tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Suluhisho juu ya bandari na mitaala ya elimu kwa Tanzania na jinsi ambavyo tutapata unufaikaji

    NAWAZA MENGI SANA NGOJA NISEME KITU ILI KILETE MABADILIKO KIDOGO Bandari zote hapa nchini zinaingiza Sh. Bil.795.226 kwa mwaka lakini TPA wanatumia asilimia 99% kwa upigaji tu (Kwa mujibu wa Majukwaa Mengi kwa sasa Yanavyoinasibu kuwa Bandari inawekezwa kwa sababu kuna upigaji Sina Takwimu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kikeke anarudi Tanzania mazima

    Mtangazaji mahiri Salim Kikeke ambaye mwezi April 2023 alitangaza rasmi kuacha kazi kwenye Shirika la Utangazaji la BBC, ameamua kurejea nyumbani Nchini Tanzania baada ya kuishi Uingereza kwa miaka 20. Kwenye mahojiano mafupi na Millard Ayo, Kikeke baada ya kuulizwa kama anarudi Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Suala la mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP World katika jicho la ujasusi

    Habarini wana JF Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu umetengeneza makundi mawili: wanaokubaliana nao kwa madai kuwa unafaida kedekede na wale wanaoupinga...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania kutengeneza magari, bajaji zisizohitaji dereva

    Katika mkakati wa kukuza TEHAMA na Ubunifu nchini, Tanzania imealika kampuni 15 za Misri, huku lengo likiwa kuhakikisha katika miaka michache ijayo, Tanzania itengeneze magari na bajaji za umeme na zisizohitaji dereva. Akizungumza katika maonyesho ya biashara baina ya wafanyabiashara wa...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
  9. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa chini tunataja...
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yashika nafasi ya 17 kwa nchi zenye amani Afrika

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) ya mwaka 2023 toleo la 17 imetoa takwimu ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 17 kwa amani na kushika nafasi ya 91 kidunia. IEP imesema Tanzania imeshika nafasi hiyo kwa kupata alama...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutumia huduma za Startlink

    Naona majirani wamesharuhusu Starlink, sasa EastAfrica wapo Rwanda na Kenya. Ni nini shida na serikali yetu kushindwa kuruhusu hili ukiachana na vigezo alivyotoa Waziri visivyo na mashiko? --- Tajiri Elon musk Leo hii alasiri ameposti kwenye page yake ya Twitter aki confirm kwamba Kenya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Tanzania wafikia watano

    Habari za leo wana JF! Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya kupungua. Kutoka maadui watatu hadi maadui watano. Bahati mbaya zaidi wajinga wa sasa ni wale...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Iweje Usuluhishi wa matatizo ya mikataba na Uwekezaji isikilizwe nje nasio Mahakama Tanzania

    Hili swala la DEE PEEE Weldi na Jamhuri limeleta fursa ya tafakuri jadidifu. Iweje kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania. Tunakumbuka mhe Rais Mwenye alinukuliwa kusema...
  15. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

    Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
  16. JamiiForums Tanzania KWELI UKIMWI uliingia Tanzania kupitia mkoa wa Kagera

    Nianze kwa ku-declare interest kuwa mimi ni mzaliwa wa Mkoa wa Kagera Wilaya ya Missenyi. Katika makuzi yangu hasa baada ya kutoka nje ya mipaka ya mkoa wa Kagera, nimekuwa nikishambuliwa na kutaniwa sana kuhusu UKIMWI kuanzia mkoa wa Kagera. Hayati Rais Magufuli kwa nyakati tofauti amewahi...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoelimika sana Afrika; Tanzania tuko wapi?

    Nimeangalia video hii kuhusu nchi zilzoelimika sana Afrika na kugundua kwa nini Tanzania inapata mikataba mobovu miaka nenda rudi na kuishia kukamatwa ndege zake kama swala wanavyokamatwa na chui. Hata kama video imeskewa data, ukweli ni kuwa elimu ya Tanzania sasa hivi ni dhaifu sana. Wakati...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Uongozi, Viongozi na Mwendo wa Siasa Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya Tanzania. Ukosefu wa uwajibikaji na utawala bora umesababisha matatizo kadhaa katika nchi, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, na ukosefu wa haki. Ufisadi ni tatizo kubwa nchini Tanzania. Ufisadi umesababisha...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora Ni Muhimu kwa Maendeleo ya Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania. Bila uwajibikaji na utawala bora, ni vigumu kwa nchi kufikia malengo yake ya maendeleo. Uwajibikaji ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako. Utawala bora ni mfumo wa utawala ambao unazingatia kanuni za uwazi, uwajibikaji, na...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Madini nchini Tanzania

    Sekta ya madini nchini Tanzania ni moja ya sekta muhimu zaidi za uchumi. Sekta hii inachangia takriban asilimia 10 ya pato la taifa na inatoa ajira kwa mamilioni ya Watanzania. Hata hivyo, sekta ya madini pia imekuwa ikikabiliwa na matatizo kadhaa, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwajibikaji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…