiria uchawi hauna maendeleo na nikiona vijiji vya huko vilivyoendelea watu wanashusha mijengo bila hofu ya kupigwa vipapai nazidi kuona huku...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchumi wa Buluu Uimarishwe ili Kuboresha Uchumi na Ajira kwa Vijana Tanzania

    Utangulizi Uchumi wa Buluu ni nini? Kwa mujibu wa Benki ya Dunia (“World Bank”), Uchumi wa Buluu ni “Matumizi endelevu ya rasilimali za bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi, kuboresha shughuli za kujipati kipato, na ajira, huku afya ya mfumo wa ikolojia ukihifadhiwa”. Kwa mujibu wa Kamisheni ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Visit Tanzania- Wanasimba hatutaki tena huo ujinga

    Viongozi wa Simba kama mnakua na mambo yenu binafsi ya kujipendekeza, basi ingieni kwenye Siasa. Msilete Uchawa wa kijingajinga kwenye timu yetu. Msimu uliopita mlijifanya Wazalendo sana mkaacha kumtafuta wadhamini kimataifa Bali mkataka kuonekana wazalendo uchwara. Mkaandika Visit Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Bad news to PM Majaliwa and VP Mpango; The Tanzania-Dubai Treaty is covertly open-ended for facilitating ‘Arab settler colonialism’ in Tanzania

    1. Introduction Dear Phillip Mpango, The Vice President of the United Republic of Tanzania: Dear Kassim Majaliwa, The Prime Minister of the United Republic of Tanzania: On 15 July 2023 the Minister of Works, Transport and Communications, Professor Makame Mnyaa Mbarawa, and his technical team...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
  9. JamiiForums Tanzania Treni yenye Watalii 60 yatoka Afrika Kusini hadi Tanzania

    TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini. Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe...
  10. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

    Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru. Sasa Mwananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  12. JamiiForums Tanzania KWELI Kwa nchi za jirani na Tanzania Hakuna bendera ya nchi hizo iliyowahi kuwekwa jengo la Burj Khalifa baada ya Tanzania

    Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo. Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nakupenda Tanzania

    TANZANIA NAKUPENDA nchi yangu napenda vyote ulivyo jaaliwa na mwenyez mungu TANZANIA imejaaliwa vitu vingi vinavyo vutia nakupendeza macho mwakila mtu mito, maziwa, bahari, mbuga za wanya na vivutio vingi kama vile mbuga ya saadani mlima Kilimanjaro, hifadhi ya taifa ya kitulo, muga za mikumi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania yangu

    TANZANIA yangu ni nchinzuri yakuvutia inavitu vingi vyakuvutia kama mrima Kilimanjaro mbuga za selengeti mikumi na hifadhi yakitulo saadani makumbusho ya bagamoyo Zanzibar forodhan na vivutio vingi pamoja na madini mengi adhim Dunia kama dhahabu, tanzanite inayo patikana Tanzania pekee hii...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania vs China na maendeleo yake

    Habari zenu.. Leo tujifunze kutoka kwa wachina. Tangu 1950s nchi ya Tanzania na china kimaendeleo zilikuwa sawa. Tangu hapo walijitokeza wanafalsafa wakiishauri china wakisema ''taifa ili liweze kuendelea lazima liwe na watu''.Nchi ya china ilianza kutekeleza sera hiyo kwa kuhamasisha watu...
  16. JamiiForums Tanzania Aliyeelewa Mkurugenzi wa DP World kusaini mkataba wa nchi ya Dubai na Tanzania anieleweshe

    Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi! Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko...
  17. JamiiForums Tanzania Fleet Tracking, Fuel Sensors, Smart Generators, and AI Dash Cameras

    Karibu Afritrack, Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za kufuatilia(kutrack) magari nchini Tanzania. Kwa miaka mingi, Afritrack imebadilika na kuwa mtoa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Dah , sio poa! Nipo hapa nafuatilia BBC London habari... Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa. Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo? --- Nchi tano za Afrika: Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia malengo ya kimataifa ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya kwanza kabisa ya malaria inasambazwa Afrika. Nchi 12 za kwanza kupatiwa

    Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili. 18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF World Health...
  20. JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…