Soka ndio mchezo ulio sambaa zaidi Duniani, ndio mchezo unao fuatiliwa na watu wengi zaidi na ndio mchezo una tengeza ajira nyingi zaidi kwa wanamichezo!,
Kwanini?
Sababu kubwa ni kua kwenye soka yoyote anaweza pasuliwa na yoyote, uwepo wa hili jambo ndio umepelekea kuibuka kwa betting...